Nifanyeje ili niondokane na maumivu haya?

Hivi mlizaliwa mkiwa mmeungana? Na je pumzi yako inapitia kwanza kwake ndio ije kwako au?
Tazama malengo yako kijana kuna mambo mengi sana ambayo usipoyatimiza utakuwa umejiangusha pamoja na kuwaangusha walokuwa na imani juu yako hadi wakakusapoti kielimu nk.
Nakushauri KATU usiseme siwezi ishi bila mtu fulani hiyo pia ni aina fulani ya kumdhihaki muumba wako kana kwamba huyo mtu ndiye anaekupa rizki na pumzi. Kwnye maisha sio lazima upate kila kitu unachohitaji kwa wakati wako......Let it go if it comes back.........
 
Asante mkuu darasan nipo vizur ila kutokana na hii hali najikuta nashindwa kusonga mbele na pia kuhusu kipato bado nawategemea wazaz wangu ambao wapo vzur japo sio saana na yote hayo anayafahamu na pia ni dem wangu wa pili na ninataman aje kuwa mke wangu.

Mkuu piga shule achana na hayo mambo mimi nilikuwa karibu kudrop kamasters kangu kwa stress kama ameshindwa kuelewa unafanya nini na unataka uishi nae vipi piga chini au fanya vituko akuache sababu huyo sio mama yako au ndugu yako...wamejaaaa kama njugu
 
Habari wana jamvi Mimi ni kijana wa miaka ishirin na mbili pia ni mwanachuo.Nimeleta uzi huu jamvin kwa lengo la kupata msaada utakao nisaidia kuondokana na maumivu haya.

Kuna bint mmoja nipo naye kwenye mahusiano ninampenda sana naweza kusema nampenda kuliko mtu yeyote chin ya jua hili na hata yeye unalitambua hilo,,,shida iliyopo ni kuwa c msikivu na ananichukulia poa sana licha ya kuwa unafanya meng kwa ajili yake lakn mwenzangu haonesh kujal hata kidogo anajimlia mambo yake mwenyewe bila hata kunishirikisha kama mme wake mtarijiwa

Kutokana na hal hiyo wakat mwngne nashindwa hata kusoma,kula na kufanya vitu vngine pia.Ninachokifikiria ni kwenda kwa mganga kumtafutia dawa kwa sababu siwez kumuacha na sitak kumuacha.Ila naomba mawazo yenu pia ili nijue ni kpi napaswa kufanya.

Natanguliza shukrani

Una ela au mbabaishaji 2 coz pesa ina heshima yake skuiz na kama ni mzur usilaumu
 
Mkuu piga shule achana na hayo mambo mimi nilikuwa karibu kudrop kamasters kangu kwa stress kama ameshindwa kuelewa unafanya nini na unataka uishi nae vipi piga chini au fanya vituko akuache sababu huyo sio mama yako au ndugu yako...wamejaaaa kama njugu

Umeeleweka mkuu
 
Hivi mlizaliwa mkiwa mmeungana? Na je pumzi yako inapitia kwanza kwake ndio ije kwako au?
Tazama malengo yako kijana kuna mambo mengi sana ambayo usipoyatimiza utakuwa umejiangusha pamoja na kuwaangusha walokuwa na imani juu yako hadi wakakusapoti kielimu nk.
Nakushauri KATU usiseme siwezi ishi bila mtu fulani hiyo pia ni aina fulani ya kumdhihaki muumba wako kana kwamba huyo mtu ndiye anaekupa rizki na pumzi. Kwnye maisha sio lazima upate kila kitu unachohitaji kwa wakati wako......Let it go if it comes back.........
Mkuu asante sana
 
Miaka 22 ????balehe kwanza kijanaa....piga buku kwanza maana unachokiombea ushauri hukijui vizuri!!!halafu aliyekuambia mapenzi ya mganga yanadumu nan????vitabu vya dini vinasema amelaaniwa amtumainiye mwanadamu.....zingatia hayo
 
Habari wana jamvi,
Mimi ni kijana wa miaka ishirini na mbili pia ni mwanachuo. Nimeleta uzi huu jamvini kwa lengo la kupata msaada utakao nisaidia kuondokana na maumivu haya.

Kuna binti mmoja nipo naye kwenye mahusiano ninampenda sana naweza kusema nampenda kuliko mtu yeyote chini ya jua hili na hata yeye unalitambua hilo, shida iliyopo ni kuwa si msikivu na ananichukulia poa sana licha ya kuwa unafanya mengi kwa ajili yake lakini mwenzangu haoneshi kujali hata kidogo anajiamulia mambo yake mwenyewe bila hata kunishirikisha kama mme wake mtarijiwa.

Kutokana na hali hiyo wakati mwingne nashindwa hata kusoma, kula na kufanya vitu vngine pia.

Ninachokifikiria ni kwenda kwa mganga kumtafutia dawa kwa sababu siwezi kumuacha na sitaki kumuacha.

Ila naomba mawazo yenu pia ili nijue ni kipi napaswa kufanya.

Natanguliza shukrani
Acha uboya dogo fanya kweli kwenye masomo huyo unaempenda ana mwingine ambae yeye anampenda cha kufanya we rudisha mapenzi kwa mama mzazi aliekuleta duniani achana na huyo mbulura
 
Kuomba advice its good lakini ni vizuri zaid mambo yako ya ndani,
umushirikishe mtu wako wa karibu tena yule unamwamini coz sio kila utakaemwomba akushauri atakushauri vema au ataguswa na matatizo uliyonayo wengine wanafurahi kuona uko kwenye matatizoo.
 
Al-Bashr said:

Unachokisema ni kwel mkuu na nilitegemea dhihaka japo weng wenye upendo na walioguswa wamenishaur vzur.
 
Mimi ndo maana huwa nawala tigo na kuwatema almost kila demu ninaekuwa nae kwenye mahusiano, huyo dada anaemsumbua huyo dogo angekutana na mm ndo angejua kuwa kumbe Tanzania kuna WANAUME, i know my position as a man and I HAVE LITTLE TOLERANCE FOR A WOMAN'S BULLSHIT @Heaven Sent
 
Habari wana jamvi,
Mimi ni kijana wa miaka ishirini na mbili pia ni mwanachuo. Nimeleta uzi huu jamvini kwa lengo la kupata msaada utakao nisaidia kuondokana na maumivu haya.

Kuna binti mmoja nipo naye kwenye mahusiano ninampenda sana naweza kusema nampenda kuliko mtu yeyote chini ya jua hili na hata yeye unalitambua hilo, shida iliyopo ni kuwa si msikivu na ananichukulia poa sana licha ya kuwa unafanya mengi kwa ajili yake lakini mwenzangu haoneshi kujali hata kidogo anajiamulia mambo yake mwenyewe bila hata kunishirikisha kama mme wake mtarijiwa.

Kutokana na hali hiyo wakati mwingne nashindwa hata kusoma, kula na kufanya vitu vngine pia.

Ninachokifikiria ni kwenda kwa mganga kumtafutia dawa kwa sababu siwezi kumuacha na sitaki kumuacha.

Ila naomba mawazo yenu pia ili nijue ni kipi napaswa kufanya.

Natanguliza shukrani
Pole sana, i know how it feels as a MAN unapompenda mwanamke wako wa kwanza.

Mimi ishanikuta iyo hali, ila kwa sasa nahis a human part of me ishaondoka, nikiwa na demu anipende its fine, asinipende it also fine nipo 50%,50%. @lee Choo in
Time will heal you
 
Mimi ndo maana huwa nawala tigo na kuwatema almost kila demu ninaekuwa nae kwenye mahusiano, huyo dada anaemsumbua huyo dogo angekutana na mm ndo angejua kuwa kumbe Tanzania kuna WANAUME, i know my position as a man and I HAVE LITTLE TOLERANCE FOR A WOMAN'S BULLSHIT @Heaven Sent
Unawala tigo kuwakomesha ama ndo starehe yako? Swthrt if you can't stand someone's bs, simply detach yourself. Mtu mmoja asiye na shukrani asikufanye ukawa mtu wa ajabu bure. Unahisi unawakomesha wanawake but the bitter truth ni kwamba unajiumiza wewe zaidi. Hata siku moja furaha ya kweli haipatikani kwa kuumiza wengine.
 
Last edited:
Back
Top Bottom