Nifanyeje ili niondokane na maumivu haya?

Raimundo kamaliza! Penda unapopendeka, kama mtu haonyeshi kukuheshimu au kukujali mapema hivi ni vigumu kuja kubadilika baadae. Kwenye mahusiano ni muhimu mwenzako akuthamini wewe kama wewe sio mpaka ujinadi na kucheza nae psychological games. Ukweli ni mgumu kumeza ila kwangu mimi nakusahuri uzingatie shule yako acha kuumiza akili yako kwa mtu ambaye hakujali, next time just try to take it easy and don't be quick to fall for a girl so hard, at least don't show it to her if she doesn't feel the same about you.

Thanks bro
 
Last edited by a moderator:
mkuu jje's hebu pita hapa umshauri mwanAo.....
 
Last edited by a moderator:
Ujinga kama huu upon mpk chuo kikuu tz tu kaz kweli kweli
 
mkuu jje's hebu pita hapa umshauri mwanAo.....

huyo sion la kumshaur kwa sasa kwan cjui hicho chuo anachosoma km kinamsaidia lolote. ila kwa machache; mwaache aende kwa mganga aanze kuukimbiza upepo ndo atajua faida ya waganga. wanasema mtoto akililia wembe mpe
 
Last edited by a moderator:
huyo sion la kumshaur kwa sasa kwan cjui hicho chuo anachosoma km kinamsaidia lolote. ila kwa machache; mwaache aende kwa mganga aanze kuukimbiza upepo ndo atajua faida ya waganga. wanasema mtoto akililia wembe mpe

Mkuuu akienda kwa waganga itamgharimu......
 
eti kwan mapenz ni maji useme ukikosa utakufa? tujiongeze kidogo

Ahaaa ahaa....
Kama huyu ameyachukulia ndio oksijen yake. Hawezi ishi bila mpenzi wake.

Na anampenda kuliko chochote chini ya jua. Na kamwe hawez kuachana nae.
Tena kiapo cha damu kabisa.... hapa kwenye kiapo mshana jr angetusaidia taratibu za kutengua kiapo hiki

Vijana wana mambo mweeh...
 
huyu chiz naweee hajitambui. He should first love himself ndo ajue uzur wa kujipenda. as for me i love people but myself is a priority
 
Last edited by a moderator:
Pole sana, katk mapenzi cku zote anaependa ndio huumia, lazm ukubal kuumia, inauma sana pale thaman ya upendo haithaminiw na m2 unaempenda, hata mm nna tatz kama hilo, nakushaur fanya kama vle kumpotezea tu, usimpgie wala ku2ma sms, futa na namba yake i hope utamsahau na utakuwa normal tu, waschana wazur wapo wengi tu, kuwa busy na masomo na muombe mungu utampata atakaekuthamini.
 
Hapa fedha ya mzazi na serikali inateketea bule. Dogo soma kwanza, hayo mengine utakutana nayo huko mbele ya safari.
 
Hizi story za mapenzi chuo utaishia kufeli au kufanya kitu kibaya mpaka ukafukizwa chuo, kuna chalii nilikiwa nae mwaka mmoja naue alikiwa amefall kwa msichana mmoja sasa demu mwenyewe alikuwa hayupo serious anagegedwa hovyo na machalii wengine mchizi akaenda mpaka room kwa huyo demu sababu alikuwa amezoeleka na ma roommate wa demu wake akfungua locker akabeba vyeti vya demu kuanzia olevel akavichana chana vyote na laptop akaivunja hovyo hovyo kama kumkomoa flan ivi mwisho wa siku jamaa akafukuzwa chuo cha ajabu demu watu wanaendelea kujipigia kama kawaida huwa nikimuonaga huyu demu naumiaga sana sababu mchizi hatunae yena chuo na jamaa alipenda kweli aisee mapenzi ya kichuo chuo ni umiza kichwa kwa hiyo kuwa makini jombaaa isije poteza kilicho. kupeleka hapo ambacho ni shule papuchi hata mtaani zipo kibao zinazojua kucare.
 
thedon; Nelson karibu tuanzinshe support gruop.

Hiyo itakua poa sana...
 
Pole sana, katk mapenzi cku zote anaependa ndio huumia, lazm ukubal kuumia, inauma sana pale thaman ya upendo haithaminiw na m2 unaempenda, hata mm nna tatz kama hilo, nakushaur fanya kama vle kumpotezea tu, usimpgie wala ku2ma sms, futa na namba yake i hope utamsahau na utakuwa normal tu, waschana wazur wapo wengi tu, kuwa busy na masomo na muombe mungu utampata atakaekuthamini.

As ante nimekuelewa vzur
 
Hizi story za mapenzi chuo utaishia kufeli au kufanya kitu kibaya mpaka ukafukizwa chuo, kuna chalii nilikiwa nae mwaka mmoja naue alikiwa amefall kwa msichana mmoja sasa demu mwenyewe alikuwa hayupo serious anagegedwa hovyo na machalii wengine mchizi akaenda mpaka room kwa huyo demu sababu alikuwa amezoeleka na ma roommate wa demu wake akfungua locker akabeba vyeti vya demu kuanzia olevel akavichana chana vyote na laptop akaivunja hovyo hovyo kama kumkomoa flan ivi mwisho wa siku jamaa akafukuzwa chuo cha ajabu demu watu wanaendelea kujipigia kama kawaida huwa nikimuonaga huyu demu naumiaga sana sababu mchizi hatunae yena chuo na jamaa alipenda kweli aisee mapenzi ya kichuo chuo ni umiza kichwa kwa hiyo kuwa makini jombaaa isije poteza kilicho. kupeleka hapo ambacho ni shule papuchi hata mtaani zipo kibao zinazojua kucare.

Ntafanya kila ninaloweza anitoke
 
huyo sion la kumshaur kwa sasa kwan cjui hicho chuo anachosoma km kinamsaidia lolote. ila kwa machache; mwaache aende kwa mganga aanze kuukimbiza upepo ndo atajua faida ya waganga. wanasema mtoto akililia wembe mpe

Wazo la mganga nishafuta mkuu
 
Back
Top Bottom