Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 375,731
- 870,484
Unaweza kumuelekeza. ? Kwani kwa mfano kwa viongoz wa dini hakiwez kuisha?
Hapana hilo jambo ni la wao wawili
Unaweza kumuelekeza. ? Kwani kwa mfano kwa viongoz wa dini hakiwez kuisha?
Habari wana jamvi Mimi ni kijana wa miaka ishirin na mbili pia ni mwanachuo.Nimeleta uzi huu jamvin kwa lengo la kupata msaada utakao nisaidia kuondokana na maumivu haya.
Kuna bint mmoja nipo naye kwenye mahusiano ninampenda sana naweza kusema nampenda kuliko mtu yeyote chin ya jua hili na hata yeye unalitambua hilo,,,shida iliyopo ni kuwa c msikivu na ananichukulia poa sana licha ya kuwa unafanya meng kwa ajili yake lakn mwenzangu haonesh kujal hata kidogo anajimlia mambo yake mwenyewe bila hata kunishirikisha kama mme wake mtarijiwa
Kutokana na hal hiyo wakat mwngne nashindwa hata kusoma,kula na kufanya vitu vngine pia.Ninachokifikiria ni kwenda kwa mganga kumtafutia dawa kwa sababu siwez kumuacha na sitak kumuacha.Ila naomba mawazo yenu pia ili nijue ni kpi napaswa kufanya.
Natanguliza shukrani
asante kwa ushaur mkuu i will let her go.Maumivu niache maisha ya furaha nianze..... kupenda usipopendwa ni ugonjwa ambao tiba yake ni kumwacha aende tu... Set her free, let her go man
Sikujua mkuu lakin nshajifunza kutokana na makosaunatakiwa ujue kwamba hata siku moja usitake mpenzi uko naye darasa ama course moja, lazma akudharau tuu.. ACHA UPUMBAVU WA KISHIRIKINA Tafuta kwingine, Jinga kapsaaa!
mkuu naomba ufafanunue maana cjakuelewaHapana hilo jambo ni la wao wawili
Hapana hilo jambo ni la wao wawili
mkuu naomba ufafanunue maana cjakuelewa
Kwa hiyo wao wawili kwa pamoja wanaweza kulimaliza kwa namna ipi?....
Wakae pamoja wakubaliane kutengua
Kaka samahani umelelewa na wazazi wote wawili au mama tu?mkuu naomba ufafanunue maana cjakuelewa
Sijapotea nemo, nipo nimejaa teleeee
Wakae pamoja wakubaliane kutengua
Asante mkuuPole sana. Soma kwa bidii tafuta pesa atatulia mwenyewe..
Asante sana broSikiliza kijana, Mwenyezi Mungu hakufungi kwa kiapo kutokana na mambo ya "kipuuzi".
Hicho kiapo ni batili, na mbele za Mungu hakuna kiapo cha damu.
Ni dhahiri shetani alikuwa anatafuta namna ya kukuingiza katika wasiwasi kupitia hicho kinachoitwa kiapo.
Cha kufanya hapo Kikane hicho kiapo na muombe Mwenyezi Mungu akufungue pepo lolote lililotake advantage ya hicho kiapo feki