Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,951
- 183,519
Visa ni dalili ya 'kutokumachua'??.
Ingawa huwa ni vigumu but ni vema kukubali kama ni NO bas ni noo..
kila mmoja kimyakimya 50's zake
Ofcoz ni dalili ndio, kwanini umfanyie visa mtu anayekupenda? Ili iweje? Kwa faida ya nani?? If yo matured enough huwezi fanya huo upuuzi, just tell the truth kuwa hapa mambo hayaendi hatuwezi kuendelea baasi kila mtu ashike50 zake, inauma ila ndio haiwezekani na haitakiwi kulazimisha!!