Na hapo ndo atapata mtu anamchosha hafiki,hizi equation huwa hazi balanceHuenda ndiye pekee anamfikisha kilele cha mlima Everest...
Kamtibu binti pm...

Na Iringa navyo ijua huenda hata umeme kaachiwaYaani huyu ni wale ngoja nimsamehe atarekebishika kumbe unapigwa tukio kubwa kuliko
Huenda anachagua mnonamshauri awe na mtu tu wacheki afya anyanduane kwa uhuru kama sehemu ya kutoa stress kwa kipindi hiki kwanza. after time asettle mambo yake vizuri ampate mume sahihi lakini akisema akae tuu kumbukukumbu zitajirudia za huyo mwanaume. afanye hivyo
TTatizo nyinyi mnapenda sana kuolewa kwa hiyo vijana wengi wanaingia kwa gia ya "nitakuoa uwe mke wangu" ukipewa na vizawadi na outing za hapa na pale unampa mbususu akishaitafuna anasepa
Tena Dr mwenyewe akstuka tuu anampa fasta kimoko na Dundee inaendeleaNimecheka kwanini alie mpk alazwe awekewe drip jamani? Ni vile hawezi kuhandle hizo mambo. Pia nimecheka kuwaona ww na swahiba wako mmecheka
Shida yake pia atapata mtu na jamaa ataleta mchongo atamgonga tenaKosa lako ni kurudiana nae!
Na ww kapime huenda umeshaachiwa ila hujajijua badoNa Iringa navyo ijua huenda hata umeme kaachiwa
Aidii mpya kwa mara nyingine teinaaa (in dj mark voice)Habari zenu wana jukwaa wa JF, nombeni ushauri jamani, nifanyaje nimsahau huyu mwanaume?
Nilikuwa kwenye mahusiano na kaka mmoja jina sitomtaja tangu mwaka 2018, tumedumu vizurii kabisa toka kipindi hicho tupo chuo mpaka tukamaliza. Baada ya kumaliza chuo kila mtu akaenda mkoani kwakwe japo mawasiliano yalikuwa vizuri kabisa, nauli natumiwa naenda kwake mpaka ikafika kipindi nikapata kazi mkoa aliyopo yeye.
Tukashukuru Mungu, maana mahusiano yetu yalizidi kuimarika kadri siku zinavyoenda. Kipindi hicho yeye anahangaika na biashara zake kuna muda anafilisika (mtaji unakufa), mimi natoa nusu ya mshahara wangu aongezee ili aendelee na biashara.
Tatizo likaja kipindi mambo yake yamemnyookea, akabadilika gafla akawa mtu wa wanawake sana, yaani sijui hata hiyo tabia aliitolea wapi?! Tena ikawa siyo kujificha ni waziwazi. Mara unamfumania anaomba msamaha anabadilika hata mwezi mmoja lakini anarudia tabia ileile!
Mwaka huu ilikuwa tarehe 24 mwezi wa kwanza, ilitokea kutoelewana naye baada ya mimi kuwa namfatilia kwanini anakuwa ananisaliti. Hapo ndiyo alinambia mimi na wewe basi, fanya mambo yako songa mbele sikuhitaji tena kwenye maisha yangu! nikiuliza sababu ni nini ananiambia tatizo lako unanifatilia sana na unasikiliza maneno ya watu wanakudanganya kuwa mimi naingiza wanawake huku ndani kwangu.
Nikasema sawa, kama kukuuliza ni shida basi naomba unisamehe kwasababu nakupenda sana, lakini akakataa. Nikaumia, nikalia na nikazoea nikaendelea na maisha mengine.
Ilivyofika mwezi wa tano akaanza kunitafuta akidai turudiane, nikawa na wasiwasi naye lakini ilivyofika tarehe 27 mwezi wa saba nikamsamehe nikarudiana naye, tukaendelea na mahusiano. Ahadi nyingi, nikawa nafurahia mahusiano lakini cha kushangaza mwezi huu tarehe 5 akabadilika gafla.
Mawasiliano ni mchana tu akiwa kazini, usiku hapokei simu wala hajibu ujumbe na muda mwingine nalimwa 'block'. Ilivofika tarehe 8 akanambia kunamwanamke mwingine ameenda kwakwe na amekataa kuondoka hivyo mimi nisijaribu kwenda kwake, na nikienda tu yeye atahama hapo anapoishi au mkoa kabisa atahama, na nikijaribu tu hiyo ndiyo itakuwa tiketi ya mimi na yeye kuachana.
Aisee ndugu zanguni, mpaka leo nashindwa kuzoea! Nimelazwa hospitali na dripu za maji juu lakini nashindwa kumsahau.
Naomba mnisaidie namna ya kumsahau.
Iringa sehemu gani tuonane nikushauri kitu [emoji846]Nipo iringa
Una akili za kijinga sana mnapenda wasiowapenda, unamjenga mwanaume anaebomoa tofali, ulimpenda mhuni sasa endelea, ukiwa mwanamke, pamoja na yote njoo inbox nikuimarishe kifikra, kiakili na kiroho ni hayo tuHabari zenu wana jukwaa wa JF, nombeni ushauri jamani, nifanyaje nimsahau huyu mwanaume?
Nilikuwa kwenye mahusiano na kaka mmoja jina sitomtaja tangu mwaka 2018, tumedumu vizurii kabisa toka kipindi hicho tupo chuo mpaka tukamaliza. Baada ya kumaliza chuo kila mtu akaenda mkoani kwakwe japo mawasiliano yalikuwa vizuri kabisa, nauli natumiwa naenda kwake mpaka ikafika kipindi nikapata kazi mkoa aliyopo yeye.
Tukashukuru Mungu, maana mahusiano yetu yalizidi kuimarika kadri siku zinavyoenda. Kipindi hicho yeye anahangaika na biashara zake kuna muda anafilisika (mtaji unakufa), mimi natoa nusu ya mshahara wangu aongezee ili aendelee na biashara.
Tatizo likaja kipindi mambo yake yamemnyookea, akabadilika gafla akawa mtu wa wanawake sana, yaani sijui hata hiyo tabia aliitolea wapi?! Tena ikawa siyo kujificha ni waziwazi. Mara unamfumania anaomba msamaha anabadilika hata mwezi mmoja lakini anarudia tabia ileile!
Mwaka huu ilikuwa tarehe 24 mwezi wa kwanza, ilitokea kutoelewana naye baada ya mimi kuwa namfatilia kwanini anakuwa ananisaliti. Hapo ndiyo alinambia mimi na wewe basi, fanya mambo yako songa mbele sikuhitaji tena kwenye maisha yangu! nikiuliza sababu ni nini ananiambia tatizo lako unanifatilia sana na unasikiliza maneno ya watu wanakudanganya kuwa mimi naingiza wanawake huku ndani kwangu.
Nikasema sawa, kama kukuuliza ni shida basi naomba unisamehe kwasababu nakupenda sana, lakini akakataa. Nikaumia, nikalia na nikazoea nikaendelea na maisha mengine.
Ilivyofika mwezi wa tano akaanza kunitafuta akidai turudiane, nikawa na wasiwasi naye lakini ilivyofika tarehe 27 mwezi wa saba nikamsamehe nikarudiana naye, tukaendelea na mahusiano. Ahadi nyingi, nikawa nafurahia mahusiano lakini cha kushangaza mwezi huu tarehe 5 akabadilika gafla.
Mawasiliano ni mchana tu akiwa kazini, usiku hapokei simu wala hajibu ujumbe na muda mwingine nalimwa 'block'. Ilivofika tarehe 8 akanambia kunamwanamke mwingine ameenda kwakwe na amekataa kuondoka hivyo mimi nisijaribu kwenda kwake, na nikienda tu yeye atahama hapo anapoishi au mkoa kabisa atahama, na nikijaribu tu hiyo ndiyo itakuwa tiketi ya mimi na yeye kuachana.
Aisee ndugu zanguni, mpaka leo nashindwa kuzoea! Nimelazwa hospitali na dripu za maji juu lakini nashindwa kumsahau.
Naomba mnisaidie namna ya kumsahau.
Muasherati anapataje nguvu ya kufunga maombi, mwanamke Bora ni yule anaomba Mungu na msamaha wake wakati akiwa kwenye mahusiano ili Mungu afute makosa yake na ampe pacha wake wa kweliPole sana yumwema. Inauma mno mno mno. Kwanza kabisa huyo inawezekana ndiye chaguo lako la Mungu. Kaa kwa imani yako muulize Mungu kama ni yeye kweli Mungu alimleta kwako.
Nafsi ikisema hapana basi jipe muda, funga na kusali kwa muda wa siku saba utaona matokeo, utamsahau kabisa
Ndugu usiseme hivyo kwamba ninaakili za kijinga ivi unajuaje kama huyu mtu hakupendi kama bado hajakuonyesha viashiria? Na alionyesha kunipenda na tulipendana kwel Ila akaja badilika so usiseme mtu anaakili za kijingaUna akili za kijinga sana mnapenda wasiowapenda, unamjenga mwanaume anaebomoa tofali, ulimpenda mhuni sasa endelea, ukiwa mwanamke, pamoja na yote njoo inbox nikuimarishe kifikra, kiakili na kiroho ni hayo tu
Hata Mungu anawahitaji wakosefu ili wamrudie ,,so Kama ww ni mkamilifu mshukuru Mungu lakin si kusema MuasheratiMuasherati anapataje nguvu ya kufunga maombi, mwanamke Bora ni yule anaomba Mungu na msamaha wake wakati akiwa kwenye mahusiano ili Mungu afute makosa yake na ampe pacha wake wa kweli
naomba Mungu watoto wangu wa kike wasije kuwa kama wewe. kwamba huwezi kulala kwasababu ya mtu mliyekutana naye ukubwani, unayemfumania ambaye anytime anaweza kukuletea ukimwi mkagawana vitanda vya kuugulia mwingine ataenda kwa wazazi hawa wakamsaidie kumpeleka chooni n a mwingine kwa hawa. na mwisho wa siku mtagawana makaburi. kimbia, achana naye huyo, sio mtu sahihi kwako, Mungu anakuonyesha na kukuepusha naye lakini hausikii, unataka Mungu ashuke aongee kwa sauti kwamba hapo umepotea? zaidi sana mnazini, mtakuwa matunda ya uzinzi wenu. unaweza kukuta unakufa kwa kumuwaza huyo na mnaenda motoni mkakutana muwake pamoja kwasababu mpo kwenye mahusiano ya kizinzi kwanza, maadamu Mungu amekupa nafasi na pumzi ya kupumua na kuongea na Mungu, piga magoti, tubu na mrudie Mungu wako, achana naye huyo. utapotea. trust me.Habari zenu wana jukwaa wa JF, nombeni ushauri jamani, nifanyaje nimsahau huyu mwanaume?
Nilikuwa kwenye mahusiano na kaka mmoja jina sitomtaja tangu mwaka 2018, tumedumu vizurii kabisa toka kipindi hicho tupo chuo mpaka tukamaliza. Baada ya kumaliza chuo kila mtu akaenda mkoani kwakwe japo mawasiliano yalikuwa vizuri kabisa, nauli natumiwa naenda kwake mpaka ikafika kipindi nikapata kazi mkoa aliyopo yeye.
Tukashukuru Mungu, maana mahusiano yetu yalizidi kuimarika kadri siku zinavyoenda. Kipindi hicho yeye anahangaika na biashara zake kuna muda anafilisika (mtaji unakufa), mimi natoa nusu ya mshahara wangu aongezee ili aendelee na biashara.
Tatizo likaja kipindi mambo yake yamemnyookea, akabadilika gafla akawa mtu wa wanawake sana, yaani sijui hata hiyo tabia aliitolea wapi?! Tena ikawa siyo kujificha ni waziwazi. Mara unamfumania anaomba msamaha anabadilika hata mwezi mmoja lakini anarudia tabia ileile!
Mwaka huu ilikuwa tarehe 24 mwezi wa kwanza, ilitokea kutoelewana naye baada ya mimi kuwa namfatilia kwanini anakuwa ananisaliti. Hapo ndiyo alinambia mimi na wewe basi, fanya mambo yako songa mbele sikuhitaji tena kwenye maisha yangu! nikiuliza sababu ni nini ananiambia tatizo lako unanifatilia sana na unasikiliza maneno ya watu wanakudanganya kuwa mimi naingiza wanawake huku ndani kwangu.
Nikasema sawa, kama kukuuliza ni shida basi naomba unisamehe kwasababu nakupenda sana, lakini akakataa. Nikaumia, nikalia na nikazoea nikaendelea na maisha mengine.
Ilivyofika mwezi wa tano akaanza kunitafuta akidai turudiane, nikawa na wasiwasi naye lakini ilivyofika tarehe 27 mwezi wa saba nikamsamehe nikarudiana naye, tukaendelea na mahusiano. Ahadi nyingi, nikawa nafurahia mahusiano lakini cha kushangaza mwezi huu tarehe 5 akabadilika gafla.
Mawasiliano ni mchana tu akiwa kazini, usiku hapokei simu wala hajibu ujumbe na muda mwingine nalimwa 'block'. Ilivofika tarehe 8 akanambia kunamwanamke mwingine ameenda kwakwe na amekataa kuondoka hivyo mimi nisijaribu kwenda kwake, na nikienda tu yeye atahama hapo anapoishi au mkoa kabisa atahama, na nikijaribu tu hiyo ndiyo itakuwa tiketi ya mimi na yeye kuachana.
Aisee ndugu zanguni, mpaka leo nashindwa kuzoea! Nimelazwa hospitali na dripu za maji juu lakini nashindwa kumsahau.
Naomba mnisaidie namna ya kumsahau.
Usiogope nimekupa changamoto ya hasira tu. La hasha si dhamira, Wanawake huwa hamtakagi critical mind discussions, ukiwa na mwanaume ongea nae vitu vingi vya akili hasa future, Mipango, anawaza nini, atafikaje, wewe uliendekeza unafiki wake nyakati zake za shida, ulimpa hema nyakati za shida. Ukiwa na njaa utapenda hata ndizi malindi Kwa mshikaki wakati wewe unapenda mzuzu uile hata bila nyama. Take care. Akili kwanzaNdugu usiseme hivyo kwamba ninaakili za kijinga ivi unajuaje kama huyu mtu hakupendi kama bado hajakuonyesha viashiria? Na alionyesha kunipenda na tulipendana kwel Ila akaja badilika so usiseme mtu anaakili za kijinga
PwUsiogope nimekupa changamoto ya hasira tu. La hasha si dhamira, Wanawake huwa hamtakagi critical mind discussions, ukiwa na mwanaume ongea nae vitu vingi vya akili hasa future, Mipango, anawaza nini, atafikaje, wewe uliendekeza unafiki wake nyakati zake za shida, ulimpa hema nyakati za shida. Ukiwa na njaa utapenda hata ndizi malindi Kwa mshikaki wakati wewe unapenda mzuzu uile hata bila nyama. Take care. Akili kwanza
Uesherati usipinge zingatia reforms zako usikasirike jisahihishe. Hujaolewa Kwa hio wewe unafanya uasherati huna sifa ya uzinzi.Hata Mungu anawahitaji wakosefu ili wamrudie ,,so Kama ww ni mkamilifu mshukuru Mungu lakin si kusema Muasherati
OkUesherati usipinge zingatia reforms zako usikasirike jisahihishe. Hujaolewa Kwa hio wewe unafanya uasherati huna sifa ya uzinzi.
Unafiki mnaokuwa nao nyie hata sisi wanaume tunao, ukiwa na shida na demu anazo na si mchoyo japo sio taste zako tuna fake vizuri tu.
Ndio umuhimu wa kurepent nyakati ukiwa Kwa relationship yako.
🤣🤣🤣 hebu fafanua vizuri hapa kwanzaMbususu nyingine majanga zinatema Gris nyeupe