Nifanye nini ili nisimkumbuke? Ananiumiza sana

Nifanye nini ili nisimkumbuke? Ananiumiza sana

Miaka hii ndo imekua na marriage fever that's why matukio ni mengi.
Marriage fever ni kubwa sana siku hizi ukiwa kwenye mahusiano na mwanamke wa kuanzia 25 au 27+ lazima atataka kujua future ya mahusiano yenu je, utamuoa?

Lakini kumbe mara nyingi wahuni tunataka tu utelezi tukimaliza tutokomee kusikojulikana
 
Habari zenu wana jukwaa wa JF, nombeni ushauri jamani, nifanyaje nimsahau huyu mwanaume?

Nilikuwa kwenye mahusiano na kaka mmoja jina sitomtaja tangu mwaka 2018, tumedumu vizurii kabisa toka kipindi hicho tupo chuo mpaka tukamaliza...
Itakuuma ila uhalisia huyo jamaa HAKUKUPENDA tangu mwanzo,sema inaonekana wewe ulimpenda sana, hivyo alitumia upendo wako Kama mtaji.

Sababu alikuona una huruma hivyo unaweza kum bust kwenye mambo yake ila baada ya mambo yake kunyooka kaona unampotezea muda.

Kwa sasa nakushauri japo itakuwia vugumu ila kubaliana na hali,kubali tu kuwa alikuwa hakupendi fanya mambo mengine unayohisi yatakupa furaha, kumbuka kuwa wewe siyo wa kwanza kupitia situation Kama hiyo,wapo wengi tu walipitia na wakatoka salama..

Sent from my CPH2083 using JamiiForums mobile app
 
Kupenda ni kitu kingine aisee asikwambie mtu, huyu bidada alikuwa anatoa nusu ya mshahara wake kussuport biashara ya mpenzi wake kwa sababu alimpenda sana sio ubwege

Kuna wadau wamemshauri vizuri hayo maumivu anayopitia ya kusalitiwa na mtu anayempenda yataisha mdogo mdogo ajipe muda tu
Amini ninachokwambia mimi.
 
Nimecheka kwanini alie mpk alazwe awekewe drip jamani? Ni vile hawezi kuhandle hizo mambo. Pia nimecheka kuwaona ww na swahiba wako mmecheka
Wee dada alijitoa sana nusu mshahara anahonga kwa mwanaume alafu njemba inaenda sasambua mbususu nyingine lazima utundikwe drip.
Sasa hapo anawaze hela zake alafu pia anawaze jinsi jamaa anavyojua kumgegeda dada anachanganyikiwa kabisa
 
Wee dada alijitoa sana nusu mshahara anahonga kwa mwanaume alafu njemba inaenda sasambua mbususu nyingine lazima utundikwe drip.
Sasa hapo anawaze hela zake alafu pia anawaze jinsi jamaa anavyojua kumgegeda dada anachanganyikiwa kabisa
Mhhh kakwambia anamgegedua vizuri?
 
Umeniumiza sana na mimi.

Si Kwa hali unayopitia bali kunisomesha hadithi yote bila ya nukta wala mkato.

Yaani unatakiwa usome bila kuhema au kufumba macho au kumeza mate.

Natamani ninge-attach sauti namna ya kusoma kisa cha binti yetu.

Nipo hospital. Nimekosa pumzi. Tuendelee kupata drip wote.
[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Habari zenu wana jukwaa wa JF, nombeni ushauri jamani, nifanyaje nimsahau huyu mwanaume?

Nilikuwa kwenye mahusiano na kaka mmoja jina sitomtaja tangu mwaka 2018, tumedumu vizurii kabisa toka kipindi hicho tupo chuo mpaka tukamaliza. Baada ya kumaliza chuo kila mtu akaenda mkoani kwakwe japo mawasiliano yalikuwa vizuri kabisa, nauli natumiwa naenda kwake mpaka ikafika kipindi nikapata kazi mkoa aliyopo yeye.

Tukashukuru Mungu, maana mahusiano yetu yalizidi kuimarika kadri siku zinavyoenda. Kipindi hicho yeye anahangaika na biashara zake kuna muda anafilisika (mtaji unakufa), mimi natoa nusu ya mshahara wangu aongezee ili aendelee na biashara.

Tatizo likaja kipindi mambo yake yamemnyookea, akabadilika gafla akawa mtu wa wanawake sana, yaani sijui hata hiyo tabia aliitolea wapi?! Tena ikawa siyo kujificha ni waziwazi. Mara unamfumania anaomba msamaha anabadilika hata mwezi mmoja lakini anarudia tabia ileile!

Mwaka huu ilikuwa tarehe 24 mwezi wa kwanza, ilitokea kutoelewana naye baada ya mimi kuwa namfatilia kwanini anakuwa ananisaliti. Hapo ndiyo alinambia mimi na wewe basi, fanya mambo yako songa mbele sikuhitaji tena kwenye maisha yangu! nikiuliza sababu ni nini ananiambia tatizo lako unanifatilia sana na unasikiliza maneno ya watu wanakudanganya kuwa mimi naingiza wanawake huku ndani kwangu.

Nikasema sawa, kama kukuuliza ni shida basi naomba unisamehe kwasababu nakupenda sana, lakini akakataa. Nikaumia, nikalia na nikazoea nikaendelea na maisha mengine.

Ilivyofika mwezi wa tano akaanza kunitafuta akidai turudiane, nikawa na wasiwasi naye lakini ilivyofika tarehe 27 mwezi wa saba nikamsamehe nikarudiana naye, tukaendelea na mahusiano. Ahadi nyingi, nikawa nafurahia mahusiano lakini cha kushangaza mwezi huu tarehe 5 akabadilika gafla.

Mawasiliano ni mchana tu akiwa kazini, usiku hapokei simu wala hajibu ujumbe na muda mwingine nalimwa 'block'. Ilivofika tarehe 8 akanambia kunamwanamke mwingine ameenda kwakwe na amekataa kuondoka hivyo mimi nisijaribu kwenda kwake, na nikienda tu yeye atahama hapo anapoishi au mkoa kabisa atahama, na nikijaribu tu hiyo ndiyo itakuwa tiketi ya mimi na yeye kuachana.

Aisee ndugu zanguni, mpaka leo nashindwa kuzoea! Nimelazwa hospitali na dripu za maji juu lakini nashindwa kumsahau.

Naomba mnisaidie namna ya kumsahau.
Sasa bibie kama huyo jamaa amefikia mpaka hatua ya kukublock! Umemshuhudia mara kadhaa kukusaliti! Amekuambia kuna mwanamke mwingine yupo nyumbani!

Bado tu unamfikiria kwenye akili yako!! Kama huuwezi uke wenza, na wewe mpotezee. Ila kama unauweza huo uke wenza, endelea naye. Kiufupi kwake, wewe ni namba 2! Hivyo unatakiwa kujiongeza. Mtu una mpaka kazi yako, lakini bado unakubali tu kuumizwa na mapenzi!!

Pole sana.
 
Back
Top Bottom