Nyie titozo lenu nikisema ukweli mnadema sina akiliNakwambia mzabzab huna akili haki 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Dawa ya moto ni moto... Anzisha mahusiano mengine... Duniani tumekuja kufurah... Usiumize kichwa take easy tu...Habari zenu wana jukwaa wa JF, nombeni ushauri jamani, nifanyaje nimsahau huyu mwanaume?
Nilikuwa kwenye mahusian na kaka mmoja jina sitomtaja tangu mwaka 2018, tumedumu vizurii kabisa toka kipindi hicho tupo chuo mpaka tukamaliza. Baada ya kumaliza chuo kila mtu akaenda mkoani kwakwe japo mawasiliano yalikua vizuri kabisa, nauli natumiwa naenda kwake mpaka ikafika kipindi nikapata kazi mkoa aliyopo yeye.
Tukashukuru Mungu, maana mahusiano yetu yalizidi kuimarika kadri siku zinavyoenda. Kipindi hicho yeye anahangaika na biashara zake kuna muda anafilisika (mtaji unakufa), mimi natoa nusu ya mshahara wangu aongezee ili aendelee na biashara.
Tatizo likaja kipindi mambo yake yamemnyookea, akabadilika gafla akawa mtu wa wanawake sana, yaani sijui hata hiyo tabia aliitolea wapi?! Tena ikawa siyo kujificha ni waziwazi. Mara unamfumania anaomba msamaha anabadilika hata mwez mmoja lakini anarudia tabia ileile!
Mwaka huu ilikuwa tarehe 24 mwezi wa kwanza, ilitokea kutoelewana naye baada ya mimi kuwa namfatilia kwanini anakuwa ananisaliti. Hapo ndiyo alinambia mimi na wewe basi, fanya mambo yako songa mbele sikuhitaji tena kwenye maisha yangu! nikiuliza sababu ni nini ananiambia tatizo lako unanifatilia sana na unasikiliza maneno ya watu wanakudanganya kuwa mimi naingiza wanawake huku ndani kwangu.
Nikasema sawa, kama kukuuliza ni shida basi naomba unisamehe kwasababu nakupenda sana, lakini akakataa. Nikaumia, nikalia na nikazoea nikaendelea na maisha mengine.
Ilivyofika mwezi wa tano akaanza kunitafuta akidai turudiane, nikawa na wasiwasi naye lakini ilivyofika tarehe 27 mwezi wa saba nikamsamehe nikarudiana naye, tukaendelea na mahusiano. Ahadi nyingi, nikawa nafurahia mahusiano lakini cha kushangaza mwezi huu tarehe 5 akabadilika gafla.
Mawasiliano ni mchana tu akiwa kazini, usiku hapokei simu wala hajibu ujumbe na muda mwingine nalimwa 'block'. Ilivofika tarehe 8 akanambia kunamwanamke mwingine ameenda kwakwe na amekataa kuondoka hivyo mimi nisijaribu kwenda kwake, na nikienda tu yeye atahama hapo anapoishi au mkoa kabisa atahama, na nikijaribu tu hiyo ndiyo itakuwa tiketi ya mimi na yeye kuachana.
Aisee ndugu zanguni, mpaka leo nashindwa kuzoea! Nimelazwa hospitali na dripu za maji juu lakini nashindwa kumsahau.
Naomba mnisaidie namna ya kumsahau.
Yaani huyu ni wale ngoja nimsamehe atarekebishika kumbe unapigwa tukio kubwa kulikoPole, ila ni kama umeyataka, mwanaume alikuacha anarudi mara ya pili, unampokea. Ulijua yatadumu?
Hapo alikosa mbususu In mzabzab voice...
Pili unatoaje hela yako ya mshahara, na kumpa boyfriend? Siyo mume huyo. Na unasema sasa unashindwa hadi kufanya kazi!!!! Jua kazi ndiyo mume wako sasa...
Mtoe akilini, fanya vitu unavyopenda na vinavyokupa furaha, maumivu ni ya muda na yataisha na utamsahau, utajiuliza ulimpendea nini?
Ajipe muda kwanza, akikurupuka ataingia mahala si sahihi tena.Dawa ya moto ni moto... Anzisha mahusiano mengine... Duniani tumekuja kufurah... Usiumize kichwa take easy tu...
Move on, hamna mahusiano hapo, wala future hakuna hapo huyo ana interest zake kwako. Atakuja akulize vibaya sana. Jiweke busy, pata Kampany nzuri, jichanganye ili usahau. Usianzishe mahusiano mengine kwa sasa upate muda upone na upumue upate mtu sahihi.Habari zenu wana jukwaa wa JF, nombeni ushauri jamani, nifanyaje nimsahau huyu mwanaume?
Nilikuwa kwenye mahusian na kaka mmoja jina sitomtaja tangu mwaka 2018, tumedumu vizurii kabisa toka kipindi hicho tupo chuo mpaka tukamaliza. Baada ya kumaliza chuo kila mtu akaenda mkoani kwakwe japo mawasiliano yalikua vizuri kabisa, nauli natumiwa naenda kwake mpaka ikafika kipindi nikapata kazi mkoa aliyopo yeye.
Tukashukuru Mungu, maana mahusiano yetu yalizidi kuimarika kadri siku zinavyoenda. Kipindi hicho yeye anahangaika na biashara zake kuna muda anafilisika (mtaji unakufa), mimi natoa nusu ya mshahara wangu aongezee ili aendelee na biashara.
Tatizo likaja kipindi mambo yake yamemnyookea, akabadilika gafla akawa mtu wa wanawake sana, yaani sijui hata hiyo tabia aliitolea wapi?! Tena ikawa siyo kujificha ni waziwazi. Mara unamfumania anaomba msamaha anabadilika hata mwez mmoja lakini anarudia tabia ileile!
Mwaka huu ilikuwa tarehe 24 mwezi wa kwanza, ilitokea kutoelewana naye baada ya mimi kuwa namfatilia kwanini anakuwa ananisaliti. Hapo ndiyo alinambia mimi na wewe basi, fanya mambo yako songa mbele sikuhitaji tena kwenye maisha yangu! nikiuliza sababu ni nini ananiambia tatizo lako unanifatilia sana na unasikiliza maneno ya watu wanakudanganya kuwa mimi naingiza wanawake huku ndani kwangu.
Nikasema sawa, kama kukuuliza ni shida basi naomba unisamehe kwasababu nakupenda sana, lakini akakataa. Nikaumia, nikalia na nikazoea nikaendelea na maisha mengine.
Ilivyofika mwezi wa tano akaanza kunitafuta akidai turudiane, nikawa na wasiwasi naye lakini ilivyofika tarehe 27 mwezi wa saba nikamsamehe nikarudiana naye, tukaendelea na mahusiano. Ahadi nyingi, nikawa nafurahia mahusiano lakini cha kushangaza mwezi huu tarehe 5 akabadilika gafla.
Mawasiliano ni mchana tu akiwa kazini, usiku hapokei simu wala hajibu ujumbe na muda mwingine nalimwa 'block'. Ilivofika tarehe 8 akanambia kunamwanamke mwingine ameenda kwakwe na amekataa kuondoka hivyo mimi nisijaribu kwenda kwake, na nikienda tu yeye atahama hapo anapoishi au mkoa kabisa atahama, na nikijaribu tu hiyo ndiyo itakuwa tiketi ya mimi na yeye kuachana.
Aisee ndugu zanguni, mpaka leo nashindwa kuzoea! Nimelazwa hospitali na dripu za maji juu lakini nashindwa kumsahau.
Naomba mnisaidie namna ya kumsahau.
Akijipa muda ndio ataendelea kuumia zaidi.... Kwa sbbu atakukuwa anakumbuka matukio yakeAjipe muda kwanza, akikurupuka ataingia mahala si sahihi tena.
Basi awe makini sana sababu najua kwa sasa ni mpweke, huo upweke unaweza kumfanya akawa na mtu ilimradi tu kumbe kabugi mara mbili.Akijipa muda ndio ataendelea kuumia zaidi.... Kwa sbbu atakukuwa anakumbuka matukio yake
Hapo sawa... Ila na yeye aache uzembe... Ndio kupenda gani huko.... Au kaanza mapenz juzi..Basi awe makini sana sababu najua kwa sasa ni mpweke, huo upweke unaweza kumfanya akawa na mtu ilimradi tu kumbe kabugi mara mbili.
Hapo tatizo utakuta wala sio kukunwa, kinachotesa hua ni hisia na mazoea.Ukimpata wa kukukuna zaid yake utamsahau tu sometimes inakuwaga simple tu ila itaTake time kidogo
Rafiki wewe hujawahi kupenda ile yenyewe?Hapo sawa... Ila na yeye aache uzembe... Ndio kupenda gani huko.... Au kaanza mapenz juzi..
Tushawahi.. sasa ndio mpka uchanganyikiwe kiasi hcho.. mpka kuumwa...Rafiki wewe hujawahi kupenda ile yenyewe?
Nashukuru tokea nizaliwe sijawahi pendwa na mwanamke yeyote so technically sijawah kumtesa mwanamke yeyoteHabari zenu wana jukwaa wa JF, nombeni ushauri jamani, nifanyaje nimsahau huyu mwanaume?
Nilikuwa kwenye mahusian na kaka mmoja jina sitomtaja tangu mwaka 2018, tumedumu vizurii kabisa toka kipindi hicho tupo chuo mpaka tukamaliza. Baada ya kumaliza chuo kila mtu akaenda mkoani kwakwe japo mawasiliano yalikua vizuri kabisa, nauli natumiwa naenda kwake mpaka ikafika kipindi nikapata kazi mkoa aliyopo yeye.
Tukashukuru Mungu, maana mahusiano yetu yalizidi kuimarika kadri siku zinavyoenda. Kipindi hicho yeye anahangaika na biashara zake kuna muda anafilisika (mtaji unakufa), mimi natoa nusu ya mshahara wangu aongezee ili aendelee na biashara.
Tatizo likaja kipindi mambo yake yamemnyookea, akabadilika gafla akawa mtu wa wanawake sana, yaani sijui hata hiyo tabia aliitolea wapi?! Tena ikawa siyo kujificha ni waziwazi. Mara unamfumania anaomba msamaha anabadilika hata mwez mmoja lakini anarudia tabia ileile!
Mwaka huu ilikuwa tarehe 24 mwezi wa kwanza, ilitokea kutoelewana naye baada ya mimi kuwa namfatilia kwanini anakuwa ananisaliti. Hapo ndiyo alinambia mimi na wewe basi, fanya mambo yako songa mbele sikuhitaji tena kwenye maisha yangu! nikiuliza sababu ni nini ananiambia tatizo lako unanifatilia sana na unasikiliza maneno ya watu wanakudanganya kuwa mimi naingiza wanawake huku ndani kwangu.
Nikasema sawa, kama kukuuliza ni shida basi naomba unisamehe kwasababu nakupenda sana, lakini akakataa. Nikaumia, nikalia na nikazoea nikaendelea na maisha mengine.
Ilivyofika mwezi wa tano akaanza kunitafuta akidai turudiane, nikawa na wasiwasi naye lakini ilivyofika tarehe 27 mwezi wa saba nikamsamehe nikarudiana naye, tukaendelea na mahusiano. Ahadi nyingi, nikawa nafurahia mahusiano lakini cha kushangaza mwezi huu tarehe 5 akabadilika gafla.
Mawasiliano ni mchana tu akiwa kazini, usiku hapokei simu wala hajibu ujumbe na muda mwingine nalimwa 'block'. Ilivofika tarehe 8 akanambia kunamwanamke mwingine ameenda kwakwe na amekataa kuondoka hivyo mimi nisijaribu kwenda kwake, na nikienda tu yeye atahama hapo anapoishi au mkoa kabisa atahama, na nikijaribu tu hiyo ndiyo itakuwa tiketi ya mimi na yeye kuachana.
Aisee ndugu zanguni, mpaka leo nashindwa kuzoea! Nimelazwa hospitali na dripu za maji juu lakini nashindwa kumsahau.
Naomba mnisaidie namna ya kumsahau.
hujawah bwana.Tushawahi.. sasa ndio mpka uchanganyikiwe kiasi hcho.. mpka kuumwa...
Mimi sio mzembe kiasi hicho bana..
Tyr rafiki yangu... Au na ww upo kundi hili..hujawah bwana.