Nifanye nini ili nisimkumbuke? Ananiumiza sana

ilivofika tr 8 akanambia kunamwanamke mwingine ameenda kwakwe na amekataa kuondoka ivo mimi nisijaribu kwenda kwake na nikienda tu yy atahama hapo anapoishi au mkoa kabisa atahama na nikijaribu tu hiyo ndo itakua tiketi ya mm na yy kuachana.

Aisee ndugu zanguni mpaka leo nashindwa kuzoea nimelazwa hospital na drip za maji juu lakin nashindwa kumsahau, naomba mnisaidie namna ya kumsahau.
Pole mwaya
 
Inauma sana jamni bhc tu ukiangalia mtu unampenda Sana lakin anakutesa kisaikolojia adi kazi unashindwa kufanya kwa weledi , inanitesa Sana mm
Mtu akijua unampenda wanasumbuaga hivi hivi sijuagi ni kwa nini. Akienda huko akipigwa za uso ndio utamskia nisamehe turudiane bila hata aibu. Mtu wa hivi hata iweje hakuna kumpokea.
 
Habari zenu wana jukwaa wa JF, nombeni ushauri jamani, nifanyaje nimsahau huyu mwanaume?

Nilikuwa kwenye mahusian na kaka mmoja jina sitomtaja tangu mwaka 2018, tumedumu vizurii kabisa toka kipindi hicho tupo chuo mpaka tukamaliza. Baada ya kumaliza chuo kila mtu akaenda mkoani kwakwe japo mawasiliano yalikua vizuri kabisa, nauli natumiwa naenda kwake mpaka ikafika kipindi nikapata kazi mkoa aliyopo yeye.

Tukashukuru Mungu, maana mahusiano yetu yalizidi kuimarika kadri siku zinavyoenda. Kipindi hicho yeye anahangaika na biashara zake kuna muda anafilisika (mtaji unakufa), mimi natoa nusu ya mshahara wangu aongezee ili aendelee na biashara.

Tatizo likaja kipindi mambo yake yamemnyookea, akabadilika gafla akawa mtu wa wanawake sana, yaani sijui hata hiyo tabia aliitolea wapi?! Tena ikawa siyo kujificha ni waziwazi. Mara unamfumania anaomba msamaha anabadilika hata mwez mmoja lakini anarudia tabia ileile!

Mwaka huu ilikuwa tarehe 24 mwezi wa kwanza, ilitokea kutoelewana naye baada ya mimi kuwa namfatilia kwanini anakuwa ananisaliti. Hapo ndiyo alinambia mimi na wewe basi, fanya mambo yako songa mbele sikuhitaji tena kwenye maisha yangu! nikiuliza sababu ni nini ananiambia tatizo lako unanifatilia sana na unasikiliza maneno ya watu wanakudanganya kuwa mimi naingiza wanawake huku ndani kwangu.

Nikasema sawa, kama kukuuliza ni shida basi naomba unisamehe kwasababu nakupenda sana, lakini akakataa. Nikaumia, nikalia na nikazoea nikaendelea na maisha mengine.

Ilivyofika mwezi wa tano akaanza kunitafuta akidai turudiane, nikawa na wasiwasi naye lakini ilivyofika tarehe 27 mwezi wa saba nikamsamehe nikarudiana naye, tukaendelea na mahusiano. Ahadi nyingi, nikawa nafurahia mahusiano lakini cha kushangaza mwezi huu tarehe 5 akabadilika gafla.

Mawasiliano ni mchana tu akiwa kazini, usiku hapokei simu wala hajibu ujumbe na muda mwingine nalimwa 'block'. Ilivofika tarehe 8 akanambia kunamwanamke mwingine ameenda kwakwe na amekataa kuondoka hivyo mimi nisijaribu kwenda kwake, na nikienda tu yeye atahama hapo anapoishi au mkoa kabisa atahama, na nikijaribu tu hiyo ndiyo itakuwa tiketi ya mimi na yeye kuachana.

Aisee ndugu zanguni, mpaka leo nashindwa kuzoea! Nimelazwa hospitali na dripu za maji juu lakini nashindwa kumsahau.

Naomba mnisaidie namna ya kumsahau.
Utoto unakusumbua sio! Unataka baadaye uanze kujuta wakati umeona upo kwenye foleni ya wanawake wenzio. Labda kama hutaki kuwa na ndoa Bora unataka ilimradi ndoa, unamwona mwanaume anafanya mambo ya hovyo na wewe unang'ang'ania kuwa naye!

Ndio shida ya kuwa mke kwa mwanaume kabla ya kuolewa. Endelea, na siku akikupa na zawadi ya mtoto akakuachia akili zitakukaa sawa.
 
Inauma sana jamni bhc tu ukiangalia mtu unampenda Sana lakin anakutesa kisaikolojia adi kazi unashindwa kufanya kwa weledi , inanitesa Sana mm
Pole, ila ni kama umeyataka, mwanaume alikuacha anarudi mara ya pili, unampokea. Ulijua yatadumu?
Hapo alikosa mbususu In mzabzab voice...

Pili unatoaje hela yako ya mshahara, na kumpa boyfriend? Siyo mume huyo. Na unasema sasa unashindwa hadi kufanya kazi!!!! Jua kazi ndiyo mume wako sasa...
Mtoe akilini, fanya vitu unavyopenda na vinavyokupa furaha, maumivu ni ya muda na yataisha na utamsahau, utajiuliza ulimpendea nini?
 
Inaonekana mrembo ana huruma sana akaona bora jamaa aje kula mbususu....au jamaa fundi kweli akipewa mbususu anaipelekea moto vilivyo
 
Habari zenu wana jukwaa wa JF, nombeni ushauri jamani, nifanyaje nimsahau huyu mwanaume?

Nilikuwa kwenye mahusian na kaka mmoja jina sitomtaja tangu mwaka 2018, tumedumu vizurii kabisa toka kipindi hicho tupo chuo mpaka tukamaliza. Baada ya kumaliza chuo kila mtu akaenda mkoani kwakwe japo mawasiliano yalikua vizuri kabisa, nauli natumiwa naenda kwake mpaka ikafika kipindi nikapata kazi mkoa aliyopo yeye.

Tukashukuru Mungu, maana mahusiano yetu yalizidi kuimarika kadri siku zinavyoenda. Kipindi hicho yeye anahangaika na biashara zake kuna muda anafilisika (mtaji unakufa), mimi natoa nusu ya mshahara wangu aongezee ili aendelee na biashara.

Tatizo likaja kipindi mambo yake yamemnyookea, akabadilika gafla akawa mtu wa wanawake sana, yaani sijui hata hiyo tabia aliitolea wapi?! Tena ikawa siyo kujificha ni waziwazi. Mara unamfumania anaomba msamaha anabadilika hata mwez mmoja lakini anarudia tabia ileile!

Mwaka huu ilikuwa tarehe 24 mwezi wa kwanza, ilitokea kutoelewana naye baada ya mimi kuwa namfatilia kwanini anakuwa ananisaliti. Hapo ndiyo alinambia mimi na wewe basi, fanya mambo yako songa mbele sikuhitaji tena kwenye maisha yangu! nikiuliza sababu ni nini ananiambia tatizo lako unanifatilia sana na unasikiliza maneno ya watu wanakudanganya kuwa mimi naingiza wanawake huku ndani kwangu.

Nikasema sawa, kama kukuuliza ni shida basi naomba unisamehe kwasababu nakupenda sana, lakini akakataa. Nikaumia, nikalia na nikazoea nikaendelea na maisha mengine.

Ilivyofika mwezi wa tano akaanza kunitafuta akidai turudiane, nikawa na wasiwasi naye lakini ilivyofika tarehe 27 mwezi wa saba nikamsamehe nikarudiana naye, tukaendelea na mahusiano. Ahadi nyingi, nikawa nafurahia mahusiano lakini cha kushangaza mwezi huu tarehe 5 akabadilika gafla.

Mawasiliano ni mchana tu akiwa kazini, usiku hapokei simu wala hajibu ujumbe na muda mwingine nalimwa 'block'. Ilivofika tarehe 8 akanambia kunamwanamke mwingine ameenda kwakwe na amekataa kuondoka hivyo mimi nisijaribu kwenda kwake, na nikienda tu yeye atahama hapo anapoishi au mkoa kabisa atahama, na nikijaribu tu hiyo ndiyo itakuwa tiketi ya mimi na yeye kuachana.

Aisee ndugu zanguni, mpaka leo nashindwa kuzoea! Nimelazwa hospitali na dripu za maji juu lakini nashindwa kumsahau.

Naomba mnisaidie namna ya kumsahau.
Kumbuka mabaya yake mara kwa mara na futa kumbukumbu zote kwenye simu yake hata kama namba yake ipo kichwani
 
Back
Top Bottom