Jini mahaba ni mpuuzi sana wakuu!

Jini mahaba ni mpuuzi sana wakuu!

secretarybird

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2024
Posts
21,617
Reaction score
44,477
Huyu wa kuitwa Jini mahaba ni mpuuzi sana. Kipindi fulani, baada ya kuoa alikuwa ananijia Kila siku usiku na tulikuwa tunadinyana hadi nikaenda kwa mchungaji Ili aniache, lakini yeye hakuacha kuja.

Kipindi fulani nikaja kufungwa jela. Sasa, kule sikuwa na wa kufanya naye mapenzi, ndipo nikawa natamani kufanya naye, lakini yeye wala hakutokea hadi siku nilipoachiwa huru.

Eti, baada Mimi kurudi uraiani akawa ananijia tena, nyambafu sana yaani!

Kitu usipokipenda kinakupenda, ukiwa unakipenda hakikupendi 🤔.
 
Subiri kwanza..unajua wapo wakike na wakiume sasa wako wewe alikuwa yupi..
 
Huyu wa kuitwa Jini mahaba ni mpuuzi sana. Kipindi fulani, baada ya kuoa alikuwa ananijia Kila siku usiku na tulikuwa tunadinyana hadi nikaenda kwa mchungaji Ili aniache, lakini yeye hakuacha kuja.

Kipindi fulani nikaja kufungwa jela. Sasa, kule sikuwa na wa kufanya naye mapenzi, ndipo nikawa natamani kufanya naye, lakini yeye wala hakutokea hadi siku nilipoachiwa huru.

Eti, baada Mimi kurudi uraiani akawa ananijia tena, nyambafu sana yaani!

Kitu usipokipenda kinakupenda, ukiwa unakipenda hakikupendi 🤔.
Hebu tupe stori yako ya kufungwa huenda watu wakajifunza kitu.
Ukitueleza ilikuwaje A-Z sio mbaya!
 
Huyu wa kuitwa Jini mahaba ni mpuuzi sana. Kipindi fulani, baada ya kuoa alikuwa ananijia Kila siku usiku na tulikuwa tunadinyana hadi nikaenda kwa mchungaji Ili aniache, lakini yeye hakuacha kuja.

Kipindi fulani nikaja kufungwa jela. Sasa, kule sikuwa na wa kufanya naye mapenzi, ndipo nikawa natamani kufanya naye, lakini yeye wala hakutokea hadi siku nilipoachiwa huru.

Eti, baada Mimi kurudi uraiani akawa ananijia tena, nyambafu sana yaani!

Kitu usipokipenda kinakupenda, ukiwa unakipenda hakikupendi 🤔.
Huyo jini haba(simuiti jini mahaba hadi wawe wengi) angekuwa mjinga sana kama angekubali afungwe pamoja nawe na mdinyo atoe.
 
Back
Top Bottom