Nifanye nini ili nisimkumbuke? Ananiumiza sana

πŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ‘©β€β€οΈβ€πŸ’‹β€πŸ‘¨
πŸ’πŸ‘©β€β€οΈβ€πŸ’‹β€πŸ‘¨πŸ‘¨β€β€οΈβ€πŸ’‹β€πŸ‘¨
 
Habari zenu wana jukwaa wa JF, nombeni ushauri jamani, nifanyaje nimsahau huyu mwanaume?

Nilikuwa kwenye mahusiano na kaka mmoja jina sitomtaja tangu mwaka 2018, tumedumu vizurii kabisa toka kipindi hicho tupo chuo mpaka tukamaliza. Baada ya kumaliza chuo kila mtu akaenda mkoani kwakwe japo mawasiliano yalikuwa vizuri kabisa, nauli natumiwa naenda kwake mpaka ikafika kipindi nikapata kazi mkoa aliyopo yeye.

Tukashukuru Mungu, maana mahusiano yetu yalizidi kuimarika kadri siku zinavyoenda. Kipindi hicho yeye anahangaika na biashara zake kuna muda anafilisika (mtaji unakufa), mimi natoa nusu ya mshahara wangu aongezee ili aendelee na biashara.

Tatizo likaja kipindi mambo yake yamemnyookea, akabadilika gafla akawa mtu wa wanawake sana, yaani sijui hata hiyo tabia aliitolea wapi?! Tena ikawa siyo kujificha ni waziwazi. Mara unamfumania anaomba msamaha anabadilika hata mwezi mmoja lakini anarudia tabia ileile!

Mwaka huu ilikuwa tarehe 24 mwezi wa kwanza, ilitokea kutoelewana naye baada ya mimi kuwa namfatilia kwanini anakuwa ananisaliti. Hapo ndiyo alinambia mimi na wewe basi, fanya mambo yako songa mbele sikuhitaji tena kwenye maisha yangu! nikiuliza sababu ni nini ananiambia tatizo lako unanifatilia sana na unasikiliza maneno ya watu wanakudanganya kuwa mimi naingiza wanawake huku ndani kwangu.

Nikasema sawa, kama kukuuliza ni shida basi naomba unisamehe kwasababu nakupenda sana, lakini akakataa. Nikaumia, nikalia na nikazoea nikaendelea na maisha mengine.

Ilivyofika mwezi wa tano akaanza kunitafuta akidai turudiane, nikawa na wasiwasi naye lakini ilivyofika tarehe 27 mwezi wa saba nikamsamehe nikarudiana naye, tukaendelea na mahusiano. Ahadi nyingi, nikawa nafurahia mahusiano lakini cha kushangaza mwezi huu tarehe 5 akabadilika gafla.

Mawasiliano ni mchana tu akiwa kazini, usiku hapokei simu wala hajibu ujumbe na muda mwingine nalimwa 'block'. Ilivofika tarehe 8 akanambia kunamwanamke mwingine ameenda kwakwe na amekataa kuondoka hivyo mimi nisijaribu kwenda kwake, na nikienda tu yeye atahama hapo anapoishi au mkoa kabisa atahama, na nikijaribu tu hiyo ndiyo itakuwa tiketi ya mimi na yeye kuachana.

Aisee ndugu zanguni, mpaka leo nashindwa kuzoea! Nimelazwa hospitali na dripu za maji juu lakini nashindwa kumsahau.

Naomba mnisaidie namna ya kumsahau.
Pole sana. Embu jipige kifuani mara 7 ukirudia maneno haya " Hakuna jaribu lisilokua na mlango wa kutokea, Eee mwenyezi Mungu nisaidie"

Utaona amani ya Moyo maana Mungu atafanya njia mahali pasipo na njia. Alafu utanitumia hela ya soda majibu ya moyo yakitoka vizurπŸ₯€
 
Habari zenu wana jukwaa wa JF, nombeni ushauri jamani, nifanyaje nimsahau huyu mwanaume?

Nilikuwa kwenye mahusiano na kaka mmoja jina sitomtaja tangu mwaka 2018, tumedumu vizurii kabisa toka kipindi hicho tupo chuo mpaka tukamaliza. Baada ya kumaliza chuo kila mtu akaenda mkoani kwakwe japo mawasiliano yalikuwa vizuri kabisa, nauli natumiwa naenda kwake mpaka ikafika kipindi nikapata kazi mkoa aliyopo yeye.

Tukashukuru Mungu, maana mahusiano yetu yalizidi kuimarika kadri siku zinavyoenda. Kipindi hicho yeye anahangaika na biashara zake kuna muda anafilisika (mtaji unakufa), mimi natoa nusu ya mshahara wangu aongezee ili aendelee na biashara.

Tatizo likaja kipindi mambo yake yamemnyookea, akabadilika gafla akawa mtu wa wanawake sana, yaani sijui hata hiyo tabia aliitolea wapi?! Tena ikawa siyo kujificha ni waziwazi. Mara unamfumania anaomba msamaha anabadilika hata mwezi mmoja lakini anarudia tabia ileile!

Mwaka huu ilikuwa tarehe 24 mwezi wa kwanza, ilitokea kutoelewana naye baada ya mimi kuwa namfatilia kwanini anakuwa ananisaliti. Hapo ndiyo alinambia mimi na wewe basi, fanya mambo yako songa mbele sikuhitaji tena kwenye maisha yangu! nikiuliza sababu ni nini ananiambia tatizo lako unanifatilia sana na unasikiliza maneno ya watu wanakudanganya kuwa mimi naingiza wanawake huku ndani kwangu.

Nikasema sawa, kama kukuuliza ni shida basi naomba unisamehe kwasababu nakupenda sana, lakini akakataa. Nikaumia, nikalia na nikazoea nikaendelea na maisha mengine.

Ilivyofika mwezi wa tano akaanza kunitafuta akidai turudiane, nikawa na wasiwasi naye lakini ilivyofika tarehe 27 mwezi wa saba nikamsamehe nikarudiana naye, tukaendelea na mahusiano. Ahadi nyingi, nikawa nafurahia mahusiano lakini cha kushangaza mwezi huu tarehe 5 akabadilika gafla.

Mawasiliano ni mchana tu akiwa kazini, usiku hapokei simu wala hajibu ujumbe na muda mwingine nalimwa 'block'. Ilivofika tarehe 8 akanambia kunamwanamke mwingine ameenda kwakwe na amekataa kuondoka hivyo mimi nisijaribu kwenda kwake, na nikienda tu yeye atahama hapo anapoishi au mkoa kabisa atahama, na nikijaribu tu hiyo ndiyo itakuwa tiketi ya mimi na yeye kuachana.

Aisee ndugu zanguni, mpaka leo nashindwa kuzoea! Nimelazwa hospitali na dripu za maji juu lakini nashindwa kumsahau.

Naomba mnisaidie namna ya kumsahau.
Tuma kwanza picha yako ili nijue natoa ushauri wa namna gani😎
 
Huenda wewe Ni mbovu
 
Kwa nini unataka mahusiano?
  • ili mfunge ndoa; na iwe lini?
  • ili kupigana mitishamba tu
  • kushauriana tu maisha n.k
Ukijua sababu kuu, ya wewe kuwa kwenye mahusiano; hutoteseka na mtu ambaye hayuko kwenye malengo yako.
 
Pole sana,kama hutojali nsambazie namba zako Inbox kuna watu tunatafuta wake halafu wengine wanawachezea wanawake wanavyojisikia sio fresh hata.

Nsaidie namba yako
 
Mbona kila kitu kipo wazi jamaa kaoa wew alikuwa anakutumia tuu kama daraja avuke na kwa bahati mbaya ame gundua wew ni mbovu kihisia juu yake so Ana kufanya anavyo taka yeye....

Huna thaman kwenye maisha yake anaishi na wew kwa mazoea tuu na baadhi ya vitu ananufaika nawe

Kingine anakuonea wivu ndio mana anakurudia rudia kila wakati

... Sasa unacho takiwa ni kujitambua kutumia akili kuliko hisia usipo sikia utaambulia ukimw kutoka kwake wana ume kila kukicha wapo wana tafuta wana wake we Una kumbatia jitu
Unakosa watu muhim kwenye maisha yako

Pole Sana binti
Pole sana kwa hali unayopitia.Nikueleze tu bila kumumunya maneno jamaa kesha pata K mnato na hana mpango wa kuendelea nawe.My take anza taratibu kumpotezea na finally utamsahau na kupata healing ya ukweli.Kuendelea kumfikiria mpaka.kufikia kulazwa hospitali na kitundikiwa drips unajiweka kwenye hali ngumu sana.Uuambie moyo wako ukubali ukweli huu na once ukishamsahau usikubali tena ulaghai wake wa kutaka kurudiana naye hilo ni pepo alilonalo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom