Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,769
- 54,906
🤣🤣🤣 usicheke kwanza njoo utoe ushauri mwana jf mwenzetu anapitia kipindi kigumu😀 😀 Nilijua tu mzabzab na Mzee wa kupambania watacheka tuu. Ila na mimi nimecheka aiseee
🤣🤣🤣 usicheke kwanza njoo utoe ushauri mwana jf mwenzetu anapitia kipindi kigumu😀 😀 Nilijua tu mzabzab na Mzee wa kupambania watacheka tuu. Ila na mimi nimecheka aiseee
🤣🤣🤣 nimekuelewa sana KalpanaUnatakiwa ukiona dalili za kuachwa unakomaa unaanza ww kujiondoa mapema japo inauma ila haitauma sana kama kuachwa wewe.
Yani sijui kwanini miaka hii vijana hawaoi na hata unaedhani atakuoa kumbe anamwingine huko anaetaka kumuoa yani hapo kwako anapima mashine zake kama zinafanya kazi vizuri kabla ya kwenda kufungua kiwanda sehemu nyingine. Mimi binti yangu nitamfundisha mbinu asije akalia mpka akatundikiwa drip.🤣🤣🤣 usicheke kwanza njoo utoe ushauri mwana jf mwenzetu anapitia kipindi kigumu
Hii mbinu ya kimafia sana yaani anaanza kuumia yeye kabla yako ijapokuwa na wewe inakuuma kiaina 😅Wadogo zangu poleni mbona mapensi yanawatesa hivyo? Unatakiwa ukiona dalili za kuachwa unakomaa unaanza ww kujiondoa mapema japo inauma ila haitauma sana kama kuachwa wewe.
Ya kimafia sana hii yani unaumia unakaza moyo ila yy sasa ataumia mwaka mzima. Hii mbinu uwe umeshachunguza na una uhakika jamaa ana mtu pembeni na anaonyesha dalili ya kukuacha basi fastaaaa unamute.Hii mbinu ya kimafia sana yaani anaanza kuumia yeye kabla yako ijapokuwa na wewe inakuuma kiaina 😅
Habari zenu wana jukwaa wa JF, nombeni ushauri jamani, nifanyaje nimsahau huyu mwanaume?
Nilikuwa kwenye mahusiano na kaka mmoja jina sitomtaja tangu mwaka 2018, tumedumu vizurii kabisa toka kipindi hicho tupo chuo mpaka tukamaliza. Baada ya kumaliza chuo kila mtu akaenda mkoani kwakwe japo mawasiliano yalikuwa vizuri kabisa, nauli natumiwa naenda kwake mpaka ikafika kipindi nikapata kazi mkoa aliyopo yeye.
Tukashukuru Mungu, maana mahusiano yetu yalizidi kuimarika kadri siku zinavyoenda. Kipindi hicho yeye anahangaika na biashara zake kuna muda anafilisika (mtaji unakufa), mimi natoa nusu ya mshahara wangu aongezee ili aendelee na biashara.
Tatizo likaja kipindi mambo yake yamemnyookea, akabadilika gafla akawa mtu wa wanawake sana, yaani sijui hata hiyo tabia aliitolea wapi?! Tena ikawa siyo kujificha ni waziwazi. Mara unamfumania anaomba msamaha anabadilika hata mwezi mmoja lakini anarudia tabia ileile!
Mwaka huu ilikuwa tarehe 24 mwezi wa kwanza, ilitokea kutoelewana naye baada ya mimi kuwa namfatilia kwanini anakuwa ananisaliti. Hapo ndiyo alinambia mimi na wewe basi, fanya mambo yako songa mbele sikuhitaji tena kwenye maisha yangu! nikiuliza sababu ni nini ananiambia tatizo lako unanifatilia sana na unasikiliza maneno ya watu wanakudanganya kuwa mimi naingiza wanawake huku ndani kwangu.
Nikasema sawa, kama kukuuliza ni shida basi naomba unisamehe kwasababu nakupenda sana, lakini akakataa. Nikaumia, nikalia na nikazoea nikaendelea na maisha mengine.
Ilivyofika mwezi wa tano akaanza kunitafuta akidai turudiane, nikawa na wasiwasi naye lakini ilivyofika tarehe 27 mwezi wa saba nikamsamehe nikarudiana naye, tukaendelea na mahusiano. Ahadi nyingi, nikawa nafurahia mahusiano lakini cha kushangaza mwezi huu tarehe 5 akabadilika gafla.
Mawasiliano ni mchana tu akiwa kazini, usiku hapokei simu wala hajibu ujumbe na muda mwingine nalimwa 'block'. Ilivofika tarehe 8 akanambia kunamwanamke mwingine ameenda kwakwe na amekataa kuondoka hivyo mimi nisijaribu kwenda kwake, na nikienda tu yeye atahama hapo anapoishi au mkoa kabisa atahama, na nikijaribu tu hiyo ndiyo itakuwa tiketi ya mimi na yeye kuachana.
Aisee ndugu zanguni, mpaka leo nashindwa kuzoea! Nimelazwa hospitali na dripu za maji juu lakini nashindwa kumsahau.
Naomba mnisaidie namna ya kumsahau.u
Uyo alikuwa anakusugua vizuri, tafuta anayekusugua vizuri mwingineHabari zenu wana jukwaa wa JF, nombeni ushauri jamani, nifanyaje nimsahau huyu mwanaume?

Naomba mnisaidie namna ya kumsahau.
Tatizo nyinyi mnapenda sana kuolewa kwa hiyo vijana wengi wanaingia kwa gia ya "nitakuoa uwe mke wangu" ukipewa na vizawadi na outing za hapa na pale unampa mbususu akishaitafuna anasepaYani sijui kwanini miaka hii vijana hawaoi na hata unaedhani atakuoa kumbe anamwingine huko anaetaka kumuoa yani hapo kwako anapima mashine zake kama zinafanya kazi vizuri kabla ya kwenda kufungua kiwanda sehemu nyingine. Mimi binti yangu nitamfundisha mbinu asije akalia mpka akatundikiwa drip.
Yaani unavyokazia daaah! 😅Ya kimafia sana hii yani unaumia unakaza moyo ila yy sasa ataumia mwaka mzima. Hii mbinu uwe umeshachunguza na una uhakika jamaa ana mtu pembeni na anaonyesha dalili ya kukuacha basi fastaaaa unamute.
Ukiwa kwenye huo umri kunakua na heka heka nyingiPole, ila ni kama umeyataka, mwanaume alikuacha anarudi mara ya pili, unampokea. Ulijua yatadumu?
Hapo alikosa mbususu In mzabzab voice...
Pili unatoaje hela yako ya mshahara, na kumpa boyfriend? Siyo mume huyo. Na unasema sasa unashindwa hadi kufanya kazi!!!! Jua kazi ndiyo mume wako sasa...
Mtoe akilini, fanya vitu unavyopenda na vinavyokupa furaha, maumivu ni ya muda na yataisha na utamsahau, utajiuliza ulimpendea nini?
Kwa kweli, umri nao hapa ni shida nyingine mtani.Ukiwa kwenye huo umri kunakua na heka heka nyingi
Miaka hii ndo imekua na marriage fever that's why matukio ni mengi.Tatizo nyinyi mnapenda sana kuolewa kwa hiyo vijana wengi wanaingia kwa gia ya "nitakuoa uwe mke wangu" ukipewa na vizawadi na outing za hapa na pale unampa mbususu akishaitafuna anasepa
Sana mtani yani kuna mtt wa dad yangu ni mkubwa tuu amemaliza chuo mwaka huu yaani akija kwangu kuna muda analia tuu ni simu na yy muda wote,huwa namwambia achague kulia au achague kucheka..nikimaanisha aachane na wanaomuumiza ukute hata hayupo aliepangiwa na Mungu hapo.Kwa kweli, umri nao hapa ni shida nyingine mtani.