Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 29,511
- 40,601
Anzisha 'massage centre' weka wafanyakazi wazuri na wakali
bar inataka kucheza na akili za wateja, hasahasa uwaletee wahudumu pisi kali na uwabadilishe mara kwa mara.Kuna bar/night club moja ilikuwa inajaza kweli, akatokea mshindani maeneo ya karibu yake; wateja wake wote wameamia kwa jirani
kweli,inahitaji ubunifu sanabar inataka kucheza na akili za wateja, hasahasa uwaletee wahudumu pisi kali na uwabadilishe mara kwa mara.
Viwanja vipo vya bei rahisi....ila shida ni kwamba anaamisha vyumba vya aina gani?? Vya fremu au?Na kiwanja unacho!
Dogo acha kudharau ujenzi basiMilioni 20 jenga vyumba 20 vya kupangisha,
Chumba simple cha kupangisha mpaka kukamilika ujenzi ni 1mil × 20 = 20mil.
Ni chumba simple,
Ukihitaji vyumba classic vitapungua idadi.
Fundi ninaye.
Leta mil 20 nikujengee vyumba 20.Dogo acha kudharau ujenzi basi
20m vyumba 20?
Mimi nazungumzia vyumba vya kupanga, hapo unapata vyumba 15 mpaka 20.Viwanja vipo vya bei rahisi....ila shida ni kwamba anaamisha vyumba vya aina gani?? Vya fremu au?
Kwa ujenzi huo unamkomowa nani?Mimi nazungumzia vyumba vya kupanga, hapo unapata vyumba 15 mpaka 20.
Naelewa ninachoandika.
Chumba kitakuwa hakina Tiles,
kitakuwa hakijapigwa plasta.
chumba hakitakuwa na dirisha za aluminium.
kitakuwa na grili na wavu tu.
vitu vyote hapo juu unaweza ukaviongeza hapo mbeleni na vyumba vyako vitakuwa vinapanda thamani.
kama upo seriously ni PMHello nifanye biashara gani, lengo langu nipate angalau laki moja kila siku.
Binafsi napenda saloon ya kike lakini sina uhakika kama nitaingiza laki moja kwa siku.
Naomba Ushauri wenu tafadhali.
Nyumba ya dizaini hiyo utajenga wapi hapa dar? Na kiwanja utakinunua bei gani na wap?Leta mil 20 nikujengee vyumba 20.
Hapa sizungumzii vyumba vya maonyesho.
Ni vyumba vile vya kawaida tu,
Ambapo kwa hapa dar vinapangishwa kwa wastani wa 25+k visivyo na umeme..
Hii reply inamtosha mtunga thread."Nifanye biashara gani"
Ni swali gumu sana
Swali hili linaweza kujibiwa na
1. Unachopenda (Hobby yako)
2. Mazingira ulipo (Location)
3.Uzoefu (Experience)*
4.connection (network yako)
5.Mtaji
6.Muda (management) na
7.Watu (wasaidizi waaminifu)
Tafakari mambo haya 7 kwa kina.
Kwa hiyo wateja wakishawala wahudumu kwa sana, unawabadilisha ili wateja wasihame... Wanaendelea kula pisi mpya kila wakati...idea nzuri sana hii....bar inataka kucheza na akili za wateja, hasahasa uwaletee wahudumu pisi kali na uwabadilishe mara kwa mara.
Nakubali tajiri mwandamizi...!Hahaha Raia mtabadilisha sana formation.. no easy money fam lol
Kwa ushauriNunua boda boda saba wape vijana mkataba, kila siku 10,000..*7=70,000
Nunua boda boda saba wape vijana mkataba, kila siku 10,000..*7=70,000
Asante kwa ushauriAsante
Kwa ushauri