Castle_Lite
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 760
- 1,417
Mill 20 ni nyingi.
Ila kutafuta biashara ya kupata faida 100k kwa siku sio ishu ndogo.
Maana , hata ukiiwekea kwa wastani, ina maana ni Mill 3 kwa mwezi kama faida.
Hapa ushatoa cost zote za kuendesha hiyo biashara.
Na hiyo biashara ww ndio unakaa mwenyewe au una ajili mtu?.
Mm nashauri,
Wekeza mill 10 na mill 10 anzisha biashara yoyote utakayoona inakufaa kwa sasa.
Hiyo unayowekeza itapanda thaman baada ya miaka 5.
Maaana fedha huisha.
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app