Biashara gani naweza kuiganya kwa mtaji wa 2M

Kinyonga01

Member
May 22, 2023
45
161
Habari zenu wapwa poleni na Majukumu ya Kila siku.

Mimi ni kijana wa miaka 24 nimehitimu chuo mwaka huu katika Shahada ya Uchumi na Fedha (Bachelor Degree in economics and finance) kwenye Moja ya vyuo vya uhasibu hapa nchini.

Katika Maisha ya kusoma nilifanikiwa kufanya savings ya kiasi Fulani Cha pesa na baada ya kuhitimu Baba yangu mzazi Aliniongezea kiasi Cha pesa kwa Lengo la kufanya biashara nikisubiri Neema ya mwenyezi MUNGU ya kupata Ajira.

Nimekuja kwenye jukwaa hili kuomba ushauri kwa wazoefu ni biashara Gani naweza fanya kwa mtaji huu.

Naomba kuwasilisha
 
Mkuu katika kozi yako ya finance hamna paper ya ujasilamari and project writing? We graduate utashindwa je kubuni mradi wakufanya hapo umesomea ujinga, kwa kweli elimu yetu ni theory inahitaji overhaul
Mtu ana pesa ya ngama, akileta ujuaji wa chuo pesa zinapotea, ndo maana amekua mpole anaomba ushauri kwa watu ambao wapo field muda mrefu wanajua changamoto, sioni tatizo hapo
 
Habari zenu wapwa poleni na Majukumu ya Kila siku.

Mimi ni kijana wa miaka 24 nimehitimu chuo mwaka huu katika Shahada ya Uchumi na Fedha (Bachelor Degree in economics and finance) kwenye Moja ya vyuo vya uhasibu hapa nchini.

Katika Maisha ya kusoma nilifanikiwa kufanya savings ya kiasi Fulani Cha pesa na baada ya kuhitimu Baba yangu mzazi Aliniongezea kiasi Cha pesa kwa Lengo la kufanya biashara nikisubiri Neema ya mwenyezi MUNGU ya kupata Ajira.

Nimekuja kwenye jukwaa hili kuomba ushauri kwa wazoefu ni biashara Gani naweza fanya kwa mtaji huu.

Naomba kuwasilisha
Tafuta chuo cha ufundi uongeze taaluma ya kazi za mikono.
 
Back
Top Bottom