Ego is the Enemy
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 7,418
- 14,185
Tayari mktaba wa bilioni 69 Tzs umesainiwa kufuatilia ukatikaji wa umeme kidigito zaidiWatakuwa wanajipanga kiupigaji zaidi, tuwape muda...
Tayari mktaba wa bilioni 69 Tzs umesainiwa kufuatilia ukatikaji wa umeme kidigito zaidiWatakuwa wanajipanga kiupigaji zaidi, tuwape muda...
Let's hope that what you're telling us isn't the case; and if so TISS should seriously intervene.Hali si shwari, kuna kila dalili sasa tuendako ni kubaya, hii hali ya umeme dakika 5 on, masaa 8 - 12 off haikuzoeleka kwa miaka sita iliyopita, mbona hakuna kiongozi anajitokeza kulizungumzia hili jambo?
Ni waziri wa umeme hapendwi na watendaji wake hivyo wameamua kumkwamisha au ni waziri wa umeme anafanya uganga wake ili kulikwamisha shirika na wapiga kura!?
Yeyote anayehusika na hujuma hizi laana itamuandama hadi kizazi chake cha nne
Usifikiri hatukumbiki,mbona 2016 kulikuwa na hali km hii tena Kwa kipindi hicho njaa pia ilitamalaki,lakini hapakuwahi kuwa na kukatika Kwa umeme hivi.Jamani hamuoni hali ya hewa?!!!
Hivi ni mh.Makamba aliyezuia mvua?!!!
Tusisahau imepita miaka 6 bila ya kukutana na "nakama" hii ya ukame.....
Kama itakuwa ni hujuma itakuwa ni kwa faida ya nani? Hata waziri akiondoka wao watakuwa mawaziri? Naamini kuna sababu nyingine ya msingi zaidi ya hujuma. It could be ni hali ya ukame inayoendelea kwa sasa. La msingi consumers wawe addressed kuondoa shakaHali si shwari, kuna kila dalili sasa tuendako ni kubaya, hii hali ya umeme dakika 5 on, masaa 8 - 12 off haikuzoeleka kwa miaka sita iliyopita, mbona hakuna kiongozi anajitokeza kulizungumzia hili jambo?
Ni waziri wa umeme hapendwi na watendaji wake hivyo wameamua kumkwamisha au ni waziri wa umeme anafanya uganga wake ili kulikwamisha shirika na wapiga kura!?
Yeyote anayehusika na hujuma hizi laana itamuandama hadi kizazi chake cha nne
Wizara ya Nishati bado haijapata waziri ambaye anaimudu vyema. Bado inaendeshwa kupitia "trial & error" ili kutafuta ufanisi wa kuokoteza.Hali si shwari, kuna kila dalili sasa tuendako ni kubaya, hii hali ya umeme dakika 5 on, masaa 8 - 12 off haikuzoeleka kwa miaka sita iliyopita, mbona hakuna kiongozi anajitokeza kulizungumzia hili jambo?
Ni waziri wa umeme hapendwi na watendaji wake hivyo wameamua kumkwamisha au ni waziri wa umeme anafanya uganga wake ili kulikwamisha shirika na wapiga kura!?
Yeyote anayehusika na hujuma hizi laana itamuandama hadi kizazi chake cha nne
Mchwa wameingia kazini.....Tayari mktaba wa bilioni 69 Tzs umesainiwa kufuatilia ukatikaji wa umeme kidigito zaidi
Nadhani wapinzani wanatuchelewesha!Hali si shwari, kuna kila dalili sasa tuendako ni kubaya, hii hali ya umeme dakika 5 on, masaa 8 - 12 off haikuzoeleka kwa miaka sita iliyopita, mbona hakuna kiongozi anajitokeza kulizungumzia hili jambo?
Ni waziri wa umeme hapendwi na watendaji wake hivyo wameamua kumkwamisha au ni waziri wa umeme anafanya uganga wake ili kulikwamisha shirika na wapiga kura!?
Yeyote anayehusika na hujuma hizi laana itamuandama hadi kizazi chake cha nne
Jpm alishakufa.Nadhani wapinzani wanatuchelewesha!
Maharage shirika limemshinda!
Samia katuvunjia Heshima watanzania kumuweka huyu jamaa.... Naona majenereta ambayo miaka mitano hayakuwa na soko yashaanza kutoka.Hali si shwari, kuna kila dalili sasa tuendako ni kubaya, hii hali ya umeme dakika 5 on, masaa 8 - 12 off haikuzoeleka kwa miaka sita iliyopita, mbona hakuna kiongozi anajitokeza kulizungumzia hili jambo?
Ni waziri wa umeme hapendwi na watendaji wake hivyo wameamua kumkwamisha au ni waziri wa umeme anafanya uganga wake ili kulikwamisha shirika na wapiga
Kila mtu atakula kwa urefu wa kamba yakeNi waziri ndo anaihujumu tanesco.
Huo ukame una ubaguzi sana maana ulikuwepo kipindi Cha JK, alipoingia mwendazake ukame ukaacha, Sasa hivi kipindi Cha hangaya ukame umerudi tenaJamani hamuoni hali ya hewa?!!!
Hivi ni mh.Makamba aliyezuia mvua?!!!
Tusisahau imepita miaka 6 bila ya kukutana na "nakama" hii ya ukame.....
Kabisa!Jpm alishakufa.
Mungu alijibu maombi ya upinzani.
Wao siyo wanyonge,
Wapinzani wanaenjoy sasa na kula raha maana jpm hayupo.
Hatutarajii kelele kutoka kwao.