Hujuma ya kutosha TANESCO, Naibu Waziri Mkuu Biteko acharuka, avunja bodi

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,042
49,727
Shirika la umeme Tanesco limekuwa likihujumiwa na watendaji wake Kwa maslahi binafsi na ya Kisiasa Ili kuikomoa Serikali.

Hayo yamebainishwa na Waziri wa Nishati na NWM Dotto Biteko baada ya kukagua kazi ya kujenga Kituo Cha Umeme huko Tabora.

Baadhi ya hujuma ambazo zimekuwa zikifanyika ni
-Kuiba Transifoma
-Wizi wa Mafuta ya Transfoma
-Wizi wa Nyaya za simu
-Vifaa vingine vya Umeme
-Nguzo fake za zege
-Madili ya MITA kama alivyoripoti CAG nk

---
Dkt. Biteko afichua orodha ya matendo ya uhujumu wa miundombinu ya Tanesco

Hizi hapa Nukuu za Dkt. Biteko akifichua Mtao wa uhujumu miundombinu

1. ’'Tarehe 13 mwezi wa pili mwaka 2024, BAGAMOYO alikamatwa mtu mmoja pale akiwa na Lita 80 za mafuta ya Transfoma, kesi imefunguliwa, maana yake ile Transfoma imekufa mafuta yamesha chukuliwa’’

2. ‘’Mwezi wa tatu tarehe tatu ubungo maziwa Dar es Salaam, amekamatwa mtu jina ninaye hapa akiwa na lita 400 za mafuta ya Transfoma kesi inaendelea na upelelezi unaendelea’’

3. ‘’tarehe moja mwezi tatu Keko Dar es salaam, mwananchi mmoja amekamatwa na kilo 50 za Nyaya ya shaba zenye thamani ya shilingi laki saba na Hamsini, na hawa kuna kiwanda kimoja kila tukio la waya unaona walikuwa wanaenda kushusha kwenye kiwanda hicho, kwa sababu tuko katika upelelezi sitaki kuki disclose. Hawa nao kesi inaendelea’’

4. ‘’baadae Kilo 361 za Nyaya zenyewe zimekamatwa, wapi keko Dar es salaam , keko hiyo hiyo kilo nyingine 1105 zimekamatwa na zilikuwa zinapelekwa kwenye kiwand kile kile zinaenda kuuzwa, zenye thamani ya shilingi milioni 16,575,000/=’’.

5. ‘’Mwezi wa tatu Dar es salaam Keko, kilo 57 za shaba, Bunju Dar es salaam na kwenyewe amekamatwa mtu mmoja lakini ana material zenye thamani ya shilingi milioni 200 mali ya Tanesco kesi inaendelea na upelelezi unaendelea’’.

6. ‘’Tarehe 17 mwezi wa tatu, sisi tupo kwenye maombolezo wenyewe wanaiba, Kigamboni na huyu ni mfanyakazi wetu wa muda maalum anaitwa Hussein Yusuph Rashidi wa kigamboni kaiba copper wire roller nzima na transfoma iliyokuwa kwenye matengenezo ameenda kuuza apate hela. Kesi ipo Mahakamani’’.

7. ‘’Ubungo maziwa tena huyu sio mfanyakazi wa Tanesco , wameiba transfoma tatu kesi inaendelea’’

8. ‘’ Tarehe 21 mwezi wa tatu, Fukayosi kule Bagamoyo wakazi hawa wamekutwa na lita 75 za mafuta ya transfoma, kesi bado iko kwenye upelelezi’’

9. ‘’ 17 mwezi wa tatu, mkuranga huko na kwenyewe mtu mwengine ameenda, transfoma nne zenyewe wameenda kuzichukua kesi iko mahakamani’’

10. ‘’ukienda chalinze wamekutwa na Nyaya za aluminium ambazo zilikuwa ni mali ya ETDCO na kwa kweli hapa na penyewe kuna mtu mmoja mdau wa ETDCO ndio mtengeneza mchongo’’.

My Take
Serikalini undeni kikosi kazi maalumu Cha kufuatilia wahusika wote wanaofanga mambo hayo hapo Tanesco Kwa kushirikiana na Wanasiasa wenye nia ovu.
 
Penye uongozi legelege hizi kesi hazikosekani. Mashirika ya umma yamekuwa kichaka cha wizi, hujma, ubadhirifu wa fedha na inaonyesha ni kiasi gani nchi haina uzalendo.
 
Biteko hana jipya. Wananchi wanataka umeme, hawataki kusikia ngonjera hizi.

Naibu waziri analalamika???!! Kama ameshindwaa si ajiuzulu??
 
Wanakaangia chips, nyama nk
Wanakaangia chips, nyama nk
😅😅😅😅😅😅 nilikuwaga siaminiamini!!

Use of vegetable oils as transformer oils – a review​

Author links open overlay panelM. Rafiq a c, Y.Z. Lv a b, Y. Zhou a c, K.B. Ma a,c, W. Wang b, C.R. Li a c, Q. Wang a c
Show more
Add to Mendeley
Share
Cite
RedirectingGet rights and content

Abstract​

The mineral or synthetic oil is mostly being used in conjunction with paper as the dielectric medium in most of the high voltage equipment. However, impact on environment, lack of petroleum oil reserves and disposal problems with used oils, have prompted researchers to direct their focus onto biodegradable and renewable insulating materials. The new insulating liquid materials development is guided by multiple factors such as environmental requirements and other safety and economic considerations. Therefore transformers manufacturer have to face new specifications related to these new requirements. The Vegetable-oil based transformer fluids increasingly replacing mineral oil-based products in the market place. They are successful because they perform better than mineral oil products and they provide definite environmental and safety gains. This paper reviews the current status of vegetable oils use as transformer oil, including their production, processing, and characterization. The vegetable oils most used as transformer oils are presented and their main advantages described in comparison with mineral oil. The various experimental work carried out in different countries is described, giving an overview of the current research carried out on the vegetable oils. In addition scope and challenges being faced in this area of research are clearly described.

Introduction​

The development of future low carbon network and smart grid has raised high demands on the reliability and performance of insulation materials used in electrical power system plants to cope with more dynamic and volatile operating conditions. A transformer, which transforms voltage and transfer energy, is one of the most vital components of a power network. Mineral oils have been used as coolant and insulator for over a century [1]. However, due to limitation of sources of mineral oils, sustainable production of transformer oil is being hotly debated worldwide since it is increasingly acknowledged that first generation mineral oil, primarily produced from petroleum products, are limited in reserves and have several other drawbacks such as, non-biodegradability (the level of biodegradability for mineral oil is not more than 30%), low flash point, non-renewable and could cause a serious problem if there is a spillage [2], [3], [4]. Also the enhanced industrialization and motorization of the society has led to a huge rise in demand of petroleum products. The above mentioned concerns have increased the attention to look for alternate, which can be produced from materials available abundant in nature and which potentially can offer greatest opportunities in the longer term.
Liquid filled transformers use billion of liters of insulating fluid. They come in various sizes: large, medium and small. Power as well as distribution transformers use oil for insulation and cooling purposes. The distribution smaller units are numerous than larger units because distribution is more widespread by definition and hence smaller units hold much more fluid in total as compared to larger units. Mineral oil is most commonly used transformer fluid and has been used for more than a century. Small units used in confined areas like shopping centers may use fire resistance fluids such as silicone, high temperature mineral oil and synthetic ester fluids. In the recent years, environmental concerns have been raised on the use of poorly biodegradable fluids in electrical apparatus in areas where spills from leaks and equipment failure could contaminate the surroundings. Contamination of the water supply is more serious as compared to the contamination of soil [5].
The vegetable oils are thought to be a suitable alternate of mineral oil in transformers. The vegetable oils are naturally obtained from seeds as well as form flowers. Many researchers and industries are performing investigations on vegetable oils for providing them as insulating oils in transformers and pollution free environment [6]. Vegetable oils have the properties like High biodegradable (>95%), low toxicity, high flash points (>300 °C), fire points (>300 °C), provide lower flammability and it is considered more environmental friendly fluids [7], [8], [9]. In addition, these vegetable oils absorb more moisture compared to mineral oils [10], [11]. However, high concentration of unsaturated fatty acid makes them unstable and prone to oxidation [12]. These fatty acid hydrocarbons chains and their degree of un-saturation affect the dielectric and physiochemical characteristics of vegetable oils. Vegetable oils have higher acidity than mineral oils [13] due to hydrolysis reaction which forms above mentioned acids (reaction that does not occur in mineral oils) and to the different chemical structure of the two oils. Also, the nature of the contained acids in both oils is different. Vegetable oils mainly contain highly molecular weight acids (HMA) like stearic and oleic acids whereas the mineral oil contains low molecular weight acids (LMA) like acetic, formic and levulinic acids [14], [15], [16].
Research efforts started in mid 1990s to develop a fully biodegradable liquid due to the utility interest. The R&D labs stated efforts in this direction and initiated oil development work. Vegetable oil was considered the most likely candidate for a fully biodegradable insulation liquid. Vegetable oil is available in plenty as a natural resource. It was considered a biodegradable and a good insulator [17]. Vegetable oils have emerged as an increasingly common mineral oil alternative. They offset all the main risks associated with common mineral oil, such as high flammability and environmental impact. They are made from renewable biological sources such as vegetables. It is biodegradable, non-toxic and possesses low emission profiles. Also, the use of vegetable oil liquids is environmentally beneficial.
Only recently transformer-grade vegetable oils become available. The first commercial product was BIOTEMP®, patented in September 1999 by ABB in US [18]. The base fluid was high oleic oil with 80% oleic content. These oils were produced from seeds which have been developed by selective breeding; recently gene manipulation techniques have also been used. Unstable tri-unsaturates were minimized by additional step of partial hydrogenation. The BIOTEMP® fluid is now in use in distribution transformers in some sensitive areas. Later in September 1999, another U.S patent was issued, for transformer oil obtained from regular soybean oil prepared by Waverly Light & Power in Iowa [19]. It is not high oleic oil. In March 2000, the Cooper industries, Inc in Milwaukee, WI under the trademark Envirotemp FR3® [20]. This fluid is being used in some commercial distribution transformers and is from standard grade oleic base oils. In August 2001, a second patent was issued to ABB inventors on BIOTEMP® [21]. Except BIOTEMP®, the fluid development details are not available, on which a dozen of technical papers have been published. For BIOTEMP®, the starting oil is high oleic oil, such as sunflower oil, containing 80% or more oleic content. Canola oil upgraded to this level of oleic content also been tested for use [22].
This paper gives a comprehensive review of the methods used for producing vegetable oil, experimental investigation on different oils, characterization, merits, demerits and challenges faced by vegetable oil are described.

Section snippets​

What is vegetable oil​

Vegetable oils are triglyceride normally obtained from a plant. The vegetable oils have been used by human since centuries. The term “vegetable oil” can be defined as plant oil that is liquid at room temperature. Vegetable oils consist of triglycerides. Although many plant parts may yield oil, commercially, oil is extracted primarily from seeds.

The problems with mineral oil and application of vegetable oils as transformer oils​

The mineral oil as transformer oil can generate poisonous substances due to oxidative instability. The disposal and clearance after equipment failure

Performance comparison of vegetable oil vs. mineral oil​

Mineral oil, used as cooling insulating liquids in power transformers, are obtained by petroleum distillation and followed by treatment with sulfuric acid refinery. The final characteristics of conventional mineral oil depend on the chemical composition [61]. On the other hand, vegetable oils are related to a group of organic compounds which are produced by reaction of an acid with the alcohol. Vegetable oils are natural ester molecules with triglyceride structure, produced from the chemical

Advantages​

Mlishawafanya waTanzania ni wajinga.
Kila siku hadithi mpya.
Kwa nini hamtaki tu kusema kauli moja uongozi ni mbovu full stop, awamu hii si umeme tu kila kitu ni hovyo.

Rais unashindwaje kuamrisha wezi waache kuiba?
Acheni unafiki.
 
Shirika la umeme Tanesco limekuwa likihujumiwa na watendaji wake Kwa maslahi binafsi na ya Kisiasa Ili kuikomoa Serikali.

Hayo yamebainishwa na Waziri wa Nishati na NWM Dotto Biteko baada ya kukagua kazi ya kujenga Kituo Cha Umeme huko Tabora.

Baadhi ya hujuma ambazo zimekuwa zikifanyika ni
-Kuiba Transifoma
-Wizi wa Mafuta ya Transfoma
-Wizi wa Nyaya za simu
-Vifaa vingine vya Umeme
-Nguzo fake za zege
-Madili ya MITA kama alivyoripoti CAG nk

---
Dkt. Biteko afichua orodha ya matendo ya uhujumu wa miundombinu ya Tanesco

Hizi hapa Nukuu za Dkt. Biteko akifichua Mtao wa uhujumu miundombinu

1. ’'Tarehe 13 mwezi wa pili mwaka 2024, BAGAMOYO alikamatwa mtu mmoja pale akiwa na Lita 80 za mafuta ya Transfoma, kesi imefunguliwa, maana yake ile Transfoma imekufa mafuta yamesha chukuliwa’’

2. ‘’Mwezi wa tatu tarehe tatu ubungo maziwa Dar es Salaam, amekamatwa mtu jina ninaye hapa akiwa na lita 400 za mafuta ya Transfoma kesi inaendelea na upelelezi unaendelea’’

3. ‘’tarehe moja mwezi tatu Keko Dar es salaam, mwananchi mmoja amekamatwa na kilo 50 za Nyaya ya shaba zenye thamani ya shilingi laki saba na Hamsini, na hawa kuna kiwanda kimoja kila tukio la waya unaona walikuwa wanaenda kushusha kwenye kiwanda hicho, kwa sababu tuko katika upelelezi sitaki kuki disclose. Hawa nao kesi inaendelea’’

4. ‘’baadae Kilo 361 za Nyaya zenyewe zimekamatwa, wapi keko Dar es salaam , keko hiyo hiyo kilo nyingine 1105 zimekamatwa na zilikuwa zinapelekwa kwenye kiwand kile kile zinaenda kuuzwa, zenye thamani ya shilingi milioni 16,575,000/=’’.

5. ‘’Mwezi wa tatu Dar es salaam Keko, kilo 57 za shaba, Bunju Dar es salaam na kwenyewe amekamatwa mtu mmoja lakini ana material zenye thamani ya shilingi milioni 200 mali ya Tanesco kesi inaendelea na upelelezi unaendelea’’.

6. ‘’Tarehe 17 mwezi wa tatu, sisi tupo kwenye maombolezo wenyewe wanaiba, Kigamboni na huyu ni mfanyakazi wetu wa muda maalum anaitwa Hussein Yusuph Rashidi wa kigamboni kaiba copper wire roller nzima na transfoma iliyokuwa kwenye matengenezo ameenda kuuza apate hela. Kesi ipo Mahakamani’’.

7. ‘’Ubungo maziwa tena huyu sio mfanyakazi wa Tanesco , wameiba transfoma tatu kesi inaendelea’’

8. ‘’ Tarehe 21 mwezi wa tatu, Fukayosi kule Bagamoyo wakazi hawa wamekutwa na lita 75 za mafuta ya transfoma, kesi bado iko kwenye upelelezi’’

9. ‘’ 17 mwezi wa tatu, mkuranga huko na kwenyewe mtu mwengine ameenda, transfoma nne zenyewe wameenda kuzichukua kesi iko mahakamani’’

10. ‘’ukienda chalinze wamekutwa na Nyaya za aluminium ambazo zilikuwa ni mali ya ETDCO na kwa kweli hapa na penyewe kuna mtu mmoja mdau wa ETDCO ndio mtengeneza mchongo’’.

My Take
Serikalini undeni kikosi kazi maalumu Cha kufuatilia wahusika wote wanaofanga mambo hayo hapo Tanesco Kwa kushirikiana na Wanasiasa wenye nia ovu.
😆😆😆😆👇👇👇

View: https://www.instagram.com/reel/C5F0wGVC9kL/?igsh=MXRkNnAwcHEyMWpjbw==
 
Vita ya Urais baada ya Mh Samia ni kubwa sana Kwa wenye nia..Wanapigana vikumbo na kuhujumiana Kwa maslahi binafsi..

Uchunguzi wa kina ukifanyika dhidi ya Hawa wote waliokamatwa mengi yatajulikana meanwhile mtandao wa wizi wa nyara Za Tanesco mnyororo wake waweza katwa kabisa..

Ni uhujumu uchumi na taifa

Wenye viwanda ambao ni wanunuzi wakubwa ..Wamulikwe..Ikibidi wawe blacklisted ..
 
Sasa hiyo bodi anaivunja yeye anasubiri nini na katibu wake? Maana hapo ingekua mkurugenzi awe wa kwanza. Au mkurugenzj nisehemu ya bodi? Kuunda vikosi kazi nikuzidisha matumizi na kupoteza muda.
Watu wakiwa mahakamani itabainikatu. Mtu akifungwa miaka 30atataja aliemtuma
 
Shirika la umeme Tanesco limekuwa likihujumiwa na watendaji wake Kwa maslahi binafsi na ya Kisiasa Ili kuikomoa Serikali.

Hayo yamebainishwa na Waziri wa Nishati na NWM Dotto Biteko baada ya kukagua kazi ya kujenga Kituo Cha Umeme huko Tabora.

Baadhi ya hujuma ambazo zimekuwa zikifanyika ni
-Kuiba Transifoma
-Wizi wa Mafuta ya Transfoma
-Wizi wa Nyaya za simu
-Vifaa vingine vya Umeme
-Nguzo fake za zege
-Madili ya MITA kama alivyoripoti CAG nk

---
Dkt. Biteko afichua orodha ya matendo ya uhujumu wa miundombinu ya Tanesco

Hizi hapa Nukuu za Dkt. Biteko akifichua Mtao wa uhujumu miundombinu

1. ’'Tarehe 13 mwezi wa pili mwaka 2024, BAGAMOYO alikamatwa mtu mmoja pale akiwa na Lita 80 za mafuta ya Transfoma, kesi imefunguliwa, maana yake ile Transfoma imekufa mafuta yamesha chukuliwa’’

2. ‘’Mwezi wa tatu tarehe tatu ubungo maziwa Dar es Salaam, amekamatwa mtu jina ninaye hapa akiwa na lita 400 za mafuta ya Transfoma kesi inaendelea na upelelezi unaendelea’’

3. ‘’tarehe moja mwezi tatu Keko Dar es salaam, mwananchi mmoja amekamatwa na kilo 50 za Nyaya ya shaba zenye thamani ya shilingi laki saba na Hamsini, na hawa kuna kiwanda kimoja kila tukio la waya unaona walikuwa wanaenda kushusha kwenye kiwanda hicho, kwa sababu tuko katika upelelezi sitaki kuki disclose. Hawa nao kesi inaendelea’’

4. ‘’baadae Kilo 361 za Nyaya zenyewe zimekamatwa, wapi keko Dar es salaam , keko hiyo hiyo kilo nyingine 1105 zimekamatwa na zilikuwa zinapelekwa kwenye kiwand kile kile zinaenda kuuzwa, zenye thamani ya shilingi milioni 16,575,000/=’’.

5. ‘’Mwezi wa tatu Dar es salaam Keko, kilo 57 za shaba, Bunju Dar es salaam na kwenyewe amekamatwa mtu mmoja lakini ana material zenye thamani ya shilingi milioni 200 mali ya Tanesco kesi inaendelea na upelelezi unaendelea’’.

6. ‘’Tarehe 17 mwezi wa tatu, sisi tupo kwenye maombolezo wenyewe wanaiba, Kigamboni na huyu ni mfanyakazi wetu wa muda maalum anaitwa Hussein Yusuph Rashidi wa kigamboni kaiba copper wire roller nzima na transfoma iliyokuwa kwenye matengenezo ameenda kuuza apate hela. Kesi ipo Mahakamani’’.

7. ‘’Ubungo maziwa tena huyu sio mfanyakazi wa Tanesco , wameiba transfoma tatu kesi inaendelea’’

8. ‘’ Tarehe 21 mwezi wa tatu, Fukayosi kule Bagamoyo wakazi hawa wamekutwa na lita 75 za mafuta ya transfoma, kesi bado iko kwenye upelelezi’’

9. ‘’ 17 mwezi wa tatu, mkuranga huko na kwenyewe mtu mwengine ameenda, transfoma nne zenyewe wameenda kuzichukua kesi iko mahakamani’’

10. ‘’ukienda chalinze wamekutwa na Nyaya za aluminium ambazo zilikuwa ni mali ya ETDCO na kwa kweli hapa na penyewe kuna mtu mmoja mdau wa ETDCO ndio mtengeneza mchongo’’.

My Take
Serikalini undeni kikosi kazi maalumu Cha kufuatilia wahusika wote wanaofanga mambo hayo hapo Tanesco Kwa kushirikiana na Wanasiasa wenye nia ovu.
Watu walikuwa wanabeba minoti kwenye mifuko ya sandarusi hapo zamani kidogo unadhani watakuwa waaminifu kwa sasa !!
Hilo shirika ni mahsusi kwa ajili ya kutengeneza pesa za kubeba kwenye masandarusi !!
Hii Nchi ngumu sana !
 
Hii kuashilia Tanesco kuna mlango wa kutokea vitu tena visivyokuwa na mahesabu, kichaka cha kushindwa wajibika Kwa watendaji kuanzia waziri kisiwe sababu ya kutoa huduma mbovu Biteko aache ngonjera atambue waTanzania wanataka umeme ulio bora na salama kwao.
Tanesco imejaa viongozi wa hovyo wa ndiyo Mzee na kuwekwa kwani hata changamoto za umeme katika mikoa wanakosa kuyatolea ufumbuzi hivi Vetting zao zinafanyiwa wapi? Hao manaibu wakurugenzi wiki nzima wako online meeting utazani wataalmu wa IT hapa utegemee mabadiliko na ikiwa field hawafiki kuleta motisha ya kazi lakini kwakuwa ni Wahandisi mashati wanajificha kwa vivuli vya vyeo.
Biteko akitaka jitathmini vizuri aanzie kwa kufumua Tanesco pale juu na kuweka akili changamfu hata Kwa kuazima toka Taasisi nyingine wenye ubobezi wa uongozi na ufuatiliaji wa kazi au awajengee uwezo vijana walio ndani ya shirika kwa mustakabali wa kuleta mabadiliko chanya, kisha ashuke kanda na mikoani na wilaya zake hapo atapata ufumbuzi wa yote yanayotokea Leo ndani ya Tanesco.
BITEKO JIAMINISHE KWA MH RAISI KWANI UFANISI WAKO WA LEO NDIYO UKARIBU WAKO WA KUMRITHI Diblo TOFAUTI NA HAPO USIJE SHANGAA JMAROPE AU BASHE WAKAWA PM WAKO 2025.
 
Shirika la umeme Tanesco limekuwa likihujumiwa na watendaji wake Kwa maslahi binafsi na ya Kisiasa Ili kuikomoa Serikali.

Hayo yamebainishwa na Waziri wa Nishati na NWM Dotto Biteko baada ya kukagua kazi ya kujenga Kituo Cha Umeme huko Tabora.

Baadhi ya hujuma ambazo zimekuwa zikifanyika ni
-Kuiba Transifoma
-Wizi wa Mafuta ya Transfoma
-Wizi wa Nyaya za simu
-Vifaa vingine vya Umeme
-Nguzo fake za zege
-Madili ya MITA kama alivyoripoti CAG nk

---
Dkt. Biteko afichua orodha ya matendo ya uhujumu wa miundombinu ya Tanesco

Hizi hapa Nukuu za Dkt. Biteko akifichua Mtao wa uhujumu miundombinu

1. ’'Tarehe 13 mwezi wa pili mwaka 2024, BAGAMOYO alikamatwa mtu mmoja pale akiwa na Lita 80 za mafuta ya Transfoma, kesi imefunguliwa, maana yake ile Transfoma imekufa mafuta yamesha chukuliwa’’

2. ‘’Mwezi wa tatu tarehe tatu ubungo maziwa Dar es Salaam, amekamatwa mtu jina ninaye hapa akiwa na lita 400 za mafuta ya Transfoma kesi inaendelea na upelelezi unaendelea’’

3. ‘’tarehe moja mwezi tatu Keko Dar es salaam, mwananchi mmoja amekamatwa na kilo 50 za Nyaya ya shaba zenye thamani ya shilingi laki saba na Hamsini, na hawa kuna kiwanda kimoja kila tukio la waya unaona walikuwa wanaenda kushusha kwenye kiwanda hicho, kwa sababu tuko katika upelelezi sitaki kuki disclose. Hawa nao kesi inaendelea’’

4. ‘’baadae Kilo 361 za Nyaya zenyewe zimekamatwa, wapi keko Dar es salaam , keko hiyo hiyo kilo nyingine 1105 zimekamatwa na zilikuwa zinapelekwa kwenye kiwand kile kile zinaenda kuuzwa, zenye thamani ya shilingi milioni 16,575,000/=’’.

5. ‘’Mwezi wa tatu Dar es salaam Keko, kilo 57 za shaba, Bunju Dar es salaam na kwenyewe amekamatwa mtu mmoja lakini ana material zenye thamani ya shilingi milioni 200 mali ya Tanesco kesi inaendelea na upelelezi unaendelea’’.

6. ‘’Tarehe 17 mwezi wa tatu, sisi tupo kwenye maombolezo wenyewe wanaiba, Kigamboni na huyu ni mfanyakazi wetu wa muda maalum anaitwa Hussein Yusuph Rashidi wa kigamboni kaiba copper wire roller nzima na transfoma iliyokuwa kwenye matengenezo ameenda kuuza apate hela. Kesi ipo Mahakamani’’.

7. ‘’Ubungo maziwa tena huyu sio mfanyakazi wa Tanesco , wameiba transfoma tatu kesi inaendelea’’

8. ‘’ Tarehe 21 mwezi wa tatu, Fukayosi kule Bagamoyo wakazi hawa wamekutwa na lita 75 za mafuta ya transfoma, kesi bado iko kwenye upelelezi’’

9. ‘’ 17 mwezi wa tatu, mkuranga huko na kwenyewe mtu mwengine ameenda, transfoma nne zenyewe wameenda kuzichukua kesi iko mahakamani’’

10. ‘’ukienda chalinze wamekutwa na Nyaya za aluminium ambazo zilikuwa ni mali ya ETDCO na kwa kweli hapa na penyewe kuna mtu mmoja mdau wa ETDCO ndio mtengeneza mchongo’’.

My Take
Serikalini undeni kikosi kazi maalumu Cha kufuatilia wahusika wote wanaofanga mambo hayo hapo Tanesco Kwa kushirikiana na Wanasiasa wenye nia ovu.
Katika mashirika ya umma ambayo ni ya ovyo sidhani kama kuna shirika bovu kuliko hili! Sisi kwetu Handeni hatuna umeme siku ya 3 sasa!
 
Back
Top Bottom