Bulamba
JF-Expert Member
- Sep 17, 2011
- 13,191
- 12,372
Sasa nani anakwamisha Tanesco???Jpm alishakufa.
Mungu alijibu maombi ya upinzani.
Wao siyo wanyonge,
Wapinzani wanaenjoy sasa na kula raha maana jpm hayupo.
Hatutarajii kelele kutoka kwao.
Sasa nani anakwamisha Tanesco???Jpm alishakufa.
Mungu alijibu maombi ya upinzani.
Wao siyo wanyonge,
Wapinzani wanaenjoy sasa na kula raha maana jpm hayupo.
Hatutarajii kelele kutoka kwao.
Sasa nani anakwamisha Tanesco???
Ukame ndiyo unasababisha kikatika umeme na siyo matengenezo kama alivyosema waziri?Jamani hamuoni hali ya hewa?!!!
Hivi ni mh.Makamba aliyezuia mvua?!!!
Tusisahau imepita miaka 6 bila ya kukutana na "nakama" hii ya ukame.....
Kwanza unadanganya kusema imepita miaka sita bila ukame,Jamani hamuoni hali ya hewa?!!!
Hivi ni mh.Makamba aliyezuia mvua?!!!
Tusisahau imepita miaka 6 bila ya kukutana na "nakama" hii ya ukame.....
DahNchi iko chini ya wapigaji,, tuendelee kusikilizia sindano tu hakuna namna,,
Mom yuko safari, subirini akirudi watakiona cha motoMama hana clue!
Hawa tulionao, toka juu kabisa hadi chini, sina imani kabisa nao. Huu ni mtihani ambao Tanzania imelazimika kuupitia. Sijui kama 'tutasavaivu'.Nchi iko chini ya wapigaji,, tuendelee kusikilizia sindano tu hakuna namna,,
Ni kweli wewe utakuwa una akili, nasikia watafiti wanasema kichaa huwaona walio wazima ndio vichaa,Bora hata wewe umesema, wengine ni shutuma tu bila hata kujiridhisha tatizo ni nini, yaani jf ya siku hizi great thinkers ni wachache sana
Hero of All timeR.I.P
King Magufuli.
Acha umbeya weweNasikia waziri anapush biashara yake ya kuuza majenereta na solar kwa staili hyo.
Jpm alishakufa,harudi.Kabisa!
Mataga na sukuma gang wanakomolewa!
Nchi iko vizuri! Wanapumua baada ya kuonewa sana
JK miaka 10 umeme ulikuwa wa mgao,lugha ni ileile matengenezo.Wanasema ni matengenezo, sasa sijui yataisha lini
Kwa Hali ya ukame unaoendelea kwa sasa, ni dhahili TANESCO na Serikali waseme tu ukweli kuwa uzalishaji umeme kwa Sasa hauendani na mahitaji halisi ya umeme nchini.Hali si shwari, kuna kila dalili sasa tuendako ni kubaya, hii hali ya umeme dakika 5 on, masaa 8 - 12 off haikuzoeleka kwa miaka sita iliyopita, mbona hakuna kiongozi anajitokeza kulizungumzia hili jambo?...
Hali si shwari, kuna kila dalili sasa tuendako ni kubaya, hii hali ya umeme dakika 5 on, masaa 8 - 12 off haikuzoeleka kwa miaka sita iliyopita, mbona hakuna kiongozi anajitokeza kulizungumzia hili jambo?....