Ni waziri anahujumiwa au TANESCO inahujumiwa?

Hali si shwari, kuna kila dalili sasa tuendako ni kubaya, hii hali ya umeme dakika 5 on, masaa 8 - 12 off haikuzoeleka kwa miaka sita iliyopita, mbona hakuna kiongozi anajitokeza kulizungumzia hili jambo?...
Rais ni kilaza na mvivu huku Waziri ni typical mjinga tu. Sitegemee lolote la maana kwenye huu utawala.
 
Nimefika ofisini nimeanza tu kusoma email ya kwanza kufika ya pili umeme ukakata.

Lakini pia kwa sasa ukikatiza huku mjini mitaa ya station mpaka clock tower unakuta watu wamebeba maji wamejitwisha kichwani.

Hilo halitoshi juzi nikasema ngoja niingie public toilet hapo station garden kufika hapo maji hakuna.

Kiufupi hali ni mbaya.
 
“Mtanikumbuka”
 
Umetembelea vyanzo vya maji ukajionea Hali ilivyo?
Kwa ukame huuu, tutarajie ugumu wa kupata huduma za maji na umeme. Huo ndio ukweli mchungu
 
Nasikia waziri anapush biashara yake ya kuuza majenereta na solar kwa staili hyo.
Tunaweza kupata orodha ya kampuni zake zinazofanya biashara hizo? Na ili kuweka mambo sawa, tupe udhibitisho usiotiliwa shaka namna waziri anavyofanikiwa kufanya push hii.
 
Na kweli usimamizi ulikuwa mzuri kweli 😅 Wacha tukae gizani na hili joto ili akili ya kuwafurumusha hawa jamaa wanaozingua wizarani itujie!
 
Na kweli usimamizi ulikuwa mzuri kweli 😅 Wacha tukae gizani na hili joto ili akili ya kuwafurumusha hawa jamaa wanaozingua wizarani itujie!

C3E4826A-7C78-4191-9AE5-CA2B028849E6.jpeg
 
Kwani Tanesco, wakiswitch on button ya kuwasha umeme, waziri anaenda kuswitch off button hiyo? Ebu tenda haki aisee! Au toa ufafanuzi wa kutosha.
Hainuki kulisema anajua malengo yake
 
Ukose taarifa sahihi halafu umtuhumu WAZIRI....

Je huu ni uungwana?!!!

Tuliongopewa kuwa waziri anasema hakuna "crane" ya kiwango kile.....kumbe ukweli ni kuwa CRANE zinazotakiwa pale ni zile zisizohamishika(immovable) na ndio hizo ZISIZOPO.......
 
Wanaohujumiwa Ni sisi wananchi tusio na hatia tunaokatiwa umeme.
Waziri hawezi kuwa affected Wala hajali umeme ukikatika kwani mshahara wake uko pale pale na ana standby generator, nyumbani na ofisini.
Wanao ippatapata Ni wauza vinywaji vya baridi na wanaochomelea mageti nk
 
Back
Top Bottom