Ni ufisadi wa Spika Samwel Sitta

Ni ufisadi wa Spika Samwel Sitta

Samani tu za hiyo nyumba milioni 200. Jamani hebu samtaimu tutumie busara badala ya darasa. Maana darasa limeshindwa kuchukuwa nafasi yake hapo. How the F@$%*........K can you do that.
 
8,000 x 12 x 5 = usd 480,000 in five years only housing; kweli masikini hajijui kuwa ni masikini; hata akili haifanyi kazi. Hata Raisi hana akili![/QUOTE]

Mkuu hapo mmmh, Heri mimi sijaesema aaaahh aahaha aaaaha.
Kwa mtazamo wangu nafikiri Raisi ana akili ila busara ndo MPATUPU. Watu wanaomzunguka ni bure kabisa. Huwezi kufanya hivi vitu kama huna 10% kickbacks, hapa kuna samsing'

Sasa mkuu hapa una maana gani hasa?.
 
Samani tu za hiyo nyumba milioni 200. Jamani hebu samtaimu tutumie busara badala ya darasa. Maana darasa limeshindwa kuchukuwa nafasi yake hapo. How the F@$%*........K can you do that.
...Ebo!!Kaka wewe vipi tena?? ndo-Darasa/Busara yenyewe hiyo!!...Shellukindo kasema Hiyo kitu yote ina baraka za Rais....ni kwa utashi wa Rais wetu hayo yamewezekana!!
 
cha ajabu ni kwamba hela za kuchezea kwenye mambo ya kiupumbavu zipo sema ukiwaambia kuhusu hela za madawati kwa watoto wa shule hakuna,hela ya kuwapa watoto kikombe kimoja cha maziwa kila wiki mashuleni hakuna? lakini kuna hela za kufuja kwa viongozi.kama spika hawezi kuishi kwenye nyumba ya serikali kwa vile haina hadhi basi akatafute kazi kwingine hili haweze kuishi maisha yenye hadhi yake.na hio nafasi hapewe mtu ambaye anaona anaweza kuendana na hali halisi ya nchi yetu.watu wanagombania uongozi kupata maisha ya kifahari baada ya kuwaza jinsi gani ya kutatua shida za wananchi.laana za mungu ziwafikie wote mnaofuja hela serikalini.viongozi wamejaa ubinafsi kushinda shetani.
 
Kazi kweli kweli, naona hii ndio ile dizaini ya mtu kula kwenye madhabahuni. Naona spika anakula kwenye cheo chake, haangalii hata walalahoi wasiojua kula yao kesho itakuwaje. Kweli Tz nako sasa kuna matabaka haswa, maana spika nyumba milioni 10, mwananchi asiye na kipato nyumba tshs 2000.
 
Jamani msilalamike sana. Mara kabla ya uchaguzi mwakani, mtaambiwa kwamba Spika hatarudi tena kwenye hiyo nyumba. Na pia mtaambiwa serikali imenunua nyumba itakayotumika na Ma-Spika wote wajao ambayo itamuwezesha spika kuwa na wageni wa kiserikali/kikazi kama Ikulu. Bei ya nyumba hii ni Billion TSh1.7.

Kwa Mr. Shehe-Kindo, He makes no sense to me at all. If your child buy one candy for US$100, will you question him/her?
 
Spika anatengenezewa zengwe la kumuondoa na yeye lilivyo lijinga linajiingiza.

Ni mwanzo tu jamani stay tuned.....
 
Mbona Adam Sapi Mkwawa alikuwa anakaa nyumba ya kawaida tu relatively speaking pale nyuma ya ubalozi wa Marekani wa zamani (Laibon) na alikuwa Spika mzuri tu?

Mkuu tafadhali!.... Adam Sapi hakuwa anakaa kwenye nyumba ya "kawaida" pale mitaa ya Laibon Oysterbay. Alikua anakaa kwenye jumba lenye hadhi ya uspika ambalo uzauza ya mkapa wakaliuza mpaka lile jumba.

Jiulize kupangisha jumba lilelile la Adam sapi sasa hivi utalipa kiasi gani. I guarantee you kwa mitaa ile na kwa jumba lile, ni not less the 10,000 USD kwa mwezi. (Tuwekee picha ya lile hekalu na utoe address yake).

Nyumba anayokaa chief secretary(bahati hii haikuuzwa, nafikiri Lumbanga alistuka akanunua sehemu ingine) kama tunakubali ni la hadhi ya chief secretary, tujiulize lingekua linapangishwa angelipa kiasi gani? nalo ni mahekalu ya range ya USD 10,000 kwa mwezi(likely zaidi).

Sasa nyumba ya hadhi ya uspika imeuzwa kwa akina sapi, viongozi wengine kama waziri mkuu, na chief secretary wamewekwa kwenye nyumba za hadhi zao. Iweje spika kupangiwa nyumba ambayo haifikii hata ya chief secretary kwa hadhi iwe nongwa!...

Narudia ni stahii ya kazi yake. Kama wewe unavyofurahia kulipiwa likizo, au simu kama stahili ya kazi yako. Uspika unaweza kugombewa na hata wewe ukipenda. Chakurekebisha ni mfumo wa kuidhinisha matumizi, lakini napinga kumfanya scapegoat wa system. Tena selective judgement.

Tuwafanyie hivyo viongozi wote. Hayo majumba wanayokaa waziri mkuu au chief secretary kama serikali ingewaruhusu TBA(Tanzania Building Agency) wapangishe foreign embassies wangeingiza kiasi gani kwa mwezi???... What is the opportunity cost kwa hawa viongozi kukalia yale mahekalu kwenye prime of the prime areas za Oysterbay.
 
Spika anatengenezewa zengwe la kumuondoa na yeye lilivyo lijinga linajiingiza.

Ni mwanzo tu jamani stay tuned.....

Kama amaewekewa mtego akauruhusu umnase ni makosa yake mwenyewe. Alitakiwa kujua kuwa anakalia cheo ambacho kinaweza kumtengenezea maadui wengi ambao wanaweza kuandaa mbinu za kumchafua. Kwa hiyo kama huu ilikuwa mtego, basi amemnasa na hawezi kukwepa lawama. Kwa maani hiyo siyo Sitta wala Shelukiondo ambao wanaweza kusimama kutueleza habari za kupambana na rushwa baada ya hili bomu la matumizi ya kifisadi. Hebu angalia hapa chini:
Pango la nyumba = $8000x12*5yrs = $480,000 x 1300 = Tshs 624ml
Samani = $200,000x1300 = Tshs 260ml
Gari la spika = $300,000x1300 =TShs 390ml
Jumla = Tshs 1.274bn

Kweli hiki ni kiasi kidogo kwa spika peke yake? Kama tukiakadiria kuwa naibu wake atatumia nusu ya hicho kiasi (sawa na Tshs 637ml) ina maana kuwa wote wawili watatumia 1.911bn kwa nyumba na usafiri tu. Hiki ni kiasi kikubwa sana na kwa kweli walitakiwa kuwa watu wa kwanza kukipinga kama kweli ni waadalifu na wanataka kujipa nguvu za kuibana serikali. Vinginevyo wanatuonesha kuwa hawana lolote wanaloweza kufanya kwa sababu wate (serikali, spika na wabunge) wanashughulikia ulaji tu!!
 
PINDA si ndio kipimo cha USAFI!
Naomba wajuzi mtupigie mahesabu ya gharama zake kwa mwaka halafu tulinganishe, magari, samani ya nyumba zote, watumishi, mavazi bila kusahau ile bajeti yake ya vikekikeki vya chai ya wageni. Najua wapo watakaorukia kusema NI STAHILI ZA WAZIRI MKUU. Mi sina tatizo na hilo, ila tupewe na gharama za PINDA tulinganishe.
 
Mkuu katika hayo mambo hapo juu unaongelea jambo tofauti. Kwamba nyumba za serikali zilizabaki sasa zina thamani kubwa (market value) na kwa ilitakiwa tushangilie kwamba tunaokoa pesa nyingi kwa sababu hiyo kodi hatulipi. Kwa maani hiyo tunajipongeza kwamba tulifanya busara kujenga nyumba nzuri kwa ajili ya viongozi wa juu. Pia unachagiza hoja kwamba nyumba zote za serikali zilizouzwa zirudishwe ili tuendelee kuokoa pesa nyingi ya walipa kodi na tuitumie kutatua matatizo yetu.

Lakini hapa tunaongea dola 8000 zinazotolewa kila mwezi kulipia pango la kiongozi wa bunge ambapo anasimamia chombo kinachohusika na wawakilishi wa wananchi ambao ni masikini sana. Hapa hatuokoi pesa bali tunatupa tu! Kama hiyo nyumba ingewa na samani kama zile wanazoongeleaa baadhi yetu humu ndani ningekubaliana nao kwamba labda 8000 siyo mbaya. Hizo dola 200,000 za samani ni sawa na dola 3,333 kwa mwezi (kwa miaka 5). Kwa hiyo kodi halisi ya nyumba spika kama ingekuwa na samani ni 11,333.00 kwa mwezi. Hii haikubaliki kwa mtu yeyeto anayejua hali ya nchi hii.
 
PINDA si ndio kipimo cha USAFI!
Naomba wajuzi mtupigie mahesabu ya gharama zake kwa mwaka halafu tulinganishe, magari, samani ya nyumba zote, watumishi, mavazi bila kusahau ile bajeti yake ya vikekikeki vya chai ya wageni. Najua wapo watakaorukia kusema NI STAHILI ZA WAZIRI MKUU. Mi sina tatizo na hilo, ila tupewe na gharama za PINDA tulinganishe.

Hata kama Pinda anatumia zaidi hiyo pesa, hilo kuhalalisha matumizi ya hovyo namna hiyo. Labda kwa ajili ya kutuonesha kuwa tunaumizwa na viongozi wetu wenyewe basi tuwekewe ili kupata picha kamili.
 
Hata kama Pinda anatumia zaidi hiyo haiwezi kuhalalisha matumizi ya hovyo namna hiyo. Labda kwa ajili ya kutuonesha kuwa tunaumizwa na viongozi wetu wenyewe basi tuwekewe ili kupata picha kamili.

Mkuu nakuelewa sana, na kimsingi nakubaliana nawewe. Ninachosema, tusifanye pick and choose,... yani kuna utitiri wa viongozi wenye hadhi zinazofanana, halafu tunamshupalia mmoja tu na wengine tunawafumbia macho, just because waliompa hizo STAHILI walidhani kwa kumuongezea marupurupu mafisadi watamfunga kamba na wangepumua bungeni.

Kama tunakerwa, basi tukerwe na matumizi makubwa ya viongozi wote wa juu.
Ndio maana nimependekeza tulinganishe matumizi na PINDA MSAFI(sina shaka hata kidogo na usafi wa Pinda) item kwa item.

La sivyo tutachezewa kama vikaragosi na hawa mafisadi kwa devide and rule.
 
wakati tunabishana kuhusus spika hebu tazameni wenzetu wanavyotengeneza bustani na pathways zao

3038899233_d72791b5ea_b.jpg

sioni kwa nini wasifanye hivi Mnazi mmoja badala ya kupafunga kuonyesha how out of touch kama spika 6
GT hivi kufanya hivi bongo kwenye miji yetu, tunahitaji msaada wa pesa za kigeni toka kwa Obama au Brown?
Shida ni kwamba gharama zakufanya kitu kama hichi nakwambia zitakuwa infrated huwezi amini! na hakuna mtu atakaye question maana watatokea wakina alwatan na kusema hili ni la kawaida!🙁
 
Mkuu unatumia kama laki moja kwa siku hapo Mtwara?bado mambo yako ya TOTOZI,si unajua totozi za Mtwara na sindimba mkuu wetu? unaweza kusahau kurudi Dsm.

Wakati watu wana discuss issues za kitaifa kwa maumivu mwenzetu unafikilia ufuska sio?
Alafu tukikutukana utasemaje?
Watu tuna uchungu na mambo yanavyokwenda hovyo hovyo wewe unaleta upuuzi eti!
aaaaaaaaaaaahhhhhhhhhhh
 
Kweli jamaa bado sana huyo. Inaonekana huyu kila safari yake ya mkoani lazima aisaliti ndoa yake. Eti sindimba unaweza usirudi dsm. Kweli bongo tambarare!
 
Naona hapa tatizo sio Spika!!! Sujiulize, je malipo hayo yako kwenye Standing Orders or whatever? Kama Yapo basi Spika na watendanji hawana lawama wanatekeleza kilichopo kwenye vitabu, lawama sasa iende kwa bunge kama institution kwa kuweka rights na entitlements za namna hiyo, kama tunaona ni exhorbitant and unnecessary.
 
Kama amaewekewa mtego akauruhusu umnase ni makosa yake mwenyewe. Alitakiwa kujua kuwa anakalia cheo ambacho kinaweza kumtengenezea maadui wengi ambao wanaweza kuandaa mbinu za kumchafua. Kwa hiyo kama huu ilikuwa mtego, basi amemnasa na hawezi kukwepa lawama. Kwa maani hiyo siyo Sitta wala Shelukiondo ambao wanaweza kusimama kutueleza habari za kupambana na rushwa baada ya hili bomu la matumizi ya kifisadi. Hebu angalia hapa chini:
Pango la nyumba = $8000x12*5yrs = $480,000 x 1300 = Tshs 624ml
Samani = $200,000x1300 = Tshs 260ml
Gari la spika = $300,000x1300 =TShs 390ml
Jumla = Tshs 1.274bn

Kweli hiki ni kiasi kidogo kwa spika peke yake? Kama tukiakadiria kuwa naibu wake atatumia nusu ya hicho kiasi (sawa na Tshs 637ml) ina maana kuwa wote wawili watatumia 1.911bn kwa nyumba na usafiri tu. Hiki ni kiasi kikubwa sana na kwa kweli walitakiwa kuwa watu wa kwanza kukipinga kama kweli ni waadalifu na wanataka kujipa nguvu za kuibana serikali. Vinginevyo wanatuonesha kuwa hawana lolote wanaloweza kufanya kwa sababu wate (serikali, spika na wabunge) wanashughulikia ulaji tu!!

Mheshimiwa Dart City,

Unapofanya analysis inatakiwa uwe na base:

Hapa unaongelea fixed and current assets of which they are used in the Trial Balance to get the Financial Status of the said institute.

Kwa kuzingatia hilo basi tuanze na analysis kwa njia ifuatayo:
1. House Rent US$ 8,000 x 12 = US$ 96,000
2. Furniture US$ 200,000
3. Vehicle US$ 300,000
4. Fuel (2200lts x 12 = 26,400 x US$ 1.01) US$ 26,664

Hapa roughly tunasema
investment ni US$ 500,000 x 1,300 = TZS 650m
Annual Expenditure US$ 122,664 x 1,300 = TZS 159.4m
Depreciation ni (US$ 500,000 x 20% x 1,300) = TZS 130m
TZS 289.4m

Hivyo basi bajeti ya Spika kama taasisi ni TZS 400m OC roughly

Maana yake ni kwamba
Matumizi ya 5yrs ni US$ 222,664 x 1,300 = TZS 289.4 x 5 = 1.448bn
 
Eeh, lakini kuna kaeconomy of scale, kwamba wanaishi yeye na mkewe ambaye naye angelipiwa kodi, kwa viongozi wazalendo na navyowafahamu hiyo moja wana share.
 
Back
Top Bottom