Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 61,023
- 36,891
Tatizo moja la spika wetu ndugu wananchi,kwanza nampenda ila kuna baadhi ya mambo anafanya bila busara;kwanza asikujue wewe unataka kumjeruhi wallahi atauza hata nyumba kuhakikisha umekwisha,,sasa swala kama hii linalohusu maslahi ya taifa sidhan kama kuna muda wa kuulizia kwa nini PAC ikudiscuss..
PILI😛amoja na kumsshukuru Bw mapesa kwa kuwa muwazi naweza kusema rasmi bunge la tanzania limejaa unafiki na uzandiki....wewe mapesa ukiwa kama mwenyekiti wa kikao utaachaje kushugulikia mambo ya maana yanaowahusu watanzania;hivi ulifikiri hizo pesa walizochota amepewa urambo????lazima haki itendeke Mwenyekiti unatakiwa uulizwe kwanza riport iko wapi na ukishaitoa lazima uelezee wazi wazi kwenye TV kwa nini uliikalia .....je kama hiki kipande kimenyofolewa jamani ndugu watanzania ni mangapi yanayokuwa discuss na kamati za bunge yanapigwa chini...kumbe wako bungeni kinafiki...wakisikia mtuu kalipuliwa wanajifanya kushadadia huku wakijizomea kindani ndani....mmmmmhhhh haya sitta;wa madhabahuni ale madhabuhuni hata tupige kelele najua 2010 itaisha...ila ikifika wakati na mawe yatanyanyuka kupiga kelele.....kila la kheri....kuwa msafi tuwe wasafi