Ni ufisadi wa Spika Samwel Sitta

Ni ufisadi wa Spika Samwel Sitta

Spika anatengenezewa zengwe la kumuondoa na yeye lilivyo lijinga linajiingiza.

Ni mwanzo tu jamani stay tuned.....

Kwa hiyo unataka sema jamaa wasiokuwa upande wake ndio wamesababisha hili. Na kama ni hivyo, kwani uSpika ni cheo cha maisha. Muda wake wa miaka 5 ukiisha mimi na wewe ama mwingine yoyote tuna haki ya kugombea kama tuna sifa zilizoainishwa za mtu anayefaa kuwa Spika. Haya masuala ya mtu kusema anataka kung'olewa hasa kwa Wabunge, Madiwani, Spika nk ni ukosfu wa kufikiri, manake hivi vyeo ni vya muda, miaka 5 unakuja uchaguzi na yoyote anashiriki kugombea.
 
Eeh, lakini kuna kaeconomy of scale, kwamba wanaishi yeye na mkewe ambaye naye angelipiwa kodi, kwa viongozi wazalendo na navyowafahamu hiyo moja wana share.

Mkuu hilo linawezekana ila siyo Bongo ya wasanii!! Maofisini watu wanakwapua pesa za likizo wote hata kama wote ni wafanyakazi wa taasisi zilizokaribu sana. Mfano baba anafanya kazi Wizara ya Afya na mama yuko kwenye taasisi iliyo chini ya wizara hiyo hiyo, wote wanalipiwa nyumba na hata gharama za likizo. Labda tupate ushahidi ila naendelea kuamini kuwa Magreth Sitta atakuwa anakomba kivyake vyake!
 
=Mkaa Mweupe;530619]Mheshimiwa Dart City,

Unapofanya analysis inatakiwa uwe na base:
Mkuu, katika mambo ambayo hutakiwi kuwa sahihi kwa salimia 100 na siyo statistics (ambayo ina kanuni zake na pia kuna mambo mengi ya kukadiria) unaweza kutumia kigezo (base) chochote kujenga hoja ili unachotaka kusema kieleweke. Na kwa hiyo siyo lazima uweke mchanganuo wa kitaalamu ili ueleweke. Natumai hitimsho langu kuwa hiyo pesa ni nyingi sana halina ubishi.

Hapa unaongelea fixed and current assets of which they are used in the Trial Balance to get the Financial Status of the said institute.

Kwa kuzingatia hilo basi tuanze na analysis kwa njia ifuatayo:
1. House Rent US$ 8,000 x 12 = US$ 96,000
2. Furniture US$ 200,000
3. Vehicle US$ 300,000
4. Fuel (2200lts x 12 = 26,400 x US$ 1.01) US$ 26,664

Hapa roughly tunasema
investment ni US$ 500,000 x 1,300 = TZS 650m
Annual Expenditure US$ 122,664 x 1,300 = TZS 159.4m
Depreciation ni (US$ 500,000 x 20% x 1,300) = TZS 130m
TZS 289.4m

Hivyo basi bajeti ya Spika kama taasisi ni TZS 400m OC roughly

Maana yake ni kwamba
Matumizi ya 5yrs ni US$ 222,664 x 1,300 = TZS 289.4 x 5 = 1.448bn

Naona hata wewe umerudi kwenye mtego ule ule wa kukadiria kiwango cha mafuta ya spika kwa mwezi. Lakini nafurahi kwamba hesabu zetu sote zinaonesha kuwa Spika anatumia zaidi ya Tshs 1.2bn. Hili ndilo wengi tunalipigia kelele kwamba haiwezekani spika wa nchi rofa kama yetu atumie pesa nyingi kiasi hicho. Na hapo ni kwa usafiri na malazi. Je, tukipata mahesabu ya pesa zote anazotumia kwa miaka 5 si tutajiona vichaa?
 
GT hivi kufanya hivi bongo kwenye miji yetu, tunahitaji msaada wa pesa za kigeni toka kwa Obama au Brown?
Shida ni kwamba gharama zakufanya kitu kama hichi nakwambia zitakuwa infrated huwezi amini! na hakuna mtu atakaye question maana watatokea wakina alwatan na kusema hili ni la kawaida!🙁

NSSF na PPF wanajitahidi na majengo yao ya Mwanza yamebadili mandhari ya mji. Lakini hiyo culture ya kutegeneza mazingira ya nyumba zetu inatakiwa kuanzia nyumani kwetu. Ni wangapi wameweza kumalizia nyumba zao baada ya kuhamia? Na imewachukua muda gani? Kama hatutengenezi kwetu tutaanzia wapi kutegeneza ofisi?
 
Nahisi twamfahamu vyema mnyama jamii ya punda kabila, Pundamilia.

Kipindi cha ujima, kuna mwana wa Adam mmoja alikuwa anajiskia kero sana kukutana na mnyama huyu, yaani punda. akaonelea ni vyema aiharibu ngozi ya punda ili asiwe na mvuto ndani ya kijiji cha wanyama pori.

Hivyobasi akaonelea ampake punda masizi pamoja na utomvu wa minyaa.

Kwa bahati mbaya au nzuri, kitendo hicho kiliwafanya wanyamapori wote kuwa na recognition pamoja na mvuto mkuu kwa kizazi hiko kipya kilichotokana na marembo ya yale madoa ya punda,

Kuanzia hapo, akapewa jina la kumtofautisha kutoka punda na kuitwa PUNDA-MILIA.

Sawa na baadhi ya wanasiasa wenye nia na utu wa uzalendo kama Mh. Samwel Sitta na baadhi majina yakiwa kapuni.

Mengi yatazungumza, na hayajaanza jana, ila penye mchele mwingi, chuya hujitenga, na ukweli daima huonekana.

Best of luck Mh.
 
Sidhani kama kuna mtu amesema kuwa Spika Sitta na wezake wachache hawajajitahidi kupambana na ufisadi. Lakini katika mazingira kama haya ambayo mtu anayetaka tumwamini kuwa anapiga vita ufisadi, mtu huyo huyo anafuja pesa za umma ndio tunaposhindwa kujua lengo lao nini katika hii vita ya ufisadi. Tunashindwa kuifahamu dhamira yao na wakati mwingine kuamini kuwa kweli mtu hawezi kuukata mkono unaomlisha.
 
Nahisi twamfahamu vyema mnyama jamii ya punda kabila, Pundamilia.

Kipindi cha ujima, kuna mwana wa Adam mmoja alikuwa anajiskia kero sana kukutana na mnyama huyu, yaani punda. akaonelea ni vyema aiharibu ngozi ya punda ili asiwe na mvuto ndani ya kijiji cha wanyama pori.

Hivyobasi akaonelea ampake punda masizi pamoja na utomvu wa minyaa.

Kwa bahati mbaya au nzuri, kitendo hicho kiliwafanya wanyamapori wote kuwa na recognition pamoja na mvuto mkuu kwa kizazi hiko kipya kilichotokana na marembo ya yale madoa ya punda,

Kuanzia hapo, akapewa jina la kumtofautisha kutoka punda na kuwa PUNDA-MILIA.

Sawa na baadhi ya wanasiasa wenye nia na utu wa uzalendo kama Mh. Samwel Sitta na baadhi majina yakiwa kapuni.

Mengi yatazungumza, na hayajaanza jana, ila penye mchele mwingi, chuya hujitenga, na ukweli daima huonekana.

Best of luck Mh.
 
Nahisi twamfahamu vyema mnyama jamii ya punda kabila, Pundamilia.

Kipindi cha ujima, kuna mwana wa Adam mmoja alikuwa anajiskia kero sana kukutana na mnyama huyu, yaani punda. akaonelea ni vyema aiharibu ngozi ya punda ili asiwe na mvuto ndani ya kijiji cha wanyama pori.

Hivyobasi akaonelea ampake punda masizi pamoja na utomvu wa minyaa.

Kwa bahati mbaya au nzuri, kitendo hicho kiliwafanya wanyamapori wote kuwa na recognition pamoja na mvuto mkuu kwa kizazi hiko kipya kilichotokana na marembo ya yale madoa ya punda,

Kuanzia hapo, akapewa jina la kumtofautisha kutoka punda na kuwa PUNDA-MILIA.

Sawa na baadhi ya wanasiasa wenye nia na utu wa uzalendo kama Mh. Samwel Sitta na baadhi majina yakiwa kapuni.

Mengi yatazungumza, na hayajaanza jana, ila penye mchele mwingi, chuya hujitenga, na ukweli daima huonekana.

Best of luck Mh.

Mkuu BA, hebu soma na hiyo habari hapo chini http://www.freemedia.co.tz/daima/habari.php?id=7000 .
 
This is what we know as of today, Speaker Sitta hasn't yet come forward to refute this story. I am hundred percent sure that the speaker has heard about these allegations, so his decision to remain mum says a lot about the legitimacy of this story. Mheshimiwa Spika is not stupid; he knows that millions of shillings are being used to furnish his lavish lifestyle. This is quite contrary to what he has been preaching; fortunately this scandal has been able to expose Spika's hypocrisy.

I am mad with not only the Speaker but also our parliament. The parliament allowed these greedy politicians to squander our resources; Instead, of acting like a watchdog it is in bed with these FISADIS. In western world, they called it taxation without representation.
 
Last edited:
This is what we know as of today, Speaker Sitta hasn't yet come forward to refute this story. I am hundred percent sure that the speaker has heard about this allegations, so his decision to remain mum says a lot about the legitimacy of this story. Mheshimiwa Spika is not stupid; he knows that millions of shillings are being used to furnish his lavish lifestyle. This is quite contrary to what he has been preaching; fortunately this scandal has been able to expose Spika's hypocrisy.

I am mad with not only the Speaker but also our parliament. The parliament allowed these greedy politicians to squander our resources; Instead, of acting like a watchdog it is in bed with these FISADIS. In western world, they called it taxation without representation.

I love this and wished everyone knew it!
 
Zaidi ya nusu ya hela hizo lazima zitakua zinaenda kwenye account yake just amefanya michoro hapo yeye na mhasibu wa bunge.Lakini ndo hivyo watanzania tukiambiwa tuchangue viongozi tunachangua watawala(ccm)

Mimi naamini watanzania hatujachoka so wache wandele kula tukichoka tutaamka then tutafanya yanayotakiwa kufanya.
 
Du hiyo kufuru, kama kuna anayeweza kupata picha ya hiyo nyumba atuwekee hapa.
 
hapa ukitafuta mmiliki wa hiyo nyumba ndio utakapochoka kabisaaaaaaaa........mwenye nacho huongezewa ila hapa wanachotewa..
 
Sasa mlitaka spika akakae Tandale kwa mtogole ndio mujue anatumikia watu? Kila kazi inastahili zake. Sisi sote tunapoomba kazi tunajulishwa na stahili zetu. Wa kulaumiwa hapo ni wanaoindinisha hayo matumizi ambaye sio spika mwenyewe

MKUU ALWATAN;

NI SAWA MKUU NA KILA PESA ZINA MATUMIZI YAKE...SO HAKUNA HAJA YA UNAFIKI KUPIGA KELELE ZA DOWANS;RICHMOND;NA EPA HUMU NDANI;;KILA PESA INA KAZI ZAKE...

Sasa mlitaka spika akakae Tandale

OK:ULITAKA WAKINA ROSTAM,JEETU PATEL,LYUMBA ?? NAO WALALE VYUMBANI MWETU?? EMBU TUWE FAIR...INANTIA SHAKA KUTOA HATA MAONI KWENYE KIONGOZI FISADI KAMA KUNA BAADHI WANAITWA MAFISADI WANATANASHATI NA WENFINE MAFISADI WAUJUMU UCHUMI.....HATA HAWA WALIOIBA EPA JAMANI WALIKUWA NA NJAA NA WALIITAJI KUISHI KWENYE NYUMBA NZURI...MAGARI MAZURI.......

WITO

KAMA SPIKA ANATAKA KUENDELEA KUHESHIMIKA AACHANE NA SWALA LA MAFISADI...USIMNYOOSHEEE MTU MKONO WAKATI KIDOLE CHA KULIA KINAKUANGALIA WEWE....ANY WAY...2WAACHE WAENDELEE KUTUIBIA SABABU WANA HADHI YA USPIKA,WASIKAE TANDALE SABABU YA USPIKA...KWELI WE NEED TO RECHARGE OUR BRAIN....KABISA...KWANI TANDALE KUNA NINI....YAWEZEKANA UNAKAA TANDALE NA BADO UNAKANDIA UNAPOISHI...UNATAARIFA KUNA MAWAZIRI ENZI ZA NYERERE WALIKUWA WANAISHI UKO TANDALE...,,

KAMA TUNAANZA HIVI NA JAJI MKUU NAE AKISEMA NATAKA NYUMBA YA HADHI DOLLER 9000 USD KWA MWEZI,,WABUNGE NAO WAJE NA MSWADA WANAITAJI KUISHI KWENYE NYUMBA ZA HADHI ZAO...NYIE WATU TUWATAKE RADHI WATANZANIA KWA MANENO TUNAYOWAANDIKA....
 
Bado sijaelewa tatizo hasa ni nini? Ukiondoa kilio cha "nchi maskini".. what is the problem?

a. Ni spika?
b. Ni gharama kubwa? compared to whose na kwanini tuna compare na huyo?
c. Ni Sitta?
d. Ni mkataba wa upangaji?
 
Mwanakijiji,

Maneno yako yanachefua , mtu anaweza kutapika. Wewe umetoka kwenye nchi gani ambaye huoni tatizo kwa kiongozi wa bunge kutumia za nusu bilioni kwa mwaka , kwa ajili tuu ya hadhi yake . Narudia tena hoja, sio pango tuu bali samani alizonunuliwa na serikali , pamoja na msede unaoworth milioni 300.
 
Ndugu watanzania tuko pamoj katika kukimbia na kulaani hili neno fisadi..ingawa kumbe kuna fisadi mrembo wa kushoto na wengine mrembo wa kulia....tumeona jinsi ofisi ya bunge letu inavyozidi kutumia mapesa ya kodi za wananchi na huku wengine wakisapoti kwa maana ya hadhi yake.na huku wengine wakiuliza huyo spika mnapiga kelele..je mawaziri...sasa jamani kuna mmoja akatoa njema zaidi yawezekana fisadi si spika sita aliepanga bali huyo mmiliki wa nyumba...sasa kuna mwenye uwezo wa kututafutia nani mmiliki jamani...kama watu wameweza kuamini lyumba aliesaini pesa za EPA si FISADI fisadi NI JEETU PATEL ALIEPOKEA ...sasa tutafute mchawi...
 
Mkuu tafadhali!.... Adam Sapi hakuwa anakaa kwenye nyumba ya "kawaida" pale mitaa ya Laibon Oysterbay. Alikua anakaa kwenye jumba lenye hadhi ya uspika ambalo uzauza ya mkapa wakaliuza mpaka lile jumba.

Jiulize kupangisha jumba lilelile la Adam sapi sasa hivi utalipa kiasi gani. I guarantee you kwa mitaa ile na kwa jumba lile, ni not less the 10,000 USD kwa mwezi. (Tuwekee picha ya lile hekalu na utoe address yake).

Nyumba anayokaa chief secretary(bahati hii haikuuzwa, nafikiri Lumbanga alistuka akanunua sehemu ingine) kama tunakubali ni la hadhi ya chief secretary, tujiulize lingekua linapangishwa angelipa kiasi gani? nalo ni mahekalu ya range ya USD 10,000 kwa mwezi(likely zaidi).

Sasa nyumba ya hadhi ya uspika imeuzwa kwa akina sapi, viongozi wengine kama waziri mkuu, na chief secretary wamewekwa kwenye nyumba za hadhi zao. Iweje spika kupangiwa nyumba ambayo haifikii hata ya chief secretary kwa hadhi iwe nongwa!...

Narudia ni stahii ya kazi yake. Kama wewe unavyofurahia kulipiwa likizo, au simu kama stahili ya kazi yako. Uspika unaweza kugombewa na hata wewe ukipenda. Chakurekebisha ni mfumo wa kuidhinisha matumizi, lakini napinga kumfanya scapegoat wa system. Tena selective judgement.

Tuwafanyie hivyo viongozi wote. Hayo majumba wanayokaa waziri mkuu au chief secretary kama serikali ingewaruhusu TBA(Tanzania Building Agency) wapangishe foreign embassies wangeingiza kiasi gani kwa mwezi???... What is the opportunity cost kwa hawa viongozi kukalia yale mahekalu kwenye prime of the prime areas za Oysterbay.
Point yako ni nzuri lakini ingekuwa vizuri hao TBA wangemiliki hizo nyumba za viongozi na kama ni kuzipangisha zitoke kwao, sio kumuuzia fudenge bei ya kutupa halafu wewe mwenyewe unaenda kuipangisha kwa hiyo market value, na bila competitive bidding
 
Bado sijaelewa tatizo hasa ni nini? Ukiondoa kilio cha "nchi maskini".. what is the problem?

a. Ni spika?
b. Ni gharama kubwa? compared to whose na kwanini tuna compare na huyo?
c. Ni Sitta?
d. Ni mkataba wa upangaji?

...tatizo ni hizo milion kumi(10) kwa mwezi,usijidai huijui milioni 10 kwa bongo,wizi mtupu hapo na hakuna justification yeyote ya matumizi kama hayo kwa pesa za walipa kodi,cha ajabu unaweza kukuta hiyo nyumba ni yake au ya ndugu yake au fisadi mwezake au unaweza kukuta hata hizo pesa hazilipwi zipo kwenye makaratasi tuu zinaingia kwenye account yake...hawa mafisadi sijui lini watatuachia!
 
Nahisi twamfahamu vyema mnyama jamii ya punda kabila, Pundamilia.

Kipindi cha ujima, kuna mwana wa Adam mmoja alikuwa anajiskia kero sana kukutana na mnyama huyu, yaani punda. akaonelea ni vyema aiharibu ngozi ya punda ili asiwe na mvuto ndani ya kijiji cha wanyama pori.

Hivyobasi akaonelea ampake punda masizi pamoja na utomvu wa minyaa.

Kwa bahati mbaya au nzuri, kitendo hicho kiliwafanya wanyamapori wote kuwa na recognition pamoja na mvuto mkuu kwa kizazi hiko kipya kilichotokana na marembo ya yale madoa ya punda,

Kuanzia hapo, akapewa jina la kumtofautisha kutoka punda na kuitwa PUNDA-MILIA.

Sawa na baadhi ya wanasiasa wenye nia na utu wa uzalendo kama Mh. Samwel Sitta na baadhi majina yakiwa kapuni.

Mengi yatazungumza, na hayajaanza jana, ila penye mchele mwingi, chuya hujitenga, na ukweli daima huonekana.

Best of luck Mh.

Asante sana, in fact natamani jamaa ndiye angekuwa rais wetu.
 
Back
Top Bottom