MLALUKO JR
JF-Expert Member
- May 3, 2015
- 962
- 309
- Thread starter
- #61
Mkuu tuwekee Link ya hiyo story ya The Bold
Mkuu tuwekee Link ya hiyo story ya The Bold
Jamaa yuko vizurPENIELA ,,,Lege alinipatia sana
Simulizi zote za the Bold kwangu zilikuwa nzuri sana....Habarini Jf members,
Napenda tushee ideas kuhusu simulizi hapa jukwaani kwa mwaka huu unaoisha.
Kwa upande wangu simulizi zilizonisisimua zaidi ni:
1:Mke wa Rais
2😛eniela(story ya kijasusi)
3:Nililala na maiti nitajirike.
Kwangu story ya "Mke Wa Rais" imekuwa story ya Funga mwaka chini ya mtunzi Ibra87.
Je,story gani iligusa hisia zako kindakindaki kwa mwaka unaoisha???
Cc Shunie
Sohwa.
Ibra87
Nemesis
Weka Link Mkuu tuende vzuri ni xmassD.B.Cooper
Cc;The Bold
D.B. Cooper: Tukio halisi la kusisimua lililogeuka hadithi ya 'Alfu lela ulela'Weka Link Mkuu tuende vzuri ni xmass
Hii story yaelekea ni nzur san ila nina search humu siipat....nsaidie link ya uzi wake ndguPeniela mjasiliamwili
Haa haaa...nimewakubaliViva JF
Bwanshe56 tutumie link hiyoRiwaya ya mwanafunzi mchawi
Link pleaseILE ILIYOMPOTEZA YULE.
Nami nimeisoma iko vizur aserDuka la roho
nomaa hii story tam sana nilitokea kuipenda jinsia Lobo mzee Wa Tick tokNami nimeisoma iko vizur aser