Ni simulizi gani Ilikukuna vizuri hapa JF 2016?

Ni simulizi gani Ilikukuna vizuri hapa JF 2016?

Haaa haaa mkuu hii niliisoma mzizimkavu hata hakuimaliza..

Ameboa watu wengi sio siri..

Naomba uniwekee link za Rais anampenda mke wangu, na Peniela..

Hizo sijagusia kabisa

Thanx much..
Hata Peniela nshaweka ila nilimTag mtu mwingne ukipitia comments za nyuma utaona.Pia kama kuna story zingne ulisoma tupia Link tusome
 
Some lemonade for you madame na mke wa rais.
 
Back
Top Bottom