Ni simulizi gani Ilikukuna vizuri hapa JF 2016?

Ni simulizi gani Ilikukuna vizuri hapa JF 2016?

Habarini Jf members,

Napenda tushee ideas kuhusu simulizi hapa jukwaani kwa mwaka huu unaoisha.

Kwa upande wangu simulizi zilizonisisimua zaidi ni:
1:Mke wa Rais
2😛eniela(story ya kijasusi)
3:Nililala na maiti nitajirike.

Kwangu story ya "Mke Wa Rais" imekuwa story ya Funga mwaka chini ya mtunzi Ibra87.
Je,story gani iligusa hisia zako kindakindaki kwa mwaka unaoisha???

Cc Shunie
Sohwa.
Ibra87
Nemesis
PENIELA ilinisisimua sana lakini sikutegemea mwishoni ingekuwa mbovu vile MKE WA RAIS Inanivutia sana Japo cjajua mwishoni itakuwa vipi..
 
Mimi nilikunwa na simulizi za the one and only The bold
1.Geranimo E.K.I.A
2.Mifereji ya Dhahabu😛asipo silaha,chuki,wala ukatili.
Hizi ni moja kati ya simulizi bora kabisa kuwahi kutokea.
Ila funga kazi ni Geranimo E.K.I.A...nililia kwa uchungu!

Salute The bold [emoji119] [emoji119]
Nilitaka kushangaa,baby wako kiukweli alifunika sana mwaka huu.
 
Back
Top Bottom