Kusaidia watu hapa JF ni sahihi au si sahihi?

Mubby777

JF-Expert Member
Oct 17, 2018
1,638
5,645
Nianze kusema labda roho nzur zinatuponza au basi tunasaidia watu ambao hawakupaswa kusaidiwa?

Siku moja nilisoma story ya kijana mmoja hapa Jf alikuwa anaelezea maswahibu aliyopitia tangu akiwa mdogo mpk mkubwa kiukweli watu wengi sana waliumozwa na ile simulizi nikiwepo mimi

Watu wengi sana walicoment kuwa tayal kumsaidia nikiwepo mimi niliomba anicheck dm na bahati nzur alinichek nikampa no akanipigia tukaonana

Alinieleza amekutana na mmoja wa waliotaka kumsaidia (kwa wakat ule alikuwa amemaliza chuo na anakaa na marafik but situation haikuwa inamruhusu kuendelea kukaa pale na kwa bahati mbaya hakuwa na pa kwenda ikizingatiaa alikuwa yatima ambaye amesomeshwa kwa kuunga unga na mambo mengi waliosoma ile story yake wanakumbuka jamaa aliyesimulia story ya vibaka waliouawa 2010 mwanza ye akipona) so msaada wa kwanza ulikuwa pa kukaa,alinieleza jamaa aliyeonana nae anakaa chumba na sebule hivyo kama mimi nina sehem ya kutosha nimchukue.

Mimi sio tajir but kauwezo niliko nako si haba tunaweza kula na kubadilisha mboga na maisha ya kawaida nayamudu so nikamcbukua nikaenda kukaa nae kwangu maana chumba cha wageni kipo

Niseme tulikaa vzr na am 100% sure hakuwah baguliwa na tuliishi nae kama ndg (maana nisingeweza kumwambia wife au ndg kuwa simjui ila nilitunga uongo kuwa ni mwanafunzi wangu maana zaman nilikuwaga mwl so ana matatizo anahitaji msaada ndo maana nimemchukua so ndg na mke wangu hawakuwa na wasiwasi nae maana nishawaeleza ni mtu ninayemjua) nakumbuka mpk wazaz wangu walitutembelea toka kijijin wakawa wameongea nae mzee aka suggest akamtafutie shule ya kufundisha(kwa wasabato maana ana wadhifa kule mkoa) ila kijana hakuwa anapenda ualim ingawa ndo ameusomea.

Kijana alikuwa humble kwakweli na tulikaa poa nilikuwa mara chache naenda nae kwa biashara zangu ananisaidia Kwa bahati nzur yuko vzr kwenye Compyuta ivyo akapata inteview ya kwanza Zanzibar nikamsaidia pesa akaenda akafanya inteview na akafaulu na kupata nafasi ya kazi.

Nilimsaidia nilipoweza mpk akaanza kujitegemea na alikuwa akija likizo home then anarud kazini.

Baada ya muda alirud na kusema kule kazi zinamzidia na mshahara ni mdogo kulinganisha na gharama za maisha so anaacha
Bahati mbaya me ni mtu ambaye sifatilii kabisa maisha ya watu so hata sikuhangaika kujua au kulazimisha aendelee na kazi uzur hata akikaa hapa home anakula analala basi

Bahati nzur tena akapata kazi kampun ya design hapo posta akaanza kwenda na alifanya pia kwa muda mpk aliyekuwa anafanya nafasi yake aliporejea kutoka nje wakamsimamisha

Hapo kati akiwa hana kazi tulikaa poa tu mara kadhaa naenda nae kwa biashara zangu ananisaidia na mara zingine anakuwa busy na kazi zake maana yuko vzr kwneye kompyuta

Niseme nilimwamin au tulimwamin na labda hapo ndo tulikosea maana wife alimwamin kupita kiwango ye ndo akawa akacontrol ac za insta za biashara za wife (kufanya sponsored na kumrekebishia kila ikitokea shida)
So kwa lugha nyepesi alikuwa na acces na email za wife na ac zake za biashara mimi yangu ambayo ndo inaendesha biashara kubwa ya familia sikuwah kumpa awe na acces nayo maana nailinda kama mboni ya jicho.

Hapo kati alikuwa anaaitwa inteview nampa hela anaenda anafanya anarud so nilisimama as his family (hajawah itwa inverview mkoa wowote akose kwenda kisa hela NO nilitoa all the time na alienda na kushiriki au niseme hajawahi niomba hela ana shida nisimpe.

Hapa kati wakat nakaa nae sikuwa vzr financial sababu ya mikopo ya bank but sikuwah kosa hela ya msaidia akiwa na shida
Mwaka huu mwanzon alianza kuwa anapotea home ananiambia anaenda kwa washkaji zake na it was oky maana siwez mbana ye mtu mzima uzur akiwa kwangu haharibu chochote anakaa kwa adabu.

Mara ya mwisho alipotea kabisa akaniambia anakaa na mmama mmoja mbez anafanya kazi sehem so huwa anamsaidia mambo machache me nilidhan ni mmama mtu mzima so anaishi nae kama alivyokuwa anaishi na sisi na me sikujali maana najua akishindwa atarud kwangu maana any time anakaribishwa.

Kabla hajahamia kwa huyo dada me nilipunguza ukaribu nae kwa kiwango kikubwa (kwa sababu mambo yangu yalikuwa yanavuja sana kwa wife kuhusu michepuko na mtu pekee wa karb niliyeona anaweza vujisha kwa sababu alikuwa anajua ni yeye so nikaamua kutumia akili ya kiutu uzima nikaacha kumshirikisha sasa sijui yeye hapo ndo alitafsir namchukia? But I swear sikuwah mchukia wala kuwa na shida naye.

Mwaka huu mwez wa saba alikuja kwenye biashara zangu akaniambia yule dada anayekaa nae amesimamishwa kazi kiwandani ivyo ananiomba nimuajir kwenye biashara zangu maana ndo alikuwa source of income wanapokaa ndo akili ikafunguka kuwa hawa walikuwa na mahusiano na huyu ni mwanamke wake. Kweli akamleta nimfanyie usaili nikakuta ni binti tu mdogo wamemaliza wote chuo.

Nikamchukua na kumuajir yule binti maana naona anakaa na kijana wangu asipokuwa na kazi na yule pia hana kazi itawawia vigum kuishi
Ikumbukwe me pia ni kijana tu sio kwamba ni mzee ila hawa ni wadogo zangu sana kwa umri.

Mwez wa nane akaitwa interview Ifakara shule ya Katolik alivyonambia ila akawa hana vyeti vya sekondari viko Kigoma nikakubali kumpa nauli akaenda kigoma kuvifata
Kwa sababu interview ilikuwa within 3days hakwenda na usafir wa bus alikuwa anaunga unga hizi it so gharama ilikuwa kubwa akiwa kigoma hela imeisha nikamtumia. Akarud mpk moro hela imeisha nikamtumia tena akaenda ifakara akafanya inteview ila hela ikaisha nikamtumia akarud mjini na kunambia amefanya vzr na wamewahid kumuita.

Shida ilipoanzia sasa aliporud mjini nikawa nimepata shida home nikampigia aende akanisaidie maana me sipo akakubali anaenda ila hakwenda kila nikimpigia anajibu naenda basi nilipoona shida inakuwa kubwa nikatafuta mtu akaifanya likapita, then tena ikatokea na shida hapa dukan ye ndo anaweza nisaidia nikamuita hakuja kama siku tatu siku ya nne akaja akailipua lipua akaondoka hata bila kumaliza kazi wala kuaga.

Nikamwambia yule mwanamke wake " mmeo kanikosea" ivyo tu nikakausha na kuendelea na yangu.

Mwez huu siku moja narud home nimekaa sebulen naangalia mpira wife ananifata toka juu chumban analalamika hawez kuingia insta. Kuchek ac yake iko hacked mmm! Nikajaribu kulog in ikagoma
Nikaingia kwa email yake ili nirudishe ac maana ilikuwa protected na email nikakuta pia email imekuwa hacked duuu!

Nikajarb kurudisha email kwa kutumia no ya sm nikakuta pia no ya sm imebadilishwa.

Yaan mhusika alianza kwanza kuchukua email akabadilisha kila kitu then ndo akaenda kwenye ac akabadilisha kila kitu maana ukiibiwa ac kama unaiprotect na email na pia two way basi sio rahisi kudukuliwa ila mhusika alichukua vyote kwanza ndo akaenda kwa ac ya insta.

Tukaanza kusort nan atakuwa kafanya iv akili haikumuwazia jamaa so nilibaki kumlaum wife kwa kunitoa kwa email yake maana ningekuwa bado na acces ya email yake ningeweza kuzuia isidukuliwe.

Wakat tuko kwa mabishano nikakumbuka nina email nyingine ya wife ambayo haitumii kwa biashara so amna mtu anaijua tofaut na mm na yeye na huyu dogo ila jion ilinitumia msg kuna mtu ana log in kama sio mm nizuie na kubadili paswd nikazuia na kubadili paswd sasa akili ikaanza kufunguka kuwa huyu mtu anazijua email zote za wife ndo maana ameanza kudukua ile ya kwanza aliposhindwa akadukua ya pili ndo akaweza.

Moja kwa moja akili ikambukumba dogo ndo mtu pekee mwenye acces na hizi detail za wife tukanpigia sm hakupokea
Tukalala asubuh pia piga hapokei piga hapokei. Nikampigia mkewe akapokea kumuuliza jamaa akasema yuko hapa
Weka loud speaker tukamwambia tunajua we ndo umedukua hii ac ya wife pls tunaomba irudishe akaanza oonh bro najua unanichukia ndo maana unasema ivyo.

Nikamuuliza nakuchukia? Kwa sababu gan nikuchukie? Oonh ulikuwa na shida sikukusaidia! Nikamwambia ningekuchukia ningekuwa na mkeo nimemuajir mpk sasa? Ungekuwa ukipata shida nakusaidia? Lin ushakuja unashida nikagoma kukusaidia? Akaanza kukataa sio yeye

Logic ndogo hizi - Hacker wapo sijakataa but hacker anacheza na vitu anavyoviona (atacheza basi na email unayotumia na no yako ya sm sawa but dogo kosa alilofanya mpk nikawa sure ni yeye ni alijarb kuchukua mpk email ambayo haitimiki kwenye mitandao,yaan email mfu hata wife haitumii kabisa na email hii naijua mimi yeye na wife peke yetu
Angekomaa na ile email inayotumika tungesema sawa labda ni hacker
mbili hacker anaanza kuchukua ac ndo anabadili kila kitu ila huyu alianza kuchukua email akabadili detail za email zote kwanza ndo akaenda kwenye ac masaa manne badae.

Tatu watu wanaohack ac wakishazichukua wanaanza kuzitumia ila dogo baada ya kuona amegundulika ameganda( ac kabadili tu majina basi amestack hata picha hajafuta. Ameweka pale email kuwa inauzwa@gmail ila akifatwa huko hajibu,akifatwa dm hajibu maana angekuwa hacker angeshaibadili kila kitu aiuze au ile kumfata angeomba dau tumlipe aturejshee ile ye kaganda tu hajui hata afanye nn airudishe au aiuze anaona tunaifatilia tutamnasa aliyenunua then atupeleke kwa aliyemuuzia yaan kiufupi dogo amekosa cha kufanya na ile ac

Nishaongea na wife wake aturejeshee ila anakana kwa mkewe sio yeye, mimi sijamsimamisha mkewe kazi wala sina mpango huo na wala dogo simchukii wala sitamfanya kitu kwa sababu mlipaji hapa duniani ni Mungu

NB:- Nachoweza kusema kwako dogo maana najua utasoma hapa nimekaa na wewe vzr kama mdogo wangu kwa muda wote huuu but kama binadam nina mapungufu yawezekana kuna sehem mm au mke wangu au familia yangu tumekukosea bila kujua tunaomba utusamehe tu na pia ni vzr kama una kitu na mtu mweleze umenikosea badala ya kumlipa ubaya
Sisi hatukuchukii na wala sina kinyongo na wewe maana wife ac ilikuwa na 30k now nimempa ac yenye 103k so hajapungukiwa lolote bali amesogea mbele zaid ila narudia kama kuna sehem tulikukosea bila kujua basi tusamehe ndg.

Kama hiyo ac unayo wewe turudishie ndg yangu mpe hata mkeo detail au nitumie detail kwenye email me sitakuchukia wala sitakuwa na ubaya na wewe maana hapa duniani tunapita.

Kitu pekee umenifanya niogope kusaidia (juzi nimeona kijana kaandika hapa anapitia magum chuon mpk anataka kujiua kumfata dm kodi yake ni elf 40 tu but nikaogopa kuendelea mbele maana kama msaada badae unakugeukia haina maana ya kusaidia.

BUT {kama sio wewe basi nisamehe kwa kukuwazia vibaya ingawa % kubwa zinakulenga wewe ndo mhusika}

Ahsante
 
Una Moyo wa ajabu sana,
Mtu humjui unamkaribisha nyumbani kwako na kutunga uongo kwa familia yako!!!?

Hamsomi visa mbali mbali vilivyotokea na kuendelea kutokea humu duniani???

What if angekua Muuaji?? Jambazi?? Mtekaji?? Mbakaji???

Wema wa kuigharimu familia yako sio Wema ni Ujinga na Ubinafsi.
 
Nianze kusema labda roho nzur zinatuponza au basi tunasaidia watu ambao hawakupaswa kusaidiwa???!!!

Siku moja nilisoma story ya kijana mmoja hapa Jf alikuwa anaelezea maswahibu aliyopitia tangu akiwa mdogo mpk mkubwa kiukweli watu wengi sana waliumozwa na ile simulizi nikiwepo mimi

Watu wengi sana walicoment kuwa tayal kumsaidia nikiwepo mimi niliomba anicheck dm na bahati nzur alinichek nikampa no akanipigia tukaonana

Alinieleza amekutana na mmoja wa waliotaka kumsaidia (kwa wakat ule alikuwa amemaliza chuo na anakaa na marafik but situation haikuwa inamruhusu kuendelea kukaa pale na kwa bahati mbaya hakuwa na pa kwenda ikizingatiaa alikuwa yatima ambaye amesomeshwa kwa kuunga unga na mambo mengi waliosoma ile story yake wanakumbuka jamaa aliyesimulia story ya vibaka waliouawa 2010 mwanza ye akipona) so msaada wa kwanza ulikuwa pa kukaa,alinieleza jamaa aliyeonana nae anakaa chumba na sebule hivyo kama mimi nina sehem ya kutosha nimchukue.

Mimi sio tajir but kauwezo niliko nako si haba tunaweza kula na kubadilisha mboga na maisha ya kawaida nayamudu so nikamcbukua nikaenda kukaa nae kwangu maana chumba cha wageni kipo

Niseme tulikaa vzr na am 100% sure hakuwah baguliwa na tuliishi nae kama ndg( maana nisingeweza kumwambia wife au ndg kuwa simjui ila nilitunga uongo kuwa ni mwanafunzi wangu maana zaman nilikuwaga mwl so ana matatizo anahitaji msaada ndo maana nimemchukua so ndg na mke wangu hawakuwa na wasiwasi nae maana nishawaeleza ni mtu ninayemjua) nakumbuka mpk wazaz wangu walitutembelea toka kijijin wakawa wameongea nae mzee aka suggest akamtafutie shule ya kufundisha(kwa wasabato maana ana wadhifa kule mkoa) ila kijana hakuwa anapenda ualim ingawa ndo ameusomea.

Kijana alikuwa humble kwakweli na tulikaa poa nilikuwa mara chache naenda nae kwa biashara zangu ananisaidia
Kwa bahati nzur yuko vzr kwenye Compyuta ivyo akapata inteview ya kwanza Zanzibar nikamsaidia pesa akaenda akafanya inteview na akafaulu na kupata nafasi ya kazi
Nilimsaidia nilipoweza mpk akaanza kujitegemea na alikuwa akija likizo home then anarud kazin

Baada ya muda alirud na kusema kule kazi zinamzidia na mshahara ni mdogo kulinganisha na gharama za maisha so anaacha
Bahati mbaya me ni mtu ambaye sifatilii kabisa maisha ya watu so hata sikuhangaika kujua au kulazimisha aendelee na kazi uzur hata akikaa hapa home anakula analala basi

Bahati nzur tena akapata kazi kampun ya design hapo posta akaanza kwenda na alifanya pia kwa muda mpk aliyekuwa anafanya nafasi yake aliporejea kutoka nje wakamsimamisha

Hapo kati akiwa hana kazi tulikaa poa tu mara kadhaa naenda nae kwa biashara zangu ananisaidia na mara zingine anakuwa busy na kazi zake maana yuko vzr kwneye kompyuta

Niseme nilimwamin au tulimwamin na labda hapo ndo tulikosea maana wife alimwamin kupita kiwango ye ndo akawa akacontrol ac za insta za biashara za wife(kufanya sponsored na kumrekebishia kila ikitokea shida)
So kwa lugha nyepesi alikuwa na acces na email za wife na ac zake za biashara mimi yangu ambayo ndo inaendesha biashara kubwa ya familia sikuwah kumpa awe na acces nayo maana nailinda kama mboni ya jicho

Hapo kati alikuwa anaaitwa inteview nampa hela anaenda anafanya anarud so nilisimama as his family( hajawah itwa inverview mkoa wowote akose kwenda kisa hela NO nilitoa all the time na alienda na kushiriki au niseme hajawahi niomba hela ana shida nisimpe.

Hapa kati wakat nakaa nae sikuwa vzr financial sababu ya mikopo ya bank but sikuwah kosa hela ya msaidia akiwa na shida
Mwaka huu mwanzon alianza kuwa anapotea home ananiambia anaenda kwa washkaji zake na it was oky maana siwez mbana ye mtu mzima uzur akiwa kwangu haharibu chochote anakaa kwa adabu.

Mara ya mwisho alipotea kabisa akaniambia anakaa na mmama mmoja mbez anafanya kazi sehem so huwa anamsaidia mambo machache me nilidhan ni mmama mtu mzima so anaishi nae kama alivyokuwa anaishi na sisi na me sikujali maana najua akishindwa atarud kwangu maana any time anakaribishwa

Kabla hajahamia kwa huyo dada me nilipunguza ukaribu nae kwa kiwango kikubwa( kwa sababu mambo yangu yalikuwa yanavuja sana kwa wife kuhusu michepuko na mtu pekee wa karb niliyeona anaweza vujisha kwa sababu alikuwa anajua ni yeye so nikaamua kutumia akili ya kiutu uzima nikaacha kumshirikisha sasa sijui yeye hapo ndo alitafsir namchukia? But i swear sikuwah mchukia wala kuwa na shida nae.

Mwaka huu mwez wa saba alikuja kwenye biashara zangu akaniambia yule dada anayekaa nae amesimamishwa kazi kiwandani ivyo ananiomba nimuajir kwenye biashara zangu maana ndo alikuwa source of income wanapokaa ndo akili ikafunguka kuwa hawa walikuwa na mahusiano na huyu ni mwanamke wake
Kweli akamleta nimfanyie usaili nikakuta ni binti tu mdogo wamemaliza wote chuo
Nikamchukua na kumuajir yule binti maana naona anakaa na kijana wangu asipokuwa na kazi na yule pia hana kazi itawawia vigum kuishi
Ikumbukwe me pia ni kijana tu sio kwamba ni mzee ila hawa ni wadogo zangu sana kwa umri.

Mwez wa nane akaitwa interview Ifakara shule ya Katolik alivyonambia ila akawa hana vyeti vya sekondari viko Kigoma nikakubali kumpa nauli akaenda kigoma kuvifata
Kwa sababu interview ilikuwa within 3days hakwenda na usafir wa bus alikuwa anaunga unga hizi it so gharama ilikuwa kubwa akiwa kigoma hela imeisha nikamtumia
Akarud mpk moro hela imeisha nikamtumia tena akaenda ifakara akafanya inteview ila hela ikaisha nikamtumia akarud mjini na kunambia amefanya vzr na wamewahid kumuita

Shida ilipoanzia sasa aliporud mjini nikawa nimepata shida home nikampigia aende akanisaidie maana me sipo akakubali anaenda ila hakwenda kila nikimpigia anajibu naenda basi nilipoona shida inakuwa kubwa nikatafuta mtu akaifanya likapita
Then tena ikatokea na shida hapa dukan ye ndo anaweza nisaidia nikamuita hakuja kama siku tatu siku ya nne akaja akailipua lipua akaondoka hata bila kumaliza kazi wala kuaga
Nikamwambia yule mwanamke wake " mmeo kanikosea" ivyo tu nikakausha na kuendelea na yangu.

Mwez huu siku moja narud home nimekaa sebulen naangalia mpira wife ananifata toka juu chumban analalamika hawez kuingia insta
Kuchek ac yake iko hacked mmm!
Nikajaribu kulog in ikagoma
Nikaingia kwa email yake ili nirudishe ac maana ilikuwa protected na email nikakuta pia email imekuwa hacked duuu!
Nikajarb kurudisha email kwa kutumia no ya sm nikakuta pia no ya sm imebadilishwa

Yaan mhusika alianza kwanza kuchukua email akabadilisha kila kitu then ndo akaenda kwenye ac akabadilisha kila kitu maana ukiibiwa ac kama unaiprotect na email na pia two way basi sio rahisi kudukuliwa ila mhusika alichukua vyote kwanza ndo akaenda kwa ac ya insta

Tukaanza kusort nan atakuwa kafanya iv akili haikumuwazia jamaa so nilibaki kumlaum wife kwa kunitoa kwa email yake maana ningekuwa bado na acces ya email yake ningeweza kuzuia isidukuliwe

Wakat tuko kwa mabishano nikakumbuka nina email nyingine ya wife ambayo haitumii kwa biashara so amna mtu anaijua tofaut na mm na yeye na huyu dogo ila jion ilinitumia msg kuna mtu ana log in kama sio mm nizuie na kubadili paswd nikazuia na kubadili paswd sasa akili ikaanza kufunguka kuwa huyu mtu anazijua email zote za wife ndo maana ameanza kudukua ile ya kwanza aliposhindwa akadukua ya pili ndo akaweza

Moja kwa moja akili ikambukumba dogo ndo mtu pekee mwenye acces na hizi detail za wife tukanpigia sm hakupokea
Tukalala asubuh pia piga hapokei piga hapokei
Nikampigia mkewe akapokea kumuuliza jamaa akasema yuko hapa
Weka loud speaker tukamwambia tunajua we ndo umedukua hii ac ya wife pls tunaomba irudishe akaanza oonh bro najua unanichukia ndo maana unasema ivyo
Nikamuuliza nakuchukia? Kwa sababu gan nikuchukie? Oonh ulikuwa na shida sikukusaidia! Nikamwambia ningekuchukia ningekuwa na mkeo nimemuajir mpk sasa? Ungekuwa ukipata shida nakusaidia? Lin ushakuja unashida nikagoma kukusaidia? Akaanza kukataa sio yeye

Logic ndogo hizi - Hacker wapo sijakataa but hacker anacheza na vitu anavyoviona ( atacheza basi na email unayotumia na no yako ya sm sawa but dogo kosa alilofanya mpk nikawa sure ni yeye ni alijarb kuchukua mpk email ambayo haitimiki kwenye mitandao,yaan email mfu hata wife haitumii kabisa na email hii naijua mimi yeye na wife peke yetu
Angekomaa na ile email inayotumika tungesema sawa labda ni hacker
mbili hacker anaanza kuchukua ac ndo anabadili kila kitu ila huyu alianza kuchukua email akabadili detail za email zote kwanza ndo akaenda kwenye ac masaa manne badae
Tatu watu wanaohack ac wakishazichukua wanaanza kuzitumia ila dogo baada ya kuona amegundulika ameganda( ac kabadili tu majina basi amestack hata picha hajafuta
Ameweka pale email kuwa inauzwa@gmail ila akifatwa huko hajibu,akifatwa dm hajibu maana angekuwa hacker angeshaibadili kila kitu aiuze au ile kumfata angeomba dau tumlipe aturejshee ile ye kaganda tu hajui hata afanye nn airudishe au aiuze anaona tunaifatilia tutamnasa aliyenunua then atupeleke kwa aliyemuuzia yaan kiufupi dogo amekosa cha kufanya na ile ac

Nishaongea na wife wake aturejeshee ila anakana kwa mkewe sio yeye, mimi sijamsimamisha mkewe kazi wala sina mpango huo na wala dogo simchukii wala sitamfanya kitu kwa sababu mlipaji hapa duniani ni Mungu

NB:- Nachoweza kusema kwako dogo maana najua utasoma hapa nimekaa na wewe vzr kama mdogo wangu kwa muda wote huuu but kama binadam nina mapungufu yawezekana kuna sehem mm au mke wangu au familia yangu tumekukosea bila kujua tunaomba utusamehe tu na pia ni vzr kama una kitu na mtu mweleze umenikosea badala ya kumlipa ubaya
Sisi hatukuchukii na wala sina kinyongo na wewe maana wife ac ilikuwa na 30k now nimempa ac yenye 103k so hajapungukiwa lolote bali amesogea mbele zaid
Ila narudia kama kuna sehem tulikukosea bila kujua basi tusamehe ndg
Kama hiyo ac unayo wewe turudishie ndg yangu mpe hata mkeo detail au nitumie detail kwenye email me sitakuchukia wala sitakuwa na ubaya na wewe maana hapa duniani tunapita.
Kitu pekee umenifanya niogope kusaidia (juzi nimeona kijana kaandika hapa anapitia magum chuon mpk anataka kujiua kumfata dm kodi yake ni elf 40 tu but nikaogopa kuendelea mbele maana kama msaada badae unakugeukia haina maana ya kusaidia

BUT { kama sio wewe basi nisamehe kwa kukuwazia vibaya ingawa % kubwa zinakulenga wewe ndo mhusika}

Ahsante
Punguza wema mkuu binadamu hawana kumbukumbu wakisha fanikiwa.
 
Sio kila kitu unamuachia Mungu jombaa huyo pita nae hiv. Kosa moja kubwa usimsaidie mtu hata ukamleta kwako nyumbani au ofisin hii ni hata kama ni ndugu msaidie kwenye mazingira yake sio yako. Pia kumbuka hili cku zote huwez kuwa na huruma zaid ya Mungu. Kuwa na kiasi na kila kitu. Ningekuwa mimi ni wew huyo jamaa ambacho ningemfanyia ingebaki historia kwake. Hii habar za Watz wanapigwa na ccm kila cku wanabaki kumuachia Mungu mi mcnaga.
 
Hao watu wapo tu mkuu,kuna mjinga mmoja nilimpa mahali pa kulala usiku mmoja tu maana alichelewa kwake na ilikua usiku sana.
Humo kalala kulikua na kibubu kina euro 180 zimekaa tu niliweka.
Asubuhi anakuja kuaga aondoke ndio nikashtuka kulikua na hela mle ndani.
Aisee nikawai kucheck kile kichupa hela haimo.
Yoote katambaa nayo.
Mle ndani hakuwai kuingia mtu zaidi yake siku hiyo.
Nilikasirika sana nikaita mpk polisi badae na hali yake ile nilisamehe tu aondoke maana polisi pia alikua na matatizo nao.
 
Kawaida sana samehe siku ziende iko ivi situation kama izo ni kawaida sana..

Mwaka 2017 nilikuwa naishi mtaa fulani hapa dsm uswazi karibu na chuo fulani..Basi nilikuwa na PC moja kali sana Kuna jamaa alitoka south Africa ilikuwa HP kali sana basi kwa vile yeye ni mabangi na ilikuwa mpya na speaker zake za pembeni yeye alikuwa anatumia ile dj mixer tu kupigia mziki ,kufupisha story nilimshawishi jamaa aniuzie kwa ishu za kiofisi na nilikwua na PC ndogo kidogo aina ya ASUS basi nikampa laki 5 ilikuwa kali akakubali ilikuwa bado mpya ila bongo zilikuwa zinauwa mpaka 800k enzi zile ikiwa mpya...

Pale ninapokaa nilikuwa nimepanga Kuna madogo wanasoma chuo wako wakike wawili wamepanga mmoja anaonekana mtu wa dini sana ni mtu anajiheshima sema ni kadogo kwangu ..basi walikuwa first year siku moja wakaniuliza vip unajua kutype assignment nikawaambia "ndio" sikuwa na hiyana nikaanza kuwafundisha assignment ya kwanza walifanya poa sasa Kuna kipind assignment zilikuwa nyingi wakawa wanataka niwape PC yangu haswa yule mlokole..

Nikawa kama nasita basi nikampa kama leo bahati mbaya nilifanya kosa nikampa na password zote ndani hapana file za Siri sana zaidi ya vyeti vyangu , business plan na project za kazini sema ni backup plan nyingine zipo kweny computer kubwa ofisi zipo huku na huku..wiki niliyowapa kila nikiwaomba wanadai kazi nyingi watarudisha nikaona poa wiki iliyofuata nikapata safari ya kikaza kwenda mwanza nikakaa kama wiki mbili ,nakumbuka narudi ilikuwa mwaka ushageuka ...ngoja niwachek wale wadada pale walikuwa washahama wako mtaa wa pili . Yule mmoja nilimkabidhi nikawa nachat nae anasema siku ya jumapili utakuwa off ntakuletea PC yako..

Jumapili ikafika nikamchek anasema anaumwa na sio mbali na kwetu sasa nikamwambia nije kuchukua akadai yupo sinza hospital ..Duh!!mtu alete anasema hapana ntaleta..

Machale yananicheza kwamba kashanitapeli siku nyingine namtumia meseji anapanic eti unaniandama kwani Mimi mwizi PC ninayo nikiamua nitaleta hapo ilikuwa washamaliza semester ya kwanza na likizo washarudi ...Duh nikaona noma mwisho wa siku akaja kuniambia pc yako sitoileta na hakuna kitu kinaonyesha hii ni PC yako na ukiendelea "kunifuatilia ntakusingiza kwamba umenibaka"

Nikamwambia sawa umeshinda sikuwai mfuatilia Tena coz kipindi icho ofisi tuliletewa laptop mpya na vishikwambwi kwa ajili ya mikutano ..laptop zipo programmed na mambo ya kiofsi hazina uhuru kwa sana .

Ila kiuhalisia roho iliniuma sana ...nikaona bado dunia ni duara maana hata kwa napajua ni karibu nilipokuwa nakaa basi nikamuacha sijui yuko wapi...Kuna jamaa alikuja niambia yule dogo alikabwa maeneo ya manzese akaibiwa vitu kibao pamoja pia alilazwa kwa kujeruhiwa na inawezekana PC aliibiwa sema hakutaka kuniambia alitumia ubabe.
 
Aliogopa kukuambia
 
Back
Top Bottom