Ni simulizi gani Ilikukuna vizuri hapa JF 2016?

nahitaji link ya simulizi ya yule alieenda mtwara, mtama kufanya kazi akakutana na mauza uza mpaka panya kugeuka joka kubwa... tafadhari mnisaidie mana hata jina ya hiyo simulizi siikumbuki
 
Mimi nilikunwa na simulizi za the one and only The bold
1.Geranimo E.K.I.A
2.Mifereji ya Dhahabu:pasipo silaha,chuki,wala ukatili.
Hizi ni moja kati ya simulizi bora kabisa kuwahi kutokea.
Ila funga kazi ni Geranimo E.K.I.A...nililia kwa uchungu!

Salute The bold
Please Nifah naomba link za hizo story na mie nisome mie n mgen uku
 
Peniela aisee kitu kilinisumbua balaa ...kama hujakisoma pekua makabrasha humu ndani ni nyoko..hakikisha unaianza weekend...
 
Back
Top Bottom