Ni nyoka gani mkubwa kuliko wote duniani

Ni nyoka gani mkubwa kuliko wote duniani

Je Wale nyoka wa mizimu wa Morogoro...wanaokaa milimani?

Akiji sogeza tuu Mafuriko hayo
 
Huyu nyoka ni wa ajabu sana nakumbuka mwaka mmoja nlitaka kufua nguo(mtoni) nikaahirisha nikaziacha nguo hapo hapo nkaenda home
Kesho nikarudi nkazikusanya nguo mpaka home na kuziweka chumban jion sasa tuwashe kibatar ile harufu ya mafuta bwana ilimtoa ndani ya zile nguo....palichimbika aisee
Malizia hiyo stori mkuu nini kilifuata..???
 
Sasa na wewe una mambo ya ajabu sana. Unaachaje nguo mtoni?mbona smetme unafanya mambo ya ajabu?unaachaje nguo mtoni then kesho yake unaenda beba hata hukagui?hayo mambo ya ajab sana....ungesababisha maafa na leo hii tusingesoma post yako. Umenikwaza sana.

Haya elezea vizur kuanzia mwanzo ilikuaje mpaka kufikia hapo.


Huyu nyoka ni wa ajabu sana nakumbuka mwaka mmoja nlitaka kufua nguo(mtoni) nikaahirisha nikaziacha nguo hapo hapo nkaenda home
Kesho nikarudi nkazikusanya nguo mpaka home na kuziweka chumban jion sasa tuwashe kibatar ile harufu ya mafuta bwana ilimtoa ndani ya zile nguo....palichimbika aisee
 
MEDUSA NDIYE NYOKA MKUBWA MPAKA SASA KUKAMATWA
f2378e927d453368ea7f19b0ec8030c6.jpg
d296e35328212926a013dd16136ac970.jpg
c4501e5de84b3b2f56749a88d7f6e1fb.jpg
416f0feb286aedd4e15e3e3f3bf7ce9e.jpg
9804e46151249fa236722d9f79868442.jpg
 
Kwa muda mrefu nasikia majina tofauti tofauti ya nyoka na sifa zake,hatari zake...lakini je ni yupi ndio kiboko ya yote...yaani funga kazi.anapatikana wapi

Wanasifika sana ni kama vile
Koboko,chatu,cobra,anakonda,futu, n.k

Tujuzane kidogo wakuu
Nyoka funga kazi ni CCM. Waulize wadanganyika kila uchaguzi, nyoka huyu anakuja na kauli mbiu iliyopakwa asali, mgao wa kofia, fulana, vitenge, buku 5 na ubwabwa ni mtego wa kura.
Hatari ya nyoka huyu baada ya uchaguzi anajivua gamba na anaendelea pale alipoacha , kuwatumbua wadanganyika na kuwagawia umasikini. Ukikaidi kupokea umasikini, unapotezwa au unatekwa.

Nyoka huyu anapatika Afrika Mashariki.

Nilitaka ku-upload picha hapa lakini imepita Noah nyeupe. Nikipata muda nitaiweka baadaye.
 
Kuna nyoka/ chatu anaeshikilia record ya dunia kwa sasa..

Huyo nyoka anaitwa MEDUSA na anamilikiwa na Kampuni ya Full moon production Inc. Kutoka jimbo la Misouri , nchini marekani.

Nyoka huyo ana urefu wa 7.67M sawa na futi 25 na inchi 2. Vikiwa ni vipimo vilivyochukuliwa mwaka 2011 mwezi october.

Nyoka huyo mwenye umri unaokadiriwa kufikia miaka 10 , alihiyaji watu 15 ili aweze kushikwa kwa unyoofu ili apimwe urefu wake..

a5da48344abf9d9131f71bacdfb0012b.jpg


e0a1eb1b9086df117ea470d128958128.jpg


e77fff018254df4298a7a53383ad92d7.jpg

a3f00709edafcc94851b5c780a457765.jpg
Dah
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom