Ni ngumu kuyapandisha maji mlimani

Ni ngumu kuyapandisha maji mlimani

Hiki ndio napambana kumuelewesha jamaa ila haelewi.
Aisee Extro, huyu dogo atapata shida sana na huyo mwanamke. Kuna principle moja muhimu sana ambayo inaelekea haijui kuhusu wanawake:

MWANAMKE HUA HARUDI NYUMA KWENYE SWALA LA MAPENZI!

Mfano: Mwanamke ukimpata wakati unaendesha baiskeli, mkaja kuachana akapata muendesha pikipiki, hatokaa amkubali tena muendesha baiskeli. Akiachana na wa pikipiki akakutana na mwenye gari, wewe wa pikipiki hata umbembeleze vipi humpati!

Hiki ndio ambacho hua kinawakuta wanaume wanaosomesha madem zao vyuoni. Dem akishakua exposed (akishasogea hatua moja mbele) hua ni ngumu sana kurudi alikotoka!

Na ukiona mwanamke amerudi nyuma, basi ujue ameshamaliza gia zake zote na ameona kabisa mbele kuna kiza ama umri umemtupa mkono, sio kwa mapenzi.
 
Mkuu ni teaser tu wala sio tusi. Nimefurahi sana maana kila baharia anakula kipondo cha aina yake.

Hongera sana, you have been Certified ni kusonga mbele tu hamna kubembelezana na mtoto wa mtu. Hasa ukijua mahusiano ni Liability kwa mwanaume.
Niliyajua yote nilipobatizwa kuwa ni hasara tu nilijipa likizo kama nusu mwaka nilipata kama ki smart mambo yangu nilikua nafanya chap chap
Vile nilikua navitaka nafanya bila mfikiria mtu
hela ilitafutwa kila kona itimize malengo yangu tu Maana chanzo cha kunyanyapaliwa ilikua senti kiduchu na mimi najua
Nikiri nimekua sana kuzidi awali nilipofika ni mbali mara 1000 kuliko wakati napewa kadi nyekundu ya mapenzi
 
Aisee Extro, huyu dogo atapata shida sana na huyo mwanamke. Kuna principle moja muhimu sana ambayo inaelekea haijui kuhusu wanawake:

MWANAMKE HUA HARUDI NYUMA KWENYE SWALA LA MAPENZI!

Mfano: Mwanamke ukimpata wakati unaendesha baiskeli, mkaja kuachana akapata muendesha pikipiki, hatokaa amkubali tena muendesha baiskeli. Akiachana na wa pikipiki akakutana na mwenye gari, wewe wa pikipiki hata umbembeleze vipi humpati!

Hiki ndio ambacho hua kinawakuta wanaume wanaosomesha madem zao vyuoni. Dem akishakua exposed (akishasogea hatua moja mbele) hua ni ngumu sana kurudi alikotoka!

Na ukiona mwanamke amerudi nyuma, basi ujue ameshamaliza gia zake zote na ameona kabisa mbele kuna kiza ama umri umemtupa mkono, sio kwa mapenzi.
Hahahah jamaa kwa sasa pia mpunga hana, ramani hazijakaa mkao anasema tu dah angenikuta zama zangu zile pesa haikuwa shida😂 ningemtuliza mawenge ila sasa yeye mwenyewe ana struggle ku survive. Hana hela za offer.

Hapo ndipo huruma inanijaa zaidi maana kumiliki pisi kali bila kilainishi (Mawe/Cash/Penenge) ni changamoto.
 
sure mkuu golden stage inawaongopea sana na kuishi nje ya uhalisia.....mwisho anarudi unaamua wewe umpokee au umtumie umuache na majuto.
Dah yani mimi ukirudi nakua na hofu kweli ili nisiumie f.uuck zone ndio mahali huwa nawaweka nina amini kabisa chizi huwa haponi yakimnyookea anakuja kukuliza tena
 
Niliyajua yote nilipobatizwa kuwa ni hasara tu nilijipa likizo kama nusu mwaka nilipata kama ki smart mambo yangu nilikua nafanya chap chap
Vile nilikua navitaka nafanya bila mfikiria mtu
hela ilitafutwa kila kona itimize malengo yangu tu Maana chanzo cha kunyanyapaliwa ilikua senti kiduchu na mimi najua
Nikiri nimekua sana kuzidi awali nilipofika ni mbali mara 1000 kuliko wakati napewa kadi nyekundu ya mapenzi
Hahahah sometimes hardships zipo ili tukue. Changamoto uliopitia ilikuwa ni kukutenganisha na umaskini. Now utainjoy mama kali utakavyo sababu wanachokipenda si unacho!
 
Hahaha huyo jamaa na akili zake ana date na mtu hana hata hela ya kula mchana?
 
Demu akiwa on her prime ping ni nyingi huwa wana mapozi sana [emoji23][emoji23][emoji23] ukijumlisha na katabia ka baadhi yetu kuto Balansi shobo inakuwa balaa[emoji16]
Tena ukute wewe huna shughuli ya maana halafu kanasoma chuo wanaongopeana na rafiki zake kuna bishow wa chuo anaongopea ndio utatuma vihela utatuma sms hujibiwi

Final uzeeni kitu wamekuja mtaani kwanza wamekuja awamu ya mitano tena unamaliza haijulikani nani msomi nani sio

Wale wenzie walikua wanampa jeuri hakuna mtu hana hata bando ndio wanakuja sasa [emoji1]

USIFANYE MAKOSA
 
Hahaha huyo jamaa na akili zake ana date na mtu hana hata hela ya kula mchana?
Hahahah demu ana kikazi anafanya mahali. Sema si lazima akupige spoku za hapa na pale au we mgeni kwa hawa watu 😂😂😂
 
Tena ukute wewe huna shughuli ya maana halafu kanasoma chuo wanaongopeana na rafiki zake kuna bishow wa chuo anaongopea ndio utatuma vihela utatuma sms hujibiwi

Final uzeeni kitu wamekuja mtaani kwanza wamekuja awamu ya mitano tena unamaliza haijulikani nani msomi nani sio

Wale wenzie walikua wanampa jeuri hakuna mtu hana hata bando ndio wanakuja sasa [emoji1]

USIFANYE MAKOSA
Hahahah ni kubamiza tu 😂😂😂
 
Hamna ishu ni kwamba J ndio alimchakata V na akamvua Bikra kabisa. Sasa dogo alikuwa amedata sana kwa mwana kiasi kwamba akawa anatoroka kwao anamfata mchizi chuo hata shule hazingatii. Jamaa ndio ikambidi amuweke kando kwa muda asije zingua school. Demu alioza kwa mchizi.

Sasa after two years jamaa akamcheki dogo akiwa IFM second year kwamba anataka ku resume mahusiano ndio hapo sasa balaa lilipoanzia. Demu akawa ni kama mtu mpya kabisa upendo ulishafifia. Sasa mwamba anafosi kumrudisha katika state waliokuwa mwanzoni akiamini demu ndio mkewe halali😁😁😁
Kwaio vipi principle za joka jeusi hapo hazi apply?
 
Back
Top Bottom