Kuna vingine sio lazima wote tuvielewe kirahisi!!
Hivi kwanini Rais amtetee bila sababu!? Kwa maslahi gani!? Kwamba Rais mzima afanye maigizo ya kitoto namna hiyo kisa Muruma!?
Hapo vijana hata kama hamumpendi Rais wenu labda kwa sababu ya maneno mliyomezeshwa na baadhi ya wanasiasa, inabidi muanze kuwa na akili sasa!
Undercover wapo tangu enzi na enzi na hawawezi kujifanya kuwa wao ni wazalendo saaaana kwenye taasisi wanayoichungunza!! Wakifanya hivyo watapataje kuaminiwa!?
Msione ajabu kwamba Proffesa alikula madili ya maana huko kwenye ALMASI!! Ilikuwa lazima ayapige na asaini kama kipofu ili kutimiza yaliyompeleka!!
Hoja mnayojenga kwamba alitumwa na nani na lini haina mashiko kwasababu hujui hizo taarifa za kwamba tunapigwa na yeye alianza kuzipeleka lini na kwa nani!?
Si rahisi kufahamu kila kitu kinachofanyika serikalini!
Kwa issue nzima ya kuwaminya watumishi wa umma, wafanyabiashara na kuwaminya watu Uhuru wa kujadiliana kwa hoja mbadala, si muungi mkono Mkuu wa nchi!
Ila kwenye hili la rasilimali za nchi, madini nakadhalika sina budi kumpa BIG UP muheshimiwa!!!! Angalau watu wataanza kubadili mentality na hata hao wawekezaji wataweka heshima!!
ACCASIA wasipunguze uzalishaji, wasepe tu kama kimewauma!!
Sent using
Jamii Forums mobile app