Ni nani aliyemtuma Prof. Mruma na ni lini?

Ni nani aliyemtuma Prof. Mruma na ni lini?

Ndio maana uchumi wa nchi unadidimia. Cha kuhuzunisha hata mswahili dhaifu wa Msoga approval rating yake hiko juuuu kuliko huyu mwizi wa rambirambi
 
Lazima mkubari kuitwa WAJINGA wote mnaohoji mruma alitumwa Na Nani lini ili UJINGA uondoke mkubari kuwa nchii hii INA imformas wengi kila sehem nahuleta taarifa sahihi tatizo huwa HAZIFANYIWI KAZI Sasa magufuri Anazifanyia Kazi

Sent using Jamii Forums mobile app
Informer ndye anasign mikataba ya kutuminya
Ukijua maana ya sirikali
Bimaana serekali usingehangaika kuulizwa alitumwa lini na nani

Sent using Jamii Forums mobile app


[emoji124]‍♂️naenda zimbobo.
 
Mbona wapo wengi sana tokea enzi za Nyerere ila hapo kati walikua hawapewi kipaumbele, refer kauli ya kikwete "ninayo majina yote ya wauza unga"

Kwenye vyama vya upinzani ndio wamejaa kama utitiri na kuna kiongozi mkubwa upinzani ni undercover agent.
 
Ili uwe infrm mzr lzm ujue wa2 unaodiri nao kama niwalevi lzm nawe ulewe hta km wewe hutumii pombe, sum time Wanawake wanatoa mpaka miili yao ili kutetea taifa lao km utakuwa hujaelewa tatizo litakuwa xule au vigodoro km siyo basi uelewa mdogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha kweli wadanganyika yaani nilizima TV baada ya kusikia ule utetezi, hata mwanangu kaniuliza huyo mruma alitumwa lini? Na ripoti inasemaje ni lini alikuwa mtumishi wizarani? Nimemwambia mwanangu pambana na hali yako,

Sent using Jamii Forums mobile app
Vyombo vya ulinzi na usalama vinafanya kazi zake kikamilifu, tiss wanafanya kazi kwa mujibu wa viapo pia na ni wajibu na utashi wa mwenye mamlaka kufanyia kazi, kama walokuepo hawakutaka kufanyia kazi basi aliyepo kaamua kuyafanyia kazi.
 
Mbona wapo wengi sana tokea enzi za Nyerere ila hapo kati walikua hawapewi kipaumbele, refer kauli ya kikwete "ninayo majina yote ya wauza unga"

Kwenye vyama vya upinzani ndio wamejaa kama utitiri na kuna kiongozi mkubwa upinzani ni undercover agent.
Nakuona nakuona
Awamu hi ya tano iko vyema
Tumuunge mkono Rais

Chief Economist
 
Habari wadau!

Jk alishawai kusema za kuambiwa changanya na zako.

Ivi wakati huyu Prof anasaini mikataba bila kusoma je rais Magufuli alikuwa rais au alikuwa waziri?

Kama alikuwa waziri tena ya Ujenzi aliingiaje kumwambia asaini mikataba ya Madini na wakati yeye sio waziri wa wizara husika?

Si aseme tu kuwa kaingia chaka na ripoti ya makinikia na kumteuwa baada ya kumpelekea riport inayotambulika kama professional rubbish?

Anadanganya umma kwa maslai ya nani?
 
ni sawa ,nimemuelewa Mh Rais ,angemkana leo Prof Mruma ,tungerudi katika ile ripoti yake kama ilikua sahihi,kama alitumwa kweli BIG UP prof Mruma
 
Back
Top Bottom