Ni nani aliyemtuma Prof. Mruma na ni lini?

Ni nani aliyemtuma Prof. Mruma na ni lini?

ma askari huwa wanamajukumu ya kuanda ripoti na kuipeleka kwa wenye maamuzi .

Mjinga ndo anaweza kuamini ule uongo wa kiwango cha lami aliemteua kwenye teuzi zake kachukua mwez kanaswa kwenye tuhuma hana namna zaidi ya kumkinga.
 
ni sawa ,nimemuelewa Mh Rais ,angemkana leo Prof Mruma ,tungerudi katika ile ripoti yake kama ilikua sahihi,kama alitumwa kweli BIG UP prof Mruma

JPM alikuwa Rais kuanzia mwaka gani Mkuu??Usikubali kuwa MDANGANYIKA hakuna kitu hapo alikuwa anamtetea mtu aliyemsifia miezi michache nyuma.
 
Hujui kuwa hata mkuu wa TISS alikuwa mfanyakazi katika taasisi mbali mbali nchini?

Rais amesema alitumwa na kwa maana kuwa taasisi ilimtuma.

Vitu vingine vinahitaji tu komoni sensi kuvielewa.

Tatizo vijana wa sasa hata komoni sensi imekuwa bidhaa adimu!
 
Huyu makomeo wa ajabu sana, na anafanya yote hayo kwasababu alishasikia Lissu alimuita professional rubisher.......yaani huyu makomeo siku akimuona Lissu anaogelea yeye atataka kutembea juu ya maji ili mradi tu ampinge....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: SDG
alimtuma au alitumwa akafanye uchunguzi? nadhan logic ya mzee alitumwa
 
Hujui kuwa hata mkuu wa TISS alikuwa mfanyakazi katika taasisi mbali mbali nchini?

Rais amesema alitumwa na kwa maana kuwa taasisi ilimtuma.

Vitu vingine vinahitaji tu komoni sensi kuvielewa.

Tatizo vijana wa sasa hata komoni sensi imekuwa bidhaa adimu!
nimekuelewa. unamaana alikuwa TISS wa enzi nz enzi. hivyo aliyoyafanya yote alikuwa anatimiza kazi zake. ok mwanya kazi wa TISS ni haki yake kutia hasara taifa?
 
Back
Top Bottom