Ni nani aliyemtuma Prof. Mruma na ni lini?

Ni nani aliyemtuma Prof. Mruma na ni lini?

Mzee hii ni Tanzania..Unajua kazi za usalama wa Taifa..au unadhani ni kulinda. Usalama wana kaz nying sana. Unaweza pia task ya kufatilia jambo maeneo ya starehe lazma uwe mlevi. Kwan unadhani majambazi wanakamatwaje.
Habari wadau!

Jk alishawai kusema za kuambiwa changanya na zako.

Ivi wakati huyu Prof anasaini mikataba bila kusoma je rais Magufuli alikuwa rais au alikuwa waziri?

Kama alikuwa waziri tena ya Ujenzi aliingiaje kumwambia asaini mikataba ya Madini na wakati yeye sio waziri wa wizara husika?

Si aseme tu kuwa kaingia chaka na ripoti ya makinikia na kumteuwa baada ya kumpelekea riport inayotambulika kama professional rubbish?

Anadanganya umma kwa maslai ya nani?
 
Hujui kuwa hata mkuu wa TISS alikuwa mfanyakazi katika taasisi mbali mbali nchini?

Rais amesema alitumwa na kwa maana kuwa taasisi ilimtuma.

Vitu vingine vinahitaji tu komoni sensi kuvielewa.

Tatizo vijana wa sasa hata komoni sensi imekuwa bidhaa adimu!

Hata mabilioni ya EPA yaliyokwapuliwa kupitia Kagoda Agricultural tuliambiwa yalikuwa kwa ajili ya matumizi nyeti ya ulinzi na usalama wa nchi yetu,baadae ukweli ulipodhihiri walewale waliotuambia fedha za kagoda zilitumika kwa kazi maalumu,waliikana kauli yao na wakatuambia kuwa walipotoshwa na aliyekuwa gavana wa BOT Marehemu Daud Balali(R. I. P kama alikufa kweli).
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Hujui kuwa hata mkuu wa TISS alikuwa mfanyakazi katika taasisi mbali mbali nchini?

Rais amesema alitumwa na kwa maana kuwa taasisi ilimtuma.

Vitu vingine vinahitaji tu komoni sensi kuvielewa.

Tatizo vijana wa sasa hata komoni sensi imekuwa bidhaa adimu!
Unaposema alitumwa unamaanisha alitumwa akafanye mambo bila umakini?

Tusitoane akili!
 
nimekuelewa. unamaana alikuwa TISS wa enzi nz enzi. hivyo aliyoyafanya yote alikuwa anatimiza kazi zake. ok mwanya kazi wa TISS ni haki yake kutia hasara taifa?
Anakuwa upande wa adui na hata mkiwa mnashambulia yeye anawashambulia,
Na akuzubaa hua anauawa,
Kuna posibility kubwa ya kufa kutoka kila pande

Kama ni wale mliosoma miaka ya 2000 + hapa kupaelewa ni ngumu mnoo
 
JPM katafta njia ya kumtetea huyo Mruma anatufanya sisi watoto - sii asseme anaajenda ya siri tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Swala sio katumwa lini? Swala alikuwa na kitu akaona JPM is the right person kushughulikia tatizo naye akamtonya, yawezekana Wa huko nyuma walikuwa wagumu kuchughulika na kasoro hizi.
 
nimekuelewa. unamaana alikuwa TISS wa enzi nz enzi. hivyo aliyoyafanya yote alikuwa anatimiza kazi zake. ok mwanya kazi wa TISS ni haki yake kutia hasara taifa?
Undercover spy akiwa uwanja wa mapambano yuko huru ikiwezekana hata kuua askar kutoka ktk Jeshi lililomtuma.

Watanzania nashauri tafuten maarifa zaidi

Chief Economist
 
Undercover spy akiwa uwanja wa mapambano yuko huru ikiwezekana hata kuua askar kutoka ktk Jeshi lililomtuma.

Watanzania nashauri tafuten maarifa zaidi

Chief Economist
ok. nimekuelewa. hivyo unataka kusema maovu yaliyofanywa na viongozi enzi za mkwere walikuwa TISS. Ili waje walete taarifa za uhakika kwa mkulu wetu wa sasa?
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Upumbavu ni mzigo, vyombo vya ulinzi na usalama vinafanya kazi zake kikamilifu, tiss wanafanya kazi kwa mujibu wa viapo pia na ni wajibu na utashi wa mwenye mamlaka kufanyia kazi, kama walokuepo hawakutaka kufanyia kazi basi aliyepo kaamua kuyafanyia kazi.
Hata hao ambao hawakufanyia kazi hzo ripoti nao mlikuwa mkiwasifu kwa nyimbo na mapambio.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ok. nimekuelewa. hivyo unataka kusema maovu yaliyofanywa na viongozi enzi za mkwere walikuwa TISS. Ili waje walete taarifa za uhakika kwa mkulu wetu wa sasa?
Hapana
Wengine waliopewa dhamana walikengeuka
Sheria itachukua mkondo wake

Chief Economist
 
Swala sio katumwa lini? Swala alikuwa na kitu akaona JPM is the right person kushughulikia tatizo naye akamtonya, yawezekana Wa huko nyuma walikuwa wagumu kuchughulika na kasoro hizi.
So alimtonya mwizi. Maana haya madudu yamefanyika kabla ya jpm kuingia ikulu.

[emoji124]‍♂️naenda zimbobo.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Back
Top Bottom