Babarita
JF-Expert Member
- Dec 14, 2011
- 388
- 126
Tushaijua hiyo hasara,aya tumepata nini mpaka sasa baada ya kujua hiyo hasara ambayo imesainiwa na agent wetu.
Tushaijua hiyo hasara,aya tumepata nini mpaka sasa baada ya kujua hiyo hasara ambayo imesainiwa na agent wetu.
Hizo plan za miaka ishirini kwa mtindo uliotokea leo ni plan za hovyo dunia.Mossad,kb na cia hawawezi fanya,hii inaweza tokea tz pekee.Acha kuwa kichwa cha kuku mjomba ,,vyombo vya usalama siku zote huwa na plan za miaka hata kumi au ishirini ,mbele tafuta anayejua maswala ya kupenyezwa kidogo moja 2 3 ,utaelewa na hilo ni jambo la kawaida sema hauyajuii,,, na kama magu akisema kamtuma hajakosea kwa kua magu ndio boss wa usalam ,,,so sioni cha kushangaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ni undercover wewe Mtt huwez juaAkudanganye wewe kwa manufaa ya nani!? Who are you!?! Who is Proffesa Muruma kwa Magufuri hadi amkingie kifua hadharani!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Huo ni mtazamo wako na unahaki zote za kufikiri unavyodhani ila pale unapoamini fikira zako ndo sahihi hapo ndo makosaSasa kama ndio hivyo hakuna mantiki ya kuwepo kwa intelijensia,yaani yeye kasaini akijua yupo kazini ilihali anajua serikali inapata hasara na hicho alichokisaini anajua kitalipa shida taifa.Hivi ni bora kuzuia hasara au ni kusaini ukijua utapata hasara ili baadaye uje hudai fidia
Kwa taarifa tu. Huku nilihama tu kwa akaunti hii. But nipo sana tu kijanaWe kamshabikie diamond huku hupawez[emoji1] [emoji1]
mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
Kwanza tulitaka tuijue tu hiyo hasara mengine yatafuata.Tushaijua hiyo hasara,aya tumepata nini mpaka sasa baada ya kujua hiyo hasara ambayo imesainiwa na agent wetu.
Wamemtumbua lissu mapma kabla hajawajibu. Kinachofata ni sheria kupitishwa kwa hati ya dharula kabla lisu hajarud bungeni.kwahiyo alitumwa muda wooote huo madini yanatoroshwa wala hayazuiliwi yy bado anatumikia?? Matrilioni yanapotea aliyetumwa anakusanya "data"???? Hahahaaaaa....Lissu yukowapi atufafanulie haya
Ni fisadi mwenye vyeti vya uprofesa lakini hajitambuiMatendo na jinsi alivyoshughulika na mambo mbalimbali kuhusu suala la Almasi, Profesa Mruma hana sifa ya kuitwa shushushu bali ni mzembe wa kiwango cha juu na anafanya sisi kama jamii tuhoji weledi wa wasomi wetu linapokuja suala la uelewa wa nini cha kufanya na kutokufanya kulingana na wakati.
Mruma ni sehemu ya tatizo na wala hawezi kuwa shushushu.
Ni ombi la kutaka kuwatoa watu mkojo...ni hoja au swali la nyongeza?