Ni nani aliyemtuma Prof. Mruma na ni lini?

Ni nani aliyemtuma Prof. Mruma na ni lini?

Baada ya kumsikiliza Mh. Rais alivosema kuhusu special operation aliyofanya Prof. Mruma kuhusu wizi wa madini nikaanza kukumbuka series ya 24.
Kumbe TZ tunao maspy Wa kiwango kikubwa sana kama huyu prof. Namuomba mh. Rais amuongezee ulinzi huyu prof.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unamkumbuka nani kwenye Series ya 24 aliye kuwa kama Pro. Mruma?
 
mkuu, ni Watanzania misukule tu ndiyo aliowapata kwenye hii ghiliba.

uzuri wenyewe ni kuwa truth has its own way of revealing itself and, when it does, it hits unprecedentedly!
 
Chema chajiuza kibaya cha jitembeza.

Undercover huwa haioneshwi ila mwisho wa game kila mtu anaona kwa jicho lake na kusema loooh!!! Ilikuwa bonge la game,kazi njema sana.

Sanaaa at work!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Aisee umeonaaa !!! Duuh aisee hii mbaya sana unafanya upendeleo mpaka inatia aibu .duuh hakuna mtu wakumwambia Tz ya Leo sio ile ya Jana ,mhhhh
 
Utaelewa tu km iko siku utakua miongoni mwa wachache wanaotawala wengi.......

Upunguze tu kuropoka... usije siku ukaulizwa ontario au faiza foxy alitumwa lini na nani kuja jf kupata nyepes nyepesi.


Critical thinker hatuna shida....... tunaangalia tu damu changa

Sent from "La -Vista"
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Mi sijaona faida yake, labda wanikabidhi Noah kwanza hapo ndo nitaelewa kazi ya Mruma
 
Hahaha kweli wadanganyika yaani nilizima TV baada ya kusikia ule utetezi, hata mwanangu kaniuliza huyo mruma alitumwa lini? Na ripoti inasemaje ni lini alikuwa mtumishi wizarani? Nimemwambia mwanangu pambana na hali yako,

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanao kachukua umbumbu wako jaribu kumpeleka akaishi hata ukweni vinginevyo hasara plus.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vyombo vya ulinzi na usalama vinafanya kazi zake kikamilifu, tiss wanafanya kazi kwa mujibu wa viapo pia na ni wajibu na utashi wa mwenye mamlaka kufanyia kazi, kama walokuepo hawakutaka kufanyia kazi basi aliyepo kaamua kuyafanyia kazi.
Haigombe kama alitumwa tunacho hoji nani ndio alimtuma na lini na ikawaje akasaini mkataba mbovu bila kuusoma na kilitokea nini uwizi ukaendelea miaka yote hiyo mpaka speaker ndio aje aunde kamati ndio iende kukamata wahalifu na mpelelezi !!??
 
Huu ni uongo uliopitiliza niliwaambia katika waongo duniani huyu bwana ana nafasi yake kaficha kombe mwana haramu apite.

Sent using Iphone 7+
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Back
Top Bottom