Ni nani aliyemtuma Prof. Mruma na ni lini?

Ni nani aliyemtuma Prof. Mruma na ni lini?

Lugha ya mwili ya aliyesema ilieleza kila kitu..
 
Akawadanganye watu wa koromijee huko au wale watumishi wa kibwetele
 
rais kasema hivyo, kamaliza, imesikika na kuaminika hivyo

kutengua ile kauli itisha vyombo vyote vya habari useme hilo
 
Matendo na jinsi alivyoshughulika na mambo mbalimbali kuhusu suala la Almasi, Profesa Mruma hana sifa ya kuitwa shushushu bali ni mzembe wa kiwango cha juu na anafanya sisi kama jamii tuhoji weledi wa wasomi wetu linapokuja suala la uelewa wa nini cha kufanya na kutokufanya kulingana na wakati.

Mruma ni sehemu ya tatizo na wala hawezi kuwa shushushu.
Mkuu Alen Kilewela, mtu kuwa shushushu sio lazima awe ni mwajiriwa wa TISS, Mtanzania yoyote aliyeajiriwa popote anaweza kuwa an informer wa jicho la serikali kuhusu kile kinachoendelea ndani ya taasisi hiyo.

Hiyo inawezekana kabisa, he was part and part and parcel ya yote yaliyofanyika, lakini kitendo cha kutoa tip ya kinachoendelea anakua amejiokoa.

Kwenye ile kesi ya uhaini ya mwaka 1984, ilipotajwa mwanzo ilikuwa na washitakiwa 43. Ilipoanza rasmi washitakiwa walibaki 26. Waliokuwa washitakiwa na wahusika wa mpango huo lakini waliamua kutoa ushirikiano na kugeuka ni mashahidi wa serikali kwa kuwasaliti wenzao.

Kitendo cha rais Magufuli kumtaja Mruma kuwa ni snitch ni kitu kibaya sana!.
P.
 
Akili yako ya kitoto sana. Yan mkosaji anasamahewa pale anapotoaushirikiano!

Hii inaweza kuwa ni sahii kwa upande wa CCM maana ndyo tabia zenu. Mtu akijipendekeza kwa mwenyekit makosa yake mnamfutia akiwa upinzani ndipo mnaasnza kumraftia makosa.

[emoji124]‍♂️naenda zimbobo.
 
Mkuu Alen Kilewela, mtu kuwa shushushu sio lazima awe ni mwajiriwa wa TISS, Mtanzania yoyote aliyeajiriwa popote anaweza kuwa an informer wa jicho la serikali kuhusu kile kinachoendelea ndani ya taasisi hiyo.
Mkuu Pascal huwezi kumfundisha samaki kuogelea. Mruma hakuwa shushushu wala hana sifa za kuwa shushushu na pia hakuwa "Informer" kwani kuwa infoma kuna vigezo vyake ambavyo Mruma hakuwa navyo!
 
Baada ya kazi iliyotukuka iliyofanywa na kamati ya makinikia ya dhahabu chini ya uongozi wa Prof Mruma mwenyewe, kulikuwa na haja ya kamati ya almasi kumshambulia vile wakati inawasilisha ripoti yake? Mbona aliyepewa donge la almasi hakushambuliwa na hata jina lake halitajwi? Je huu ndio uzalendo kwa kutaka kuuficha wema kwa ubaya! Hata kama Mruma ana mapungufu haikupaswa bunge kumshambulia vile ikizingatiwa kuna mazungumzo nyeti yanaendelea yakihusisha ripoti iliyoandaliwa na Mruma so kumkejeli ni kuwapa mwanya maadui zetu. Namshukuru na Ninampongeza sana Rais Magufuli kwa kuliona hilo na kulikemea kidiplomasia na kiitifaki, ahsante!
 
ukweli utabaki kuwa ile ripoti ya mruma ni "unrealistic"
 
Unaweza kumtaja mkubwa wako kwenye kashfa ya ufisadi? Wale wadogo ndio huwa wanashambuliwa. Mfano kwenye sakata la Escrow.
 
Back
Top Bottom