Acheni kujidhalilisha namna hiyo. Huyu Mruma alikuwepo before JPM maana yake kama ni swala la kutumwa basi alitumwa na JK.Swala sio katumwa lini? Swala alikuwa na kitu akaona JPM is the right person kushughulikia tatizo naye akamtonya, yawezekana Wa huko nyuma walikuwa wagumu kuchughulika na kasoro hizi.
Minatafakari hapa nimekosa jibu.
Aliyemtuma Prof. Mruma kuchunguza wizi wa madini yetu ni nani? Na ni lini alitumwa?
Nachoelewa kwenye secta/ Wizara ya madini Tanzania, Mruma hajaingia leo wala jana. Amekuwepo kitambo sana. Sasa inakuaje leo Magufuli ajitamba na kumkingia kifus kuwa alimtuma yeye?
Basi tusema alimtuma kipindi ni waziri. Sasa waziri wa Ujenzi au wa masamaki unahusikanaje na madini?
Dah. Sidhani kama tutafika kwa usanii wa level hii.
![]()
[emoji124]♂️naenda zimbobo.
Ndo maana ya ripoti kukabidhiwa kwa wenye jukumu lao kufanyia kazi kila eneo lililoguswa.So alimtonya mwizi. Maana haya madudu yamefanyika kabla ya jpm kuingia ikulu.
[emoji124]♂️naenda zimbobo.
usanii mtupuTabu ya kusikiliza na kutokuelewa!
Ni kama vile anavyotudanganya kuwa uchumi unakuwa kwa 7.1 kumbe ni projections tu. In reality haufiki hata 6.Anajua wengi waliokuwa wanasikiliza huwa ni wapumbavu hivyo ukiwadanganya wanakubali
Sikuona sababu ya kutoa ile flash
hapo tupo pamoja. yawezekana na mruma ni mmoja wao waliokengeuka?Hapana
Wengine waliopewa dhamana walikengeuka
Sheria itachukua mkondo wake
Chief Economist
Kama alitumwa. Ni nani aliyemtuma?alimtuma au alitumwa akafanye uchunguzi? nadhan logic ya mzee alitumwa
sasa kama alikuwa na special duty kwanini Rais asimwambie Spika mapema kabla ripoti haijawekwa hadharani ? Acheni usanii nyie magambaHujui kuwa hata mkuu wa TISS alikuwa mfanyakazi katika taasisi mbali mbali nchini?
Rais amesema alitumwa na kwa maana kuwa taasisi ilimtuma.
Vitu vingine vinahitaji tu komoni sensi kuvielewa.
Tatizo vijana wa sasa hata komoni sensi imekuwa bidhaa adimu!
Hata kama alitumwa lakini Undercover agent anayesababisha hasara kubwa kwa aliyemtuma kama alivyofanya Mruma hafai kusifiwa na aastahili adhabu.Alikuwa Usalama wa taifa
jaribu kushangaa na wewe.Usalama wa taifa ndio asaini mikataba ya kuiingizia nchi hasara? Si alitakiwa alinde mali za taifa?
Sent using Jamii Forums mobile app
hama wewekama hutaki hama nchi.
Professional rubbish!Walimtuma sio alimtuma vitu vingine ni kutumia akili tu sio vya kuanzisha tgreaf
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo unayotumia ni komon sensi au komon seksi? Alitumwa kutia hasara kwa miaka yote hii?Hujui kuwa hata mkuu wa TISS alikuwa mfanyakazi katika taasisi mbali mbali nchini?
Rais amesema alitumwa na kwa maana kuwa taasisi ilimtuma.
Vitu vingine vinahitaji tu komoni sensi kuvielewa.
Tatizo vijana wa sasa hata komoni sensi imekuwa bidhaa adimu!
huyo babu yenu naona kawafundisha uongo na blaa blaa wafuasi wakeHuyu aloleta thread hii Hana akili kabisa,
Taasisi ya urais ni mwendelezo Na ushirikiano wa taasisi zilizopita, usalama wa taifa haukomi Rais anapobadilika, kuendelea mpaka lengo kutimia,
Sasa Leo nimeamua niwaweke wazi suala muhim,
Process za Magu kuongoza nchi hazikuanza Leo zimeanza mwaka 2013 ,paskali mayala anajua ili, baada ya shinikizo la che nkapa kuwa either anafaa makongoro Nyerere au John magufuli wakaaza process, Na kama hujui siku za miaka ya 2014-2015 John Alikuwa mnyenyekevu sana, akaanza kumulikwa Na vyombo vya habari, Na akawa nk mtu wa kuonekana kwa media bila watu kelewa, lakin Kabla hajawa president Alikuwa Na watu ambao wanampa habari Na si yeye aliye waplant, no ni baadhi ya watu wa juu hawazid 4 ndo walimpa hata report nzima ya bandarini, madini,watumish hewa Na kadharika, sema wengi hamkujua ili maana vichwa vyenu vilikuwa kwenye safari ya matumaini Na kwa Benad , kikwete alishinikizwa kumkubali bwana magu, Na hao akina mruma siyo hao TU wapo wengine wametumwa uko ma STAMICO, Na kwingineko, sasa wanaposema ni Askari alotumwa usidhani ni katumwa mwaka 2015 la hasha,
Haya yanakutosha, Ila magufuli is a planted project kurudisha treni kwenye reli
Vijana wote tungekuwa tunatumia common sense, CCM isingekuwa madarakani mpaka sasa.Hujui kuwa hata mkuu wa TISS alikuwa mfanyakazi katika taasisi mbali mbali nchini?
Rais amesema alitumwa na kwa maana kuwa taasisi ilimtuma.
Vitu vingine vinahitaji tu komoni sensi kuvielewa.
Tatizo vijana wa sasa hata komoni sensi imekuwa bidhaa adimu!
nimekuelewa but hii inafanyika kwenye mambo ya usalama wa taifa.. unataka kusema kuwa kwenye bodi ya madini ukasaini mkataba mbovu tukapoteza pesa zetu kunafaida gani kiusalama wa taifa?. kwa hiyo unataka kusema kuna TISS. kwa ajili ya kutupatia asala ili watimize kazi zao?.Anakuwa upande wa adui na hata mkiwa mnashambulia yeye anawashambulia,
Na akuzubaa hua anauawa,
Kuna posibility kubwa ya kufa kutoka kila pande
Kama ni wale mliosoma miaka ya 2000 + hapa kupaelewa ni ngumu mnoo