Ni nani aliyemtuma Prof. Mruma na ni lini?

Ni nani aliyemtuma Prof. Mruma na ni lini?

Swala la kusema ni nan aliyemtuma au lini alitumwa mimi nadhani sio sahihi. Angalia mantiki ya kutumwa kama yanatija kwa taifa au yanahasara. Kama yanahasara kwa taifa hapo lazima tuhoji lakini kaa ukijua hakuna mafanikio yasiyo na changamoto. Kama unaona hayanatija kwako usimbuke we....... pambana na hali yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hama wewe

bunge la tanzania ni "rubber stamp" ya serikali ya magufuli
mimi naenda na ngoma ya mkulu hainipi shida. 10 years siyo mingi kwangu. hata hivyo naona fulsa nyingi sana kutoka kwake. nihame tz niende wapi nikateseke?
 
Mzee hii ni Tanzania..Unajua kazi za usalama wa Taifa..au unadhani ni kulinda. Usalama wana kaz nying sana. Unaweza pia task ya kufatilia jambo maeneo ya starehe lazma uwe mlevi. Kwan unadhani majambazi wanakamatwaje.
We kamshabikie diamond huku hupawez[emoji1] [emoji1]

mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
 
Magufuli ameamua kutudanganya tena kwa kutumia Maik[emoji3] [emoji3] [emoji3]

Mungu anakuona Magu

mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Swala la kusema ni nan aliyemtuma au lini alitumwa mimi nadhani sio sahihi. Angalia mantiki ya kutumwa kama yanatija kwa taifa au yanahasara. Kama yanahasara kwa taifa hapo lazima tuhoji lakini kaa ukijua hakuna mafanikio yasiyo na changamoto. Kama unaona hayanatija kwako usimbuke we....... pambana na hali yako

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna tija maana kalisababishia hasara taifa.

Kumbuka kuna kitu kinaitwa double agent. Wewe unamtuma, wenzako wanampa dau kubwa zaidi yako. Anakusinich wewe badala ya wao.

So mpaka kafikia hatua ya kututia hasara inatupa picha kuwa alikuwa double agent.

[emoji124]‍♂️naenda zimbobo.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Aliyemuweka Magufuli Magogoni ni nani?
Kwani watumishi wa umma wanatumwa na nani?
Ujinga wenu ndio unalifanya taifa hili liendelee kuwa la ajabu ajabu! yaani mbinu hii ya mtu kuchutama kutokana na aibu ya mwaka aliyoipata kwa haya ya Mruma imewaingia haraka haraka na kuipigia makofi?
 
Unachodai ni sahihi lakim kwa mimi nlio na uelewa finyu najua kwamba, ni vgumu sana kumchunguza binadamu kwa sababu akigundua kuwa anachunguzwa ana uwezo wa kubadili gia angani. Mbinu aliyotumia Rais wetu naweza kusema kuwa ni mbinu ya kijasusi. Hivi ww katika fikra zako unajua ni nani aliyerekodi ile video ya wizi wa madini. Kuwa huru changanua mambo. Rais mbinu yake imefanikiwa tena kwa kiasi kkubwa

Iyo video wewe umeiona, umesikia au umeambiwa?

Tuanzie hapo kwanza.

[emoji124]‍♂️naenda zimbobo.
 
ba60d06e23f4a85fce56fbcb665afaa1.jpg

Natafakari hapa nimekosa jibu.

Hivi!!!! Aliyemtuma Prof. Mruma Wizarani kuchunguza wizi wa madini yetu ni nani? Na ni lini alitumwa?

Nachoelewa kwenye secta/ Wizara ya madini Tanzania, Mruma hajaingia leo wala jana. Amekuwepo kitambo sana. Sasa inakuaje leo Magufuli ajitamba na kumkingia kifua kuwa alimtuma yeye?

Basi tusema alimtuma kipindi ni waziri. Sasa waziri wa Ujenzi au wa masamaki unahusikanaje na madini?

Dah. Sidhani kama tutafika kwa usanii wa level hii.

[emoji124]‍♂️naenda zimbobo.
Acha kuwa kichwa cha kuku mjomba ,,vyombo vya usalama siku zote huwa na plan za miaka hata kumi au ishirini ,mbele tafuta anayejua maswala ya kupenyezwa kidogo moja 2 3 ,utaelewa na hilo ni jambo la kawaida sema hauyajuii,,, na kama magu akisema kamtuma hajakosea kwa kua magu ndio boss wa usalam ,,,so sioni cha kushangaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ba60d06e23f4a85fce56fbcb665afaa1.jpg

Natafakari hapa nimekosa jibu.

Hivi!!!! Aliyemtuma Prof. Mruma Wizarani kuchunguza wizi wa madini yetu ni nani? Na ni lini alitumwa?

Nachoelewa kwenye secta/ Wizara ya madini Tanzania, Mruma hajaingia leo wala jana. Amekuwepo kitambo sana. Sasa inakuaje leo Magufuli ajitamba na kumkingia kifua kuwa alimtuma yeye?

Basi tusema alimtuma kipindi ni waziri. Sasa waziri wa Ujenzi au wa masamaki unahusikanaje na madini?

Dah. Sidhani kama tutafika kwa usanii wa level hii.
[emoji124]‍♂️naenda zimbobo.
Kwa kukusaidia, ikulu ni taasisi, hata rais atakaeingia pale 2025 atakuta mikakati ya rais wa kwanza na utekelezaji wake, mfano, hata anayotekeleza magufuli leo baadhi yaliachwa na mtangulizi wake
 
Ungekuwa umesoma content kwanza kabla ya kukimbilia kutoa comment ili uwe front page usingeuliza swali la kipuuzi.

[emoji124]‍♂️naenda zimbobo.
Ashajiita mjinga huyo, mpuuze tu
 
Back
Top Bottom