KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 20,023
- 40,471
Majibizano marefu ya namna hii kati ya mtoto wa kike na mwanamume yanaleta ukakasi na mashaka juu mamlaka ya huyu mwanume kwa huyu mwanamke.........
Kadri unavyojibizana na mwanamke ndivyo unavyoshusha mamlaka yake kwako......ndivyo anavyopata muda wa kujenga himaya yake kwako.....ndivyo anapata kuyajua madhaifu yako........ndivyo anavyojua kiwango chako Cha uelewa na kuyachukulia mambo.........Nilikua najaribu kumuelewesha mkuu
🤣🤣🤣🤣🤣Aisee kwa hayo majibizano wote mmekutana pipa na mfuniko.
🤣🤣🤣🤣🤣Meagiza juice na kitimoto najilia hapa. ...😁😁😁😁😁Sema nini,kwa debate yenu hiyo mnarandana Sana.
Uliloandika hapa ndio Wanaume wengi wanakoseagaInategemea na mwanamke umemseti vipi toka mnapoanza mahusiano kama umemwambia unautajiri na pesa si tatizo kwa nini umeachie buku tano😬😁
Chukua buku 5 ya lunch ukale wwFurushi kama mafurushi mengine.
litakuwa kosa kubwa sana...Mpe kitambi, atulie
Ebu kuwa serious amtumie 50000? Tena kwa mchepuko wakati mwenzako ana familia yake na kakuelezea hapo kuna watoto wake wanatakiwa kulipiwa ada na mambo mengineMpendwa hujui kwamba kuchepuka kuna gharama usijali ni upepo mbaya unapita kwenye mahusiano yenu,mtumie 50000 ili ajue kwamba ulimtania.
Huyo mwanamke bado mnatumia mto Mmoja kulala!!?? Unaniangusha legendary....Madhaifu yangu yako wapi mkuu
Ndugu ulitaka amwachie sh ngapi?Vitu vingine ni aibu kuviweka mbele za watu na majigambo yote kuhusu huyo mchepuko wako. Ni aibu mwanaume kutoa 15,000 then unascreen shot na kusema umetoa pesa za matumizi. Binafsi nakushauri, enu tunza familia yako bro huko ndipo utapata baraka na achana na habari za michepuko. Hii 15 unayoiona ni nyingi na kumsimanga mtoto wa watu ungekuwa umeiacha kwa mkeo nafanya jambo la maana. Nilichojifunza kwako, bado sana kiuchumi na kinachokutesa ni tamaa tu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ni tamu sababu bado ana nyege nae
🤣🤣🤣🤣🤣Chukua buku 5 ya lunch ukale ww