DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 43,311
- 109,537
- Thread starter
- #161
Thanks,Kadri unavyojibizana na mwanamke ndivyo unavyoshusha mamlaka yake kwako......ndivyo anavyopata muda wa kujenga himaya yake kwako.....ndivyo anapata kuyajua madhaifu yako........ndivyo anavyojua kiwango chako Cha uelewa na kuyachukulia mambo.........
Kitu ambacho wewe umejaribu kumuelewesha ndio uhalisia wako na maamuzi ya pamoja juu ya jambo Hilo ndio mpaka wa mamlaka yako kwake.....yeye anatumia hisia kujibizana na wewe wakati wewe upo kwenye uhalisia kulingana na hali ya uchumi kwa wakati huo........
Kujaribu kutoa maelezo marefu mbele ya mwanamke juu ya jambo ambalo lipo wazi kiuhalisia na udhaifu mbele ya mwanamke na yeye analijua hilo ndio maana anayatingisha mamlaka yako........
Baki kwenye akili kulingana na uhalisia alafu endelea na shughuli zako..........
Tumeagizwa tuishi nao kwa akili na sio kwa hisia....
Hapa Nmejifunza kitu mkuu