dinongo
JF-Expert Member
- Jun 25, 2022
- 813
- 1,054
Ahahaha, mkuu huyo mwanamke sio tu usitishe huduma, huyo akufai kabisa, inakoendea atakuroga akutie na nuksi kabisa, hakufai huyo kbs kabisaUyu Ni mpuuzi,
Nafikiria kusitisha huduma mpk anyooke kidg, ujue nahs amejihisi Ni mtu flan special Sana mkuu. Anatikisa kibiriti[emoji848]