Ni Mara ya 3 Sasa Mwanamke anasusia hela ya kula

Ni Mara ya 3 Sasa Mwanamke anasusia hela ya kula

Wakuu,

Sio Siri Hii Tabia ya kususiapesa yangu nahisi Sasa imeota mizizi.

Someni hizi text afu mnishaur Jambo tafadhali,

Hapa Najihisi hasira Sana,
afu nafikiria kuacha kabisa kumhudumia huyu mwanamke[emoji3525][emoji116]

View attachment 2339099View attachment 2339100View attachment 2339101View attachment 2339102View attachment 2339103View attachment 2339104View attachment 2339105View attachment 2339106View attachment 2339107View attachment 2339108View attachment 2339109
Mkuu,hili Jini lina umri(miaka yake)mingapi?
 
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂rooo mbaya 😂😂😂😂😂😂😂😂mbona roo aiseeee una mwanamke mjinga sana yaan hela anagawa kwa shostie kisha anakuja kukulaumu. Tuonyeshe basi ulichotumiwa watsup yaani juice na kitimoto
 
Pambania familia yako mkuu,michepuko haina shukrani.
 
Tusipoo jiangaliaa tutampotezaa ndugu yetuu😅😅😅na hivi hayupoo tayari kumuacha kwa namnaa yeyoteee
Sasa huyo fundi anaishi kwa malalamiko hivi mimi gogo je? 😀😀 hebu nifanye kazi nilipe tozo mie. 🤣

Ila mama J anamdomooo! Ndugu yetu atafika mbinguni akiwa hoiiii!
 
Vitu vingine ni aibu kuviweka mbele za watu na majigambo yote kuhusu huyo mchepuko wako. Ni aibu mwanaume kutoa 15,000 then unascreen shot na kusema umetoa pesa za matumizi. Binafsi nakushauri, enu tunza familia yako bro huko ndipo utapata baraka na achana na habari za michepuko. Hii 15 unayoiona ni nyingi na kumsimanga mtoto wa watu ungekuwa umeiacha kwa mkeo nafanya jambo la maana. Nilichojifunza kwako, bado sana kiuchumi na kinachokutesa ni tamaa tu.
Sasa 15k we' unaona ndogo? Watu wanaachiwa 3000, 5000 tena mke akiwa na familia. Acha tambo za ajabu ajabu, bado 15k ni nyingi SANA kwa ajili ya kula per day.
 
Back
Top Bottom