Ni Mara ya 3 Sasa Mwanamke anasusia hela ya kula

Ni Mara ya 3 Sasa Mwanamke anasusia hela ya kula

K
Uyu Ni mpuuzi,
Nafikiria kusitisha huduma mpk anyooke kidg, ujue nahs amejihisi Ni mtu flan special Sana mkuu. Anatikisa kibiriti[emoji848]
KWangu naona kaisha kutikisa kitambo akaona fresh ndio maana anafanya hivi kwa sasa
 
Ni sawa ila nilivyomuelewa bibie ametumia pesa kwa mategemeo atapata nyingine zaidi na si 5000 na ana amini kwamba pesa ipo ila kanyimwa.
Mamaj angenipata mimi ningemnunulia harage na kiyepe angeishia kujamba usiku kuchaa 🤣
 
Ni sawa ila nilivyomuelewa bibie ametumia pesa kwa mategemeo atapata nyingine zaidi na si 5000 na ana amini kwamba pesa ipo ila kanyimwa.
Dada angu,
Ujue hata Kama pesa IPO bado Ina mipango mingi zaid ya kula,
Nna familia nyingn kubwa ambayo Nayo napaswa kuihudumia na kuacha posho, Tena Mara 2 ya nnayoiacha kwa mama J

Nna watoto jumatatu wanatakiwa kurudi shule, mwisho wa mwezi ndo hu nna vija a wanatakiwa kulipwa mishahara.

hayo yote yanahitaji pesa
Afu Kuna mtu unampa pesa anafuja kisha anarud kukukebehi.

Ujue Nuzulati Hii Inakera sana,
Basi TU inaonyesha unapuuzia[emoji3525]
 
Hapana mkuu,
Tuna mwaka wa 4 huu,
Anajua biashara zangu nafanya nn kusurvive.
Kidg nnachopata namhudumia Kama mwanamke wangu,
Kuanzia kula,kuvaa Hadi Kodi namlipia.

Na kazi nmemtaftia mimi anayolipwa mshahara kila mwisho wa mwezi na posho ya kula kazin anapewa kila siku.

Ila bado sijakwepa kumpa posho ya kula kila siku.

Angekua mstaarabu angejiongeza hata kwa posho ya kazin anunue chakula ale, na sio kuleta kejeli za kijinga
Mkuu huyu unamlea kimalaika sana yaani ana kazi na posho juu na kumjengea pia😳 kwa lipi kubwa unafanya yote hayo papuchi??
 
Na anakwambia kabisa elfu kampa shoga ake .......we toa zingine

Basi sawa boss. Kakupata Dangote wake mwajei Wacha afurahie maisha
 
Dada angu,
Ujue hata Kama pesa IPO bado Ina mipango mingi zaid ya kula,
Nna familia nyingn kubwa ambayo Nayo napaswa kuihudumia na kuacha posho, Tena Mara 2 ya nnayoiacha kwa mama J

Nna watoto jumatatu wanatakiwa kurudi shule, mwisho wa mwezi ndo hu nna vija a wanatakiwa kulipwa mishahara.

hayo yote yanahitaji pesa
Afu Kuna mtu unampa pesa anafuja kisha anarud kukukebehi.

Ujue Nuzulati Hii Inakera sana,
Basi TU inaonyesha unapuuzia[emoji3525]
Mpendwa hujui kwamba kuchepuka kuna gharama usijali ni upepo mbaya unapita kwenye mahusiano yenu,mtumie 50000 ili ajue kwamba ulimtania.
 
Wakuu,

Sio Siri Hii Tabia ya kususiapesa yangu nahisi Sasa imeota mizizi.

Someni hizi text afu mnishaur Jambo tafadhali,

Hapa Najihisi hasira Sana,
afu nafikiria kuacha kabisa kumhudumia huyu mwanamke[emoji3525][emoji116]

View attachment 2339099View attachment 2339100View attachment 2339101View attachment 2339102View attachment 2339103View attachment 2339104View attachment 2339105View attachment 2339106View attachment 2339107View attachment 2339108View attachment 2339109
Deep pond: huyo mwanamke kashakupanda kichwani,ACHANA NAE
Amevuka mipaka
Anajua wewe ni weekness.
Mtu ana ku disrespect, wewe una endelea kumchekea.

Being A man is not easy
 
Mkuu huyu unamlea kimalaika sana yaani ana kazi na posho juu na kumjengea pia😳 kwa lipi kubwa unafanya yote hayo papuchi??
Kwani ujui kwamba mbususu ina nguvu mdogo wangu😁
 
Dawa ya mwanamke mshamba,jeuri,mkorofi na limbukeni wa aina hii ni kumnyima attention tu[emoji23]
Nafikiria kufanya hivo mkuu,
Kajikuta malaika Sana huyu [emoji3525]
 
Kabla sijapandisha maruhani ya kimakonde nataka kujua.
Huyo mke ni mke wako?
Mmeoana?
Mmezaa au ni nani kwako?
Maana nimesoma nimeishia kati kwa hasira jinsi mlivyochati.
Mimi siwezi kuchati na mwanamke wa design hiyo kwa sms zaidi ya 2
 
Hpn mkuu huyu Ni mchepuko wake tu imagine [emoji28]

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom