[emoji23][emoji23][emoji23] Kaagiza juice na kitimoto, ila wanawake bwana sio kila wanachotaka wapewe sometimes kuwakazia muhimuWakuu,
Sio Siri Hii Tabia ya kususiapesa yangu nahisi Sasa imeota mizizi.
Someni hizi text afu mnishaur Jambo tafadhali,
Hapa Najihisi hasira Sana,
afu nafikiria kuacha kabisa kumhudumia huyu mwanamke[emoji3525][emoji116]
View attachment 2339099View attachment 2339100View attachment 2339101View attachment 2339102View attachment 2339103View attachment 2339104View attachment 2339105View attachment 2339106View attachment 2339107View attachment 2339108View attachment 2339109
Wanawake wa hivi wapo na wanakera sana mkuu, cha msingi kama huna mtoto naye hasa mdogo wa kulea achana naye mkuu. Pole sana.Mkuu,
Huyu mwanamke anaishi peke yake.
Usiku wa kuamkia leo niliacha Kodi ya meza elfu 15. Maana ake itumike leo mpk jioni. Sasa Kaitumia ndivyo sivyo na shoga yake nje ya utaratibu. Sijamlaumu kwa hilo.
Lengo la elfu 5 Ni aweze kula kwa usiku wa leo tu. Ili Nisiharibu zaid hesabu zangu Maana bajeti ya kwake tayar ilishapita na kavurunda mwnyw.
Kinachonikera Ni kebeh zake kana kwamba Mimi pesa zangu Huwa naokota TU barabaran nampa. Sizitolei jasho.
Ni tamu sababu bado ana nyege naeAisee mvumilie tu maana ulishasema huwezi kumuacha maana papuchi yake ni tamu na fundi kwa Bed,
Enjoy.
Haimtoshi kwa sababu anakula na shoga yakeVitu vingine ni aibu kuviweka mbele za watu na majigambo yote kuhusu huyo mchepuko wako. Ni aibu mwanaume kutoa 15,000 then unascreen shot na kusema umetoa pesa za matumizi. Binafsi nakushauri, enu tunza familia yako bro huko ndipo utapata baraka na achana na habari za michepuko. Hii 15 unayoiona ni nyingi na kumsimanga mtoto wa watu ungekuwa umeiacha kwa mkeo nafanya jambo la maana. Nilichojifunza kwako, bado sana kiuchumi na kinachokutesa ni tamaa tu.
Umemwendekeza mwenyeweHuyu Ni Zaid ya Ujinga,
Ni deko la kipumbavu wkt alikotokea hakua na maisha haya anayojifanya hayataki.
.😂😂😂 me kama me sina time ya kujibizana na mwanamke kwa njia ya sms ata wife akizingua hutuma magazeti kama yote but me humakushia tu halaf hii hulk ya wanwake kulalamikabkwa njia ya sms wanapenda mnooo ukimpigia cm ukimwambia ukimwambia ongea ayo maneno yako wanakaa kimya tu 😁
😂😂😂.
Hahaha mie pia sijibiwagi ananipigia... cha ajabu nikipigiwa napata kigugumizi kurudia nilivyoandika kwenye sms.