Sema huyu mchepuko kashajua kabisa wewe una udhaifu kwake ndio maana anakuendesha anavyotaka yeye anajua kabisa hapindui pamoja na matukio yote yake uliyotusimulia huku,,yaan ukijiconfuse ukamjengea tu ndio kwisha habari yako...Wakuu,
Sio Siri Hii Tabia ya kususiapesa yangu nahisi Sasa imeota mizizi.
Someni hizi text afu mnishaur Jambo tafadhali,
Hapa Najihisi hasira Sana,
afu nafikiria kuacha kabisa kumhudumia huyu mwanamke[emoji3525][emoji116]
View attachment 2339099View attachment 2339100View attachment 2339101View attachment 2339102View attachment 2339103View attachment 2339104View attachment 2339105View attachment 2339106View attachment 2339107View attachment 2339108View attachment 2339109
Haya sio mapenzi ni zaidi ya utoto.Mama j, stand up🧍[emoji2382]
Mvumilie tu maana hakuna namna.Inamaana mawardat umefurahi Unaona mazuri Ayo?[emoji848]
Mawardat ile 10,000 nauli ulopewa na mama j rudisha basi mwenzio atalala na njaa🤣Mama j, stand up🧍[emoji2382]
Bro ujinga huu utakugharinu sana siku zijazo.Wakuu,
Sio Siri Hii Tabia ya kususiapesa yangu nahisi Sasa imeota mizizi.
Someni hizi text afu mnishaur Jambo tafadhali,
Hapa Najihisi hasira Sana,
afu nafikiria kuacha kabisa kumhudumia huyu mwanamke[emoji3525][emoji116]
View attachment 2339099View attachment 2339100View attachment 2339101View attachment 2339102View attachment 2339103View attachment 2339104View attachment 2339105View attachment 2339106View attachment 2339107View attachment 2339108View attachment 2339109
Mvhepuko falaMwanangu kwan huyu n mkeeeeo auuu?
Mmmmh, buku tano mbona inatosha sana na mtu yupo mwenyewe tu.Mtume boda aje achukuwe elfu 5,000 haya mazingira ya boda kula kimasihara sasa.[emoji1787]
Halafu bro acha masihara basi hivi elfu 5 si ataishia kujiramba vidole tu hapo. Hivi mlo gani wa 5,000??[emoji23]
Mama j ni mpumbavu[emoji23]Mawardat ile 10,000 nauli ulopewa na mama j rudisha basi mwenzio atalala na njaa[emoji1787]
Duuu hivi wewe na huyo demu mnaishi nchi gani?Mtume boda aje achukuwe elfu 5,000 haya mazingira ya boda kula kimasihara sasa.[emoji1787]
Halafu bro acha masihara basi hivi elfu 5 si ataishia kujiramba vidole tu hapo. Hivi mlo gani wa 5,000??[emoji23]
Mkuu,Mtume boda aje achukuwe elfu 5,000 haya mazingira ya boda kula kimasihara sasa.[emoji1787]
Halafu bro acha masihara basi hivi elfu 5 si ataishia kujiramba vidole tu hapo. Hivi mlo gani wa 5,000??[emoji23]