Mama j tigo madhaifu hapo mtandao pendwa 😂Mkuu mama j anatumia fulsa ya madhaif yako
Hanaga mtoto huyo[emoji23]Na jasmin au anaitwa mama jasmin kijacho [emoji16]
Inategemea na mwanamke umemseti vipi toka mnapoanza mahusiano kama umemwambia unautajiri na pesa si tatizo kwa nini umeachie buku tano😬😁Halafu mtu eti anauliza " kwa nini wanaume mnakufa mapema?"
Tunakufa mapema kwa sababu ya utopolo kama huu. Sad! Very sad!
Mkeo au mchepuko huo kama mchepuko piga chini atakumaliza kwa tozo.Mimi mwenyewe sijaelewa Hilo,
ndo Maana sikutaka kumhoji Sana hilo
Uyu Ni mpuuzi,Una mwanamke mswahili, hajielewi halafu kajua kuwa we kwake hupindui.
Nilishakuwa na wa hivyo mzee, ni mwendo wa action tu.
Nimejikuta nacheka tu.
Buku 15 imewachwa buku 10 nauli ya rafiki yake 5 imebaki.Inategemea na mwanamke umemseti vipi toka mnapoanza mahusiano kama umemwambia unautajiri na pesa si tatizo kwa nini umeachie buku tano😬😁
uwaga nacheka sana baba J[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],,Uyu Ni mpuuzi,
Nafikiria kusitisha huduma mpk anyone kidg, ujue nahs amejihisi Ni mtu flan special Sana mkuu. Anatikisa kibiriti[emoji848]
Nilishamuanzishia ujenzi atoke kwny kupanga,Nikausitisha baada ya kupandisha mabegaSema huyu mchepuko kashajua kabisa wewe una udhaifu kwake ndio maana anakuendesha anavyotaka yeye anajua kabisa hapindui pamoja na matukio yote yake uliyotusimulia huku,,yaan ukijiconfuse ukamjengea tu ndio kwisha habari yako...
Bro Mamaj ulimwambia wewe mtoto wa Bakhresa😂5,000 anasema walikunywa supu na rafk yake, 10,000 ndo alimpa nauli uyo rafk yake
Ni sawa ila nilivyomuelewa bibie ametumia pesa kwa mategemeo atapata nyingine zaidi na si 5000 na ana amini kwamba pesa ipo ila kanyimwa.Buku 15 imewachwa buku 10 nauli ya rafiki yake 5 imebaki.
Huyo anakufuja tu achananaeMkuu,
Huyu mwanamke anaishi peke yake.
Usiku wa kuamkia leo niliacha Kodi ya meza elfu 15. Maana ake itumike leo mpk jioni. Sasa Kaitumia ndivyo sivyo na shoga yake nje ya utaratibu. Sijamlaumu kwa hilo.
Lengo la elfu 5 Ni aweze kula kwa usiku wa leo tu. Ili Nisiharibu zaid hesabu zangu Maana bajeti ya kwake tayar ilishapita na kavurunda mwnyw.
Kinachonikera Ni kebeh zake kana kwamba Mimi pesa zangu Huwa naokota TU barabaran nampa. Sizitolei jasho.
Hapana mkuu,Bro Mamaj ulimwambia wewe mtoto wa Bakhresa[emoji23]