Ni Mara ya 3 Sasa Mwanamke anasusia hela ya kula

Ni Mara ya 3 Sasa Mwanamke anasusia hela ya kula

Wakuu,

Sio Siri Hii Tabia ya kususiapesa yangu nahisi Sasa imeota mizizi.

Someni hizi text afu mnishaur Jambo tafadhali,

Hapa Najihisi hasira Sana,
afu nafikiria kuacha kabisa kumhudumia huyu mwanamke[emoji3525][emoji116]

View attachment 2339099View attachment 2339100View attachment 2339101View attachment 2339102View attachment 2339103View attachment 2339104View attachment 2339105View attachment 2339106View attachment 2339107View attachment 2339108View attachment 2339109
Bwana pond unabishanaje na manzi na mameseji marefu marefu hivyo,unampiga block Hata siku 3 unamfungulia badae[emoji1787]
Unakataaje Hela na hizi tozo
 
Kabla ya kutoa ushauri ningependa kujua bro upo mkoa gani maana bei ya vyakula hupanda na kushuka kulingana na eneo husika kama ingekua ni kwa kanda ya ziwe hyo 5k ni pesa inayotosha kwa mlo wa siku nzima so sjajua huko ulipo hali ikoje
Otherwise hyo inaweza kua trick ya kukuchuna cause she knows kwamb ume Fall in Love na upo teal kufanya lolote ndo maana anakujibu kwa kibur na dharau ili ujichanganye kuyaweka sawa upigwe pay ya maana
 
Ogopa sana mwanamke anakutumia msg za ajabu ukiwa kazin hata kazi huwezi fanya vizuri

Huyu demu umezaa nae au? Ka bado achana nae atakusumbua
Sahii kabisa mkuu,
Nmekua frustrated mpk nmeshindwa kufunga hesabu, nmerudishia TU mageti kienyeji nakuondoka.
 
Mkuu,
Huyu mwanamke anaishi peke yake.
Usiku wa kuamkia leo niliacha Kodi ya meza elfu 15. Maana ake itumike leo mpk jioni. Sasa Kaitumia ndivyo sivyo na shoga yake nje ya utaratibu. Sijamlaumu kwa hilo.

Lengo la elfu 5 Ni aweze kula kwa usiku wa leo tu. Ili Nisiharibu zaid hesabu zangu Maana bajeti ya kwake tayar ilishapita na kavurunda mwnyw.

Kinachonikera Ni kebeh zake kana kwamba Mimi pesa zangu Huwa naokota TU barabaran nampa. Sizitolei jasho.
Nimekupata mkuu. Hivi nauli ya 10,000 daladala au bolt?😳
 
Back
Top Bottom