Ni Mara ya 3 Sasa Mwanamke anasusia hela ya kula

Ni Mara ya 3 Sasa Mwanamke anasusia hela ya kula

Ukimpa mwanamke ela usihojihoji sana ela ameitumiaje au kuulizia chenji hata kama unahisi umepigwa maana mpaka kaomba kuna kitu hakipo sawa, kuwa na majibu mawili tu unatuma ela nyingine au ukihisi umepigwa unasema sina kuliko kuanza kuhoji alafu mnafikia huko mlipo fikia. (kama amefikia ela ya matumizi kumpa shoga yake basi hata ukisema huna atashiba tu pasipokuwa na shaka, ila kwa kuwa anajua fika kwamba upo ndani ya mamlaka yake ya uteuzi anaamua tu kuomba hela)
 
Ww jamaa akili zako azifanyi kazi vzr nahisi amekuloga uyo mal*y* mana sio bure dah yani zoba kweli kweli wewe jamaa..
 
Haukutakiwa ujibizane kiasi hicho, ungetuma hiyo 5,000/- kisha kimya kirefu, haitaki atarudisha. Sibishani nao hao.
 
Mkuu piga chini huyo mchepuko utapata mwanamke anayehishimu kile kidogo unachompatia.


Na pia mkuu, sikufundishi juu ya la kufanya lakini mwanamke akikosea aadhibiwe, zaidi ya hapo ataendelea kufanya kosa lilelile kila siku.

Cheers
Naupokea USHAUR wako mkuu[emoji120]
 
Demu keshaelewa kwamba huchomoi! kama anakuhudumia utelezi kwa kiwango cha 5G huna budi kuprovide otherwise atayeya huyo. Na siku zote mwanamke akiwa jeuri jeuri kama hivi ujue kabisa yupo mwingine waku backup once mambo yakienda mrama ndo maana anakutingisha atakavyo.
Kiukwel uyu mwanamke Ni pasua kichwa mno chief
 
Vitu vingine ni aibu kuviweka mbele za watu na majigambo yote kuhusu huyo mchepuko wako. Ni aibu mwanaume kutoa 15,000 then unascreen shot na kusema umetoa pesa za matumizi. Binafsi nakushauri, enu tunza familia yako bro huko ndipo utapata baraka na achana na habari za michepuko. Hii 15 unayoiona ni nyingi na kumsimanga mtoto wa watu ungekuwa umeiacha kwa mkeo nafanya jambo la maana. Nilichojifunza kwako, bado sana kiuchumi na kinachokutesa ni tamaa tu.
Sahii kabisa mkuu
 
[emoji23][emoji23][emoji23] me kama me sina time ya kujibizana na mwanamke kwa njia ya sms ata wife akizingua hutuma magazeti kama yote but me humakushia tu halaf hii hulk ya wanwake kulalamika kwa njia ya sms wanapenda mnooo ukimpigia cm ukimwambia ongea ayo maneno yako wanakaa kimya tu [emoji16]
Kabisa,
Kwenye sms anaandisha mashairi,
Ila live wanakua mabubu ghafla
 
Miandiko yote ni ya Mtu mmoja, JF imeshakuwa na Watoto wengi sana siku hizi.
Siwez kufanya utoto wa namna Ito mkuu
Najiheshimu Sana humu mkuu, kwanza nilete chai humu ili iweje? Kuna zawadi au tuzo humu ya kufyatua ovyo nyuzi?
 
Wakuu,

Sio Siri Hii Tabia ya kususiapesa yangu nahisi Sasa imeota mizizi.

Someni hizi text afu mnishaur Jambo tafadhali,

Hapa Najihisi hasira Sana,
afu nafikiria kuacha kabisa kumhudumia huyu mwanamke[emoji3525][emoji116]

View attachment 2339099View attachment 2339100View attachment 2339101View attachment 2339102View attachment 2339103View attachment 2339104View attachment 2339105View attachment 2339106View attachment 2339107View attachment 2339108View attachment 2339109
Daaaaah ni balaa mwanang ila hawa wanawake jmni daaaah yaan elf 5000 haitoshi kula mlo mmoja
 
........Nimecheka eti kama mwanafunzi akanunue Chips na mabarafu!!!
 
Mkuu,
Huyu mwanamke anaishi peke yake.
Usiku wa kuamkia leo niliacha Kodi ya meza elfu 15. Maana ake itumike leo mpk jioni. Sasa Kaitumia ndivyo sivyo na shoga yake nje ya utaratibu. Sijamlaumu kwa hilo.

Lengo la elfu 5 Ni aweze kula kwa usiku wa leo tu. Ili Nisiharibu zaid hesabu zangu Maana bajeti ya kwake tayar ilishapita na kavurunda mwnyw.

Kinachonikera Ni kebeh zake kana kwamba Mimi pesa zangu Huwa naokota TU barabaran nampa. Sizitolei jasho.
Hivi mnawaokota wapi wanawake wa hivi? Duu kazi mnayo
 
Hapana mkuu,
Tuna mwaka wa 4 huu,
Anajua biashara zangu nafanya nn kusurvive.
Kidg nnachopata namhudumia Kama mwanamke wangu,
Kuanzia kula,kuvaa Hadi Kodi namlipia.

Na kazi nmemtaftia mimi anayolipwa mshahara kila mwisho wa mwezi na posho ya kula kazin anapewa kila siku.

Ila bado sijakwepa kumpa posho ya kula kila siku.

Angekua mstaarabu angejiongeza hata kwa posho ya kazin anunue chakula ale, na sio kuleta kejeli za kijinga
Hahaha , hela zake anafugia majini au? Mtu anafanya kazi halafu anakuambia atalala na njaa, hebu mchunguzi vizuri, sio mzima huyo
 
Back
Top Bottom