binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 16,783
- 46,842
Sasa huyo fundi anaishi kwa malalamiko hivi mimi gogo je? 😀😀 hebu nifanye kazi nilipe tozo mie. 🤣Aisee mvumilie tu maana ulishasema huwezi kumuacha maana papuchi yake ni tamu na fundi kwa Bed,
Enjoy.
Ila mama J anamdomooo! Ndugu yetu atafika mbinguni akiwa hoiiii!