Ni Mara ya 3 Sasa Mwanamke anasusia hela ya kula

Ni Mara ya 3 Sasa Mwanamke anasusia hela ya kula

It seems you have a very good wife, I have never seen a thread from you complaining about your wife.
Wife wangu kiukweli mungu amenijalia,
Hana makuu kabisa, tofauti na huyu pasua kichwa wangu
 
Wakuu,

Sio Siri Hii Tabia ya kususiapesa yangu nahisi Sasa imeota mizizi.

Someni hizi text afu mnishaur Jambo tafadhali,

Hapa Najihisi hasira Sana,
afu nafikiria kuacha kabisa kumhudumia huyu mwanamke[emoji3525][emoji116]

View attachment 2339099View attachment 2339100View attachment 2339101View attachment 2339102View attachment 2339103View attachment 2339104View attachment 2339105View attachment 2339106View attachment 2339107View attachment 2339108View attachment 2339109
That is disrespectiful, tetea uwanaume wako. Halafu hakukua na haja ya kujibizana naye sana hivyo.
 
Duh! Yani yupo comfortable kukwambia jela ambayo umeacha ya matumizi kampa shoga ake [emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Hatujangaiki na tabu za watu umenuna we nuna....unaringa we linga watu tupo site kupoza Makali ya jua ...

Wanaume wenzangu mnakwama wapi
20220830_195306.jpg
 
Kwani sabab..hujamtumiaa tusi linaloanziaa na k.. kwenye majibu yako..bas inaonekaana na we..una shidaah flan...@na uyo duuu anaijuaa
 
Wakuu,

Sio Siri Hii Tabia ya kususiapesa yangu nahisi Sasa imeota mizizi.

Someni hizi text afu mnishaur Jambo tafadhali,

Hapa Najihisi hasira Sana,
afu nafikiria kuacha kabisa kumhudumia huyu mwanamke[emoji3525][emoji116]

View attachment 2339099View attachment 2339100View attachment 2339101View attachment 2339102View attachment 2339103View attachment 2339104View attachment 2339105View attachment 2339106View attachment 2339107View attachment 2339108View attachment 2339109

[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]


Duuh aisee huyo mama J mbona anaandika kama mimi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ila nimecheka sana aisee nyie mnawezanaa hiyo sms ya mwisho ya mAma J imenichekesha mno


Ushauri wewe mpe hela mwenzio wanaume mliooa ni wa kuchunwa tu Hakuna kingine [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Mkuu,
Huyu mwanamke anaishi peke yake.
Usiku wa kuamkia leo niliacha Kodi ya meza elfu 15. Maana ake itumike leo mpk jioni. Sasa Kaitumia ndivyo sivyo na shoga yake nje ya utaratibu. Sijamlaumu kwa hilo.

Lengo la elfu 5 Ni aweze kula kwa usiku wa leo tu. Ili Nisiharibu zaid hesabu zangu Maana bajeti ya kwake tayar ilishapita na kavurunda mwnyw.

Kinachonikera Ni kebeh zake kana kwamba Mimi pesa zangu Huwa naokota TU barabaran nampa. Sizitolei jasho.

Wewe kama umeshaoa huko nnje hakuna mali ya bure

Ukiona mwanamke anadate na mwanaume alieoa ujue ni hela ndo zinamkarisha hapo…

Nani anataka kupotezewa muda halafu asiambulie sentano


Wewe toa hela ukiacha kutoa hela na mama j ndo mwisho wake kwako [emoji23][emoji23]
 
Sasa 15k we' unaona ndogo? Watu wanaachiwa 3000, 5000 tena mke akiwa na familia. Acha tambo za ajabu ajabu, bado 15k ni nyingi SANA kwa ajili ya kula per day.
Naona mzee tozo zinakuchanganya. Enu kunywa maji kisha soma nilichoandika. Hakuna sehemu niliyotamba wala kusema hiyo pesa ni ndogo ila nimemshauri angetulia tu na mkewe na familia yake hiyo ya kuhudumia familia nyingi inamtesa hadi kuleta malalamiko huku. Zinaa ina gharama bro.
 
Mnaokota Wapi Hawa?![emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom