Ni Mara ya 3 Sasa Mwanamke anasusia hela ya kula

Ni Mara ya 3 Sasa Mwanamke anasusia hela ya kula

Update.....
Ni kwamba Nimeachwa[emoji4][emoji116]
 
sioni cha kukushauri zaidi ya kukwambia mpe kile binti anataka,acha kumpa visenti starehe gharama mwaga pesa,elfu tano ni ndogo sana
hivi we baba unataka tukushauri nini na huyo mchepuko wako?tangu tuanze kukushauri kuna jipya lolote?nasema hivi mpe binti akipendacho unamuonea sana kisa mchepuko
 
Update.....
Ni kwamba Nimeachwa[emoji4][emoji116]
we wenyewe unajua hujaachwa ndo maana unaileta kirahisi sana
 
Mwanamke wa hovyo sana kuwahi tokea lakini ushakiri huwez muacha basi endelea kupambana.
 
Unapaswa umuhudumie Mwanamke wako,
Hakikisha umenunua kila kitu ndani, hiyo elfu 15 iwe ya matumizi madogo madogo kama hayo na shoga ake, sio elfu 15 anunue kila kitu itatosha vipi
 
Una moyo aisee
Kwanza huyo mtu anaonekana kakulia mazingira ya uswahilini na shule kichwani ni zero.
Kukulia uswahili Ni kweli,
Ila shule sio kweli, kasoma anadiploma
Sema ndo hivyo Ni mtu wa kujichetua sana
 
Wakuu,

Sio Siri Hii Tabia ya kususiapesa yangu nahisi Sasa imeota mizizi.

Someni hizi text afu mnishaur Jambo tafadhali,

Hapa Najihisi hasira Sana,
afu nafikiria kuacha kabisa kumhudumia huyu mwanamke[emoji3525][emoji116]

View attachment 2339099View attachment 2339100View attachment 2339101View attachment 2339102View attachment 2339103View attachment 2339104View attachment 2339105View attachment 2339106View attachment 2339107View attachment 2339108View attachment 2339109
huenda anakupenda sana kwahiyo anakutega aone kumali kwako.Pia hili nalo hasa atakuwa amekuona bwege kwahiyo anakupelekesha.Jikune mkono unapofika mzee usijilazimishe.
 
Hapo anajaribu kama limbwata lake linafanya kazi...kashaona halijafanya kazi vzur...kesho hakuna rangi utaacha kuona...anaenda kutikisa kibuyu kwa babu...utakopa hadi hela kwa mke wako umpelekee
Hahaha nakazia...
 
Kaa tulia na mkeo utapata faraja ya moyo mzee..athari za ngono na kuchepuka utaziona keshokutwa
 
Back
Top Bottom